4 7mbatizaji
JF-Expert Member
- Dec 8, 2019
- 8,406
- 9,619
- Thread starter
-
- #41
Basi sawa baki hivyohivyo, nani hajakueshim, na je mpaka naomba no Nabii mkuu , kwani hakuna wakongwe wenzake mfanoAheshimiwe katiiiibu “Remmy Ongala voice”
Basi sawa baki hivyohivyo, nani hajakueshim, na je mpaka naomba no Nabii mkuu , kwani hakuna wakongwe wenzake mfano
Mwl Mwakasege
Mzee wa upako
Ask Kakobe n.k why unikrush ,haiko sawa katibu nakwambia
Nabii Mkuu & Mtume Mwandamizi Dr na Mheshimiwa sana ana karama yake tofauti na wengine uliowataja.Basi sawa baki hivyohivyo, nani hajakueshim, na je mpaka naomba no Nabii mkuu , kwani hakuna wakongwe wenzake mfano
Mwl Mwakasege
Mzee wa upako
Ask Kakobe n.k why unikrush ,haiko sawa katibu nakwambia
Wewe endeleza kiburi heshimu katibu upewe namna ya kumfikia mheshimwa askofu
Iko hivi , Nabii Mkuu ni mtu wa watu sema tu wenda wanaomzunguka wanamhujum katika ulimwengu wa kimwili, ndo Hawa wanakuja na porojo hapa, Kama sio huyo mtumishi heshima yenu mgepata wapi, ? Sasa nami nsema tukikutana mbinguni Bado nitakupigia magoti , maana ni Hawa wanilqzimosha ongea mengi kabla ya tamko lako ,
Sijakataa that's , nimesema KWa mfano tu ,tueshimiane, nasema msijitukuze nyie na wenzio wakati utukufu amepata Nabii, sio sawa, na nakwambia Kama hu katibu kupitia KWa Nabii atakushusha, na utashangaa Sana ,fanya huduma na utabarikiwa pitia Nabii mkuu,ila usifanye manyanyaso nakwambiaNabii Mkuu & Mtume Mwandamizi Dr na Mheshimiwa sana ana karama yake tofauti na wengine uliowataja.
UsitunyanyaseSasa Ngongo ni katibu, mimi ndio mlinzi sijui utatuponyokaje wewe yaani ongea vizuri na watu heshimu kazi na vitengo vyetu
Sasa Ngongo ni katibu, mimi ndio mlinzi sijui utatuponyokaje wewe yaani ongea vizuri na watu heshimu kazi na vitengo vyetu
Kwani pamoja vyeo vyenu hivi , mtaenda navyo kaburini?Duh sijui atakatiza wapi 😂😂😂
Kama umepata mafao kaa mbali na Daudi Kasambali , la sivyo utakuja kutoa mlio humu ,Kwani pamoja vyeo vyenu hivi , mtaenda navyo kaburini?
Hoja hapa nimeomba no ya mtumishi ya kwake , kwani atufaham yupo na ulinzi Kama mtumishi wa Mungu , Sasa haya yanatoka wapi? Huna no Basi nani amesema anakulazimisha ,?
Vijana utawaweza basi.Pole sana!, hii bundle ulioitumia kuposti humu jf ungeitumia kum google ungeisha ipata number yake wala bandiko hili halikuhitajika!.
Sasa hivi tunaishi kwenye cyber world, ukimtafuta mtu yoyote una google tuu jina lake na contact details zinakuja!
CONTACT
P.O.Box 2566, Arusha,
Tanzania East Africa
Email: gdm@geordavie.org
Phones: ARUSHA HEADQUATERS
+255 739 978 048 (HQ Office)
+255 784 31 51 91 (WhatsApp)
+255 754 31 51 91 (WhatsApp)
+255 715 31 51 91 (WhatsApp)
+255 712 11 22 44 (Dar Branch)
+255 687 066 742 (Dar City Center)
+255 765 438 983 (Mwanza City C)
+255 752 792 978 (Mbeya City C)
P
Unazidi kuharibu shauri yako.Kwani pamoja vyeo vyenu hivi , mtaenda navyo kaburini?
Hoja hapa nimeomba no ya mtumishi ya kwake , kwani atufaham yupo na ulinzi Kama mtumishi wa Mungu , Sasa haya yanatoka wapi? Huna no Basi nani amesema anakulazimisha ,?
Unazidi kuharibu shauri yako.
Naomba niache sijaomba no Yako, bila kijali niache tafadhali ,nimeomba no ya Nabii mkuu Basi ,Kama wewe ndo Nabii mkuu nipe no Basi , why maneno mengi , unachokifanaya ndicho mtumishi amekagiza? Kama sio kaa mbali na mimiUnazidi kuharibu shauri yako.
Wewe ndo waaharibu, kwani omba no ya mtumishi dhambi? ACHA hiziUnazidi kuharibu shauri yako.
Personal number hutolewa na mtu mwenyewe, ukiwa na number binafsi ya mtu, huruhusiwi kuigawa, tumia hiyo ya mwisho 91 utampata kiofisi, akikubali ni yeye atakupa personal number yake.
Ila we dogo, uwe na lugha ya heshima, usilete maneno ya chooni humu!, kuchamb. ni neno la chooni!.
P
Angalau umeongea kitumishi , najua Mungu wa mtumishi uyu ipo siku ,tutaonana tu , nakushukuru nisiwe na maneno mengi, si yupo KWa watu wote ,ipo siku nitamuona tu ,shukraniKama unataka kumuona nabii mkuu George David Kasambale, fika kanisani kwake jumapili, jiandikishe Kama mgeni. Halafu wakati wa ibada atakupa nafasi ya kuongea unachotaka kuongea mbele zake. Siku hizi haonani na watu ofisini Bali wageni wanakuja kanisani na kujielezea wazi mbele ya kanisani shida yao na kutatuliwa hapo.
Pia Kama unahitaji namba ya simu kiprotokali lazima uanzie kws wasaidizi wake ndio wajur shida yako na waone Kama Ina ulazimu wa Nabii Mkuu kuitatua au wao wanao uwezo wa kuitatua.
Na siku hiyo pia urejee humu kutupa mrejesho!.Angalau umeongea kitumishi , najua Mungu wa mtumishi uyu ipo siku ,tutaonana tu , nakushukuru nisiwe na maneno mengi, si yupo KWa watu wote ,ipo siku nitamuona tu ,shukrani