Napenda kumpongeza sana msanii wa tasnia ya uigizaji na uchekeshaji bwana Mkaliwenu baada ya kuzawadiwa gari aina ya BMW 5 na kiongozi mmoja wa dini pamoja na kiasi cha shilingi milioni moja
Kwakweli hii ni hatua kubwa sana na pia ni funzo kwa vijana wote pamoja na wasanii wengine kutokana na hili, kinachoonekana ni bwana mkaliwenu kuchangamkia fursa kwa kiongozi huyo baada ya kuona ulaji upo, na hii imeendelea kusisitizwa kwa vijana wengi duniani kuhusu kuchangamkia fursa mbalimbali zionekanazo, sasa nashangaa baadhi ya watu mbalimbali wakiona wivu ikiwemo na wasanii wengine pamoja na hata watu wa jf wakidai ety ni kujishobokesha! na maneno mengine ya shombo! Like serious!!??
Kwangu me nampongeza sana kijana mwenzangu na pia nampa hongera sana kwani katupa funzo pia la kuchangamkia fursa na kutokata tamaa, maana maneno mengi yaliongelewa kabla ya release ya nyimbo, but mwisho wa siku watu wanashangaa huku wakiona wivu mchizi umevuta chuma kikali kwa gharama ya bure!! Wakati wao hawana! [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
BIG UP MKALIWENU
View attachment 2378530