Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Yeye na mume wake watakuwa walimchaguaAliyechaguliwa ni Magufuli, hilo linajulikana wala usihangaike kuandika essay ili kupingana na uhalisia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yeye na mume wake watakuwa walimchaguaAliyechaguliwa ni Magufuli, hilo linajulikana wala usihangaike kuandika essay ili kupingana na uhalisia.
Lakini sijui kama atatoboa anaweza kumfuata mwenzakeKila nikifikiria kwamba huu ni mwezi wa 9 tangu arithi hicho kiti roho inauma sana.
Bora waliiba lakini wakawekeza bara na sisi tukapata ajira, huyu anabeba kupeleka Zanzibar kila kitu, tuambie deni la taifa Zanzibar wamelipa shs ngapi?Waliotuibia Pesa Za Richmond, EPA, escrow, melemeta, Makenikia, IPTL ni wa Zanzibar? Yule mzee vijisenti na mama wa vijihela vya mboga ni wa Zanzibar?
Nitafurahi sana ikiwa hivyo.Lakini sijui kama atatoboa anaweza kumfuata mwenzake
Huo ndio ukweli wenyewe, yaani kwenye zile kura kuna waliopiga kura kwaajili ya Samia, kuna waliopiga kura kwaajili ya magufuli, kuna waliopiga kura kwaajili ya CCM tu. Kwenye kura Alizopata maGufuli zilitosha kuchaguliwa kuwa Rais kwa kuchanganya na kura za Samia, waliompenda Samia. Walichanganya kura zao ndio zikatosha. Hii ni elimu ndogo tu ya uraia. Elimu yetu imeshuk jamaniTulimchagua sote sababu bila samia uwezi pigia kura magufuli ndio maana ktk karatasi ya kupigia kura kuna picha yake,kama angekua apaswi kuchaguliwa asingekuwepo pale tulichagua raisi na makamo wake ktk sanduku la kupigia kura sasa hapo unaulizaje alipigiwa na nan,wkt kama wewe ulimpigia magufuli basi ulimpigia na samia,kwaiyo jibu tulimchagua sawa na magufuli.....
Kwa hiyo alitangazwa amepata kura ngapi? acha upuuzi mkuu badilikaTulimchagua sote sababu bila samia uwezi pigia kura magufuli ndio maana ktk karatasi ya kupigia kura kuna picha yake,kama angekua apaswi kuchaguliwa asingekuwepo pale tulichagua raisi na makamo wake ktk sanduku la kupigia kura sasa hapo unaulizaje alipigiwa na nan,wkt kama wewe ulimpigia magufuli basi ulimpigia na samia,kwaiyo jibu tulimchagua sawa na magufuli.....
Ni issue ya muda tuNitafurahi sana ikiwa hivyo.
Masuala ya muungano yanajulikana na yametajwa kwenye katiba, inakuwaje wamejaa kwenye afya, elimu, serikali za mitaa, mashirika mbalimbali wapemba?Sawa lakini hayo siyo ya mama Samia, yamo kwenye article ya Muungano na Katiba ambayo mama Samia nae ni mHanga tu.
Wewe ndio uache kujitoa akili,maana nimekuelimisha swala kupigiwa kura kama ulivyouliza km utataka nikuelimishe na lakutangazwa mshindi tulichagua raisi na makamo wake kama raisi ametangazwa mshindi na makamo wake ni mshindi pia,na ndio maana alipofariki raisi makamo wake amekua raisi kwa maana ya tulishamchagua na kulidhia awe mbadala wa raisi endapo raisi anakua hayupo ktk majukumu yake kwa mujibu wa katiba yetu,sasa una hoja ya kusema samia akuchaguliwa hali ya kua wewe mwenyewe ulimpigia kura kama mwenza wa jpm.....Kwa hiyo alitangazwa amepata kura ngapi? acha upuuzi mkuu badilika
Punguza roho ya chuki na hisia za kipuuzi utaishi maisha ya amani duniani mpaka mbinguni,sisi sote ni watz iwe wa bara au visiwani tunachotaka kuona tanzania inasonga sio kuona watu wa upande flani ndio wanastahili kuliko upande mwingine tuwe na kiasi....Masuala ya muungano yanajulikana na yametajwa kwenye katiba, inakuwaje wamejaa kwenye afya, elimu, serikali za mitaa, mashirika mbalimbali wapemba?
Jinga kabisa, kwahiyo sisi tubaki kuwa wasindikizaji tukose ajira ila wao wapate ajira toka kwetu kama vile sisi hatuna watu wenye sifa? charity began at homePunguza roho ya chuki na hisia za kipuuzi utaishi maisha ya amani duniani mpaka mbinguni,sisi sote ni watz iwe wa bara au visiwani tunachotaka kuona tanzania inasonga sio kuona watu wa upande flani ndio wanastahili kuliko upande mwingine tuwe na kiasi....
