Nabii mkuu Dkt. Geordavie asheherekea kumbukizi yake ya kuzaliwa, watu maarufu wahudhuria

Duh! Nabii Mkuu Mh Dr. Huku kujikweza si mchezo.
 
Kusaidia watu hakumpi uhalali wa unabii wake wa kiibilisi.
Ukipewa elfu kwa masharti ya utoe tano kuna shida gani hapo?
 
Kwa jinsi huyo nabii wa mchongo alivyowashika akili waumini wake, nina uhakika hata siku akiwaambia wafunge mpaka kufa ili waende mbinguni wengi wao watafanya hivyo.

Birthday yake inawahusu nini waumini wake mpaka kanisa zima lifanye sherehe?
 
Wakristo sasa tuamke, ikiwezekana tuwapige mawe hawa washenzi na matapeli.
Ni heri waanzishe dini zao zisizohusiana na Ukristo
 
Baadae wamchangia tena sadaka. Mtu akiniambia ameokoka nakaa nae mbali sana maana najua nipo karibu na kichaa msafi.

Tatizo unaiangalia mambo kwa dimesion ndogo. Kwa hivyo mchezaji mpira akivuta bangi, utasema wachezaji mpira wote ni wavuta bangi. Usiutukane ulokole kisa wahuni wachache wanao tumika ili kuharibu sifa ya upentekoste.
 
Kwa hiyo Nabii ametimiza miaka mingapi?
Maana Nabii amechubua mnoo kiasi cha kupoteza uhalisia wa umri wake na rangi yake halisi ya ngozi.
 
Kwa jinsi huyo nabii wa mchongo alivyowashika akili waumini wake, nina uhakika hata siku akiwaambia wafunge mpaka kufa ili waende mbinguni wengi wao watafanya hivyo.

Birthday yake inawahusu nini waumini wake mpaka kanisa zima lifanye sherehe?

Kweli kabisa wanamuamini kuliko chochote.
 
Geo Davie ni jamaa yake sana Gambo. Wote wamekaa kitapeli tapeli tu
 
Wakristo sasa tuamke, ikiwezekana tuwapige mawe hawa washenzi na matapeli.
Ni heri waanzishe dini zao zisizohusiana na Ukristo

Tatizo hao washirika wake wanakiburi kuliko, wapo tayari kuua mtu akimgusa huyo nabii. Yani wakristo tumekubali kugawanyika kwa Hawa matapeli ndio maana wanajiona wao ndio wameushikilia ukristo kumbe sio ni wapigaji.

Huyo jamaa tangu nione alama ya jicho kwenye ghorofa lake nilimwekea kiulizo mpaka leo.
 
Kwa hiyo Nabii ametimiza miaka mingapi?
Maana Nabii amechubua mnoo kiasi cha kupoteza uhalisia wa umri wake na rangi yake halisi ya ngozi.
Sijui kwanini aliamua kujichubua kiasi kile. Maana hata huwa wanaona aibu kuonesha picha zake za zamani maana ni watu wawili tofauti.
 
Please nirushie picha ya hilo gjorofa.
Kuna waumini wajinga sana
 
Hili tapeli la kinyiramba limewakamata vibaya wameru, wamasai na wachagga.
 
Nabii gani anapenda kujisifu na kusifiwa kuliko Mungu? Nabii gani anaishi maisha ya anasa na ufahari kuliko waumini wake? Hawa ndio manabii wa mchongo kulaghai watu huku hatuoni matendo ya manabii wa ukweli
George David Malembeka aliishi muda mwingi maisha ya dhiki kwenye vibanda vya manamba Burka Estate, Ngaramtoni ya Chini Arusha sasa anafurahia utajiri usiojulikana umetokea wapi🙄
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…