Nabii Mkuu, Geor Davie wa Arusha tafadhali Sana mtumishi

Wanajf , kila siku namtanguliza Mungu , na nikawaida kuwaombea KWA kile kidogo Mungu amenipa,

Naomba mwenye no ya mtumishi tajwa hapo juu ani inbox tafadhali kazi yangu itakua wasiliana naye pale atanipa kibali ,

Natanguliza shukrani wakuu
Pole sana!, hii bundle ulioitumia kuposti humu jf ungeitumia kum google ungeisha ipata number yake wala bandiko hili halikuhitajika!.

Sasa hivi tunaishi kwenye cyber world, ukimtafuta mtu yoyote una google tuu jina lake na contact details zinakuja!

CONTACT​

P.O.Box 2566, Arusha,
Tanzania East Africa

Email: gdm@geordavie.org

Phones: ARUSHA HEADQUATERS
+255 739 978 048 (HQ Office)
+255 784 31 51 91 (WhatsApp)
+255 754 31 51 91 (WhatsApp)
+255 715 31 51 91 (WhatsApp)

+255 712 11 22 44 (Dar Branch)
+255 687 066 742 (Dar City Center)
+255 765 438 983 (Mwanza City C)
+255 752 792 978 (Mbeya City C)
P
 
Huyu ni Nabii Mkuu & Mtume Mwandamizi Dr Mheshimiwa sana GeorDavie.

Tafadhali sana unapotaka kumtaja ni vyema na haki ukataja majina na cheo chake vizuri.
Sasa kosa ni lipi hapa, nimeomba mwenye no take WENDA wewe au mwingine,shinda iko wapi anza nitajia vitu vingi Kama hauna si basi au umelazimishwa mkuu

T

Thanks mkuu japo umenichamba kweli, binafsi nataka no binafsi mkuu , hizi za mtandao zipo nyingi ila nakushukuru mkuu , Mr paschel , mpiganaji
 
Kosa ni ujinga.Yaani wewe kuwa MJINGA hilo ni kosa. Ma ujinga wako umeleta usumbufu kwa watu.
 
Pole sana!, hii bundle ulioitumia kuposti humu jf ungeitumia kum google ungeisha ipata number yake wala bandiko hili halikuhitajika!.

Sasa hivi tunaishi kwenye cyber world, ukimtafuta mtu yoyote una google tuu jina lake na contact details zinakuja!

CONTACT​

P.O.Box 2566, Arusha,
Tanzania East Africa

Email: gdm@geordavie.org

Phones: ARUSHA HEADQUATERS
+255 739 978 048 (HQ Office)
+255 784 31 51 91 (WhatsApp)
+255 754 31 51 91 (WhatsApp)
+255 715 31 51 91 (WhatsApp)

+255 712 11 22 44 (Dar Branch)
+255 687 066 742 (Dar City Center)
+255 765 438 983 (Mwanza City C)
+255 752 792 978 (Mbeya City C)
P
Wenda anataka ampate yeye direct, ile anayotumia na family members sio hizo za taasis [emoji28]
 
Wanajf , kila siku namtanguliza Mungu , na nikawaida kuwaombea KWA kile kidogo Mungu amenipa,

Naomba mwenye no ya mtumishi tajwa hapo juu ani inbox tafadhali kazi yangu itakua wasiliana naye pale atanipa kibali ,

Natanguliza shukrani wakuu
umechelewa sanaaa machawa wenzio wameshamaliza kibubu huko.
 
Ulikuwa na maana gani kurukia cheo mwandamizi Dr Mheshimiwa sana!.
Usisumbue wataka kila shida pitia kwako , na je wewe ndo unatakiwa ,jiheshim utaeshimiwa na sitaki ugonvi na wewe ,huwezi kile nimeomba / taka kaa pembeni
 
Pole sana!, hii bundle ulioitumia kuposti humu jf ungeitumia kum google ungeisha ipata number yake wala bandiko hili halikuhitajika!.

Sasa hivi tunaishi kwenye cyber world, ukimtafuta mtu yoyote una google tuu jina lake na contact details zinakuja!

CONTACT​

P.O.Box 2566, Arusha,
Tanzania East Africa

Email: gdm@geordavie.org

Phones: ARUSHA HEADQUATERS
+255 739 978 048 (HQ Office)
+255 784 31 51 91 (WhatsApp)
+255 754 31 51 91 (WhatsApp)
+255 715 31 51 91 (WhatsApp)

+255 712 11 22 44 (Dar Branch)
+255 687 066 742 (Dar City Center)
+255 765 438 983 (Mwanza City C)
+255 752 792 978 (Mbeya City C)
P
Ulichelewa sana kuja mjini bwana 'Paskali' hapa hauliziwi mtu, hili ni tangazo.
 
Kuna yule nabii eliya Mungu wa saba.alikufa wafuasi wakataka kumuacha wakiamini kuwa atafufuka.
Weeee
Huyu ni Nabii Mkuu & Mtume Mwandamizi Dr Mheshimiwa sana GeorDavie.

Tafadhali sana unapotaka kumtaja ni vyema na haki ukataja majina na cheo chake vizuri.
 
Thanks mkuu japo umenichamba kweli, binafsi nataka no binafsi mkuu , hizi za mtandao zipo nyingi ila nakushukuru mkuu , Mr paschel , mpiganaji
Personal number hutolewa na mtu mwenyewe, ukiwa na number binafsi ya mtu, huruhusiwi kuigawa, tumia hiyo ya mwisho 91 utampata kiofisi, akikubali ni yeye atakupa personal number yake.
Ila we dogo, uwe na lugha ya heshima, usilete maneno ya chooni humu!, kuchamb. ni neno la chooni!.
P
 
Back
Top Bottom