Hapa nahelimisha jitu lisilo na nidhamu,huna adabu na ujitambui kama umekosa ajira na unaona kuna jamii inapata na unamchukia aliepata badala ya wewe kujitaidi upate kama yeye basi ndugu yangu ufai hata kuajiriwa ni vyema tumekosa mtu km wew mwenye mawazo ya kuchukia aliyepata kitu ambacho hata wew unatamani kupata....Jinga kabisa, kwahiyo sisi tubaki kuwa wasindikizaji tukose ajira ila wao wapate ajira toka kwetu kama vile sisi hatuna watu wenye sifa? charity began at home
Mpuuzi wewe, yaani watoto wako uwanyime chakula uwape wa jirani? ndiyo maana maza kajaza ndugu zake tupu kila sekta kama vile hakuna wabara wenye sifa, wewe ukipata chance hutosaidia ndugu zako utasaidia majirani, sisi huwa tunaanza home kwanza mpuuzi wewe. Mbona sisi hatupewi nafasi Zanzibar?Hapa nahelimisha jitu lisilo na nidhamu,huna adabu na ujitambui kama umekosa ajira na unaona kuna jamii inapata na unamchukia aliepata badala ya wewe kujitaidi upate kama yeye basi ndugu yangu ufai hata kuajiriwa ni vyema tumekosa mtu km wew mwenye mawazo ya kuchukia aliyepata kitu ambacho hata wew unatamani kupata....
Wamejazwa huko Na mama samia? Usichanganye madesa. Mama samia ana miezi 6 tu kwenye urais hayo yote yalikuwepo, ukienda vyuo vyetu vikuu utawakuta maprofesor ni wapemba, elimu ni swala LA muungano, ukienda Zanzibar utawakuta wabara kibao ni polisi, wanajeshi, mahotelini, darajani Na hata makahaba pia wakifanya Kazi zao. Lengo kuu LA Nyerere kuhusu muungano huu ilikuwa kuifanya Zanzibar Na Tanganyika iwe nchi moja kwelikweli ni wazanzibar tu wanaositasitaMasuala ya muungano yanajulikana na yametajwa kwenye katiba, inakuwaje wamejaa kwenye afya, elimu, serikali za mitaa, mashirika mbalimbali wapemba?
Bahati mbaya maisha ya kwenye visiwa yana protection zake vinginevyo wahusika lively hood zao zinaathirika kirahisi kuliko sisi Kama wao wakimiliki ardhi huku. Haipendezi lakini ndani yake kuna uhalisia.Maanake sisi ndugu zetu wakose ajira ila wao wapate?
hoja nzuri,sijui kwa mkubaliwa kama atawakubali wanao mkubali,mara nyingi tumeona wakubaliwa huegemea kwa wasiowakubari''Madai ya Askofu Jesephat Mwingira wa kanisa la EFATHA aliyoyatoa kwenye sherehe za Christmas aliyatoa sasa baada ya kuwa na Imani na serikali ya mama Samia. Aliona utu, uchaMungu wa dhati na utukufu ndani ya Rais Samia hivyo kuuona wakati wa kuyabwaga yote wakati huu ya moyoni mwake aliyofanyiwa kwenye awamu zilizopita. Hii ni sawa na watoto wanaoshitaki kwa mama yoote waliyofanyiwa na house girl wao wakati mama hayuko nyumbani.
Ni malalamiko ya hope kwa serikali yao ya awamu ya sita. Hii ni kusema kuwa Mama ana kazi kubwa sana ya kuliunganisha taifa kuliko anavyofikiria. Mwingira sio mjinga kwa kiasi hiki anachofikiria Mh. Simbachewene. Mimi ninaiona dhamira safi ndani ya Nabii Mwingira, na wako wengi wenye shida kama ya Mwingira. Asichukuliwe poa au kukegeliwa.
Angekuwa mimi ndiye Rais Samia ningeanzia kwa Nabii Mwingira kuelekea kuwatambua wengine wenye malalamiko genuine kama haya. Wasitishwe bali wapewe moyo wayafichue yote.
Wacha ujinga, wazanzibar in watanzania, hata kwenye ile vita na Uganda ya makusudi ya Nyerere na Idd Amin wazanzibar wengi walipoteza maisha yao mstari wa mbele kwenye mapambano kuilinda Tanganyika. Huwezi kuwalinganisha na Raila odinga. Yaani wewe uko gizani totoro kabisa.Mtu wa bara lazima atapambana kuleta maendeleo kwa watu wake, kwanini Raila Odinga asiwe Rais wetu? shame on you
Aliyepewa kapewa, kuna MTU analilia kuwa rais japo kwa siku 3 tu na hapati. Kuna watu hawawezi kuwa marais maisha yao yote kutokana na tabia zao. Mfano, kuna MTU alimpiga fimbo ya kichwa hadi kuzimia mgombea mwenzie wa chama na kabila moja wakati wa kura za maoni tu, je, kama akiwa Amirijeshi mkuu atafanyaje?Kila nikifikiria kwamba huu ni mwezi wa 9 tangu arithi hicho kiti roho inauma sana.