Nabii Mkuu, Geor Davie wa Arusha tafadhali Sana mtumishi

Wanajf , kila siku namtanguliza Mungu , na nikawaida kuwaombea KWA kile kidogo Mungu amenipa,

Naomba mwenye no ya mtumishi tajwa hapo juu ani inbox tafadhali kazi yangu itakua wasiliana naye pale atanipa kibali ,

Natanguliza shukrani wakuu
 
Huyu ni Nabii Mkuu & Mtume Mwandamizi Dr Mheshimiwa sana GeorDavie.

Tafadhali sana unapotaka kumtaja ni vyema na haki ukataja majina na cheo chake vizuri.
Nabii Mkuu Mheshimiwa Dkt. GeorDavie 😀😀
 
Fungulia radio yake ya ngurumo ya upako. Kuna namba wanaitaja kila saa ya kutuma sadaka...
Tuma sadaka halafu wapigie
Ok mtumishi, maana wapo wahuni kaharibu mada ,wahuni sio watu wazuri
 
Ulikuwa na maana gani kurukia cheo mwandamizi Dr Mheshimiwa sana!.
Usimzibie mwenzip anataka kutamkiwa neno na nabiii...siku hizi chawa wanalamba shavu hatari
 
Usimzobie mwenzip anataka kutamkiwa neno na nabiii...siku hizi chawa wanalamba shavu hatari
Rafiki.
Tutunge wimbo wa kumsifia nabii, halafu tumpelekee
 
Sasa kama ulikuwa hujui mimi ni Katibu wa Kanisa la Ngurumo Upako sijui utakatiza wapi unless hujui nguvu ya Katibu
Huwezi amini kaka nimesoma haya maoni yako nimecheka hadi nimepaliwa na mate yani nimecheka sana.
 
Kwanza mayala maana yake ni njaa
Na Likwidi maana yake ni nini, ? ACHA jitoa ufahamu, Likwidi KWa kizungu ni maji mengi , so wewe ni mto, na maana yeke nini Sasa Kama jibu ni ndio
 
🤣🤣🤣🤣
Sasa mimi mwanaume na ndevu zangu eti...sijui baba nabii mkuu, wewe ndio kiboko yao....hakuna kama wewe na blablaa kibaa aaagh siiwezi milele🤣🤣😆🤣
 
Sasa mimi mwanaume na ndevu zangu eti...sijui baba nabii mkuu, wewe ndio kiboko yao....hakuna kama wewe na blablaa kibaa aaagh siiwezi milele🤣🤣😆🤣
Sasa ndevu zako zinatusaidia nini, una no leta hapa, nani amesema anataka kuangalia ndevu zako, hata kambale Wana ndevu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…