Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Ndiyo mkuuDuh, umeamua kumsemea kila mtu wa bara!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndiyo mkuuDuh, umeamua kumsemea kila mtu wa bara!!!
Sasa mbona na mimi umenihesabia wakati sina shida na Mama?! Nitoe mkuu 😎Ndiyo mkuu
Hivi wewe jiulize, awe wa bara ama wa zenj, what difference will it make in your life... awe Mkristo ama muislam ama 'none', italeta tofauti gani ? Mambo mengine ni kujihangaisha bure tuuu... we omba Kuwepo utulivu watu wafanye kazi, haki iwepo basi ...Huyu bibi acheni kumdanganya hakuna mtu wa bara anayemtaka wala kumpenda ni kwamba basi watu wamekaa kimya lakini hatumtaki
Wote uliowataja hapo ndio madalali wakuu wa mama Tanzania… hakuna Watanzania wengine zaidi ya hao jamaa? Yaani ni kama ile mitihani y elimu ya scholastic unakuta top ten ni ile ile miaka nenda miaka rudi as if wengine hawana ubongo, wakitoka hapo kuja uraiani hutosikia kamwe kuwa Mo au Bakhresa kuwa walikuwa ma-TO….wenye Nchi tupo tunawachora tu hao wabwabwajikaji.Ningekuwa Rais SSH rais wa JMT ningeunda tume ya maridhiano inaoyoongozwa na maji Warioba, Shehe Ponda, Askofu Rwaichi, Askofu Shoo, Askofu Bagonza, Mzee Lowassa, Mbatia, Mwalimu Mkuu wa watu, Balozi Costa Mahalu, Dr. Slaa, Mzee wa upako, Askofu Mwamakukula, Haji Duni. Ongeza majina mengine kwenye orodha hii.
Wote uliowataja hapo ndio madalali wakuu wa mama Tanzania… hakuna Watanzania wengine zaidi ya hao jamaa? Yaani ni kama ile mitihani y elimu ya scholastic unakuta top ten ni ile ile miaka nenda miaka rudi as if wengine hawana ubongo, wakitoka hapo kuja uraiani hutosikia kamwe kuwa Mo au Bakhresa kuwa walikuwa ma-TO….wenye Nchi tupo tunawachora tu hao wabwabwajikaji.
Mtu wa bara lazima atapambana kuleta maendeleo kwa watu wake, kwanini Raila Odinga asiwe Rais wetu? shame on youHivi wewe jiulize, awe wa bara ama wa zenj, what difference will it make in your life... awe Mkristo ama muislam ama 'none', italeta tofauti gani ? Mambo mengine ni kujihangaisha bure tuuu... we omba Kuwepo utulivu watu wafanye kazi, haki iwepo basi ...
Hata mimi sina shida na maza lakini kwanini sisi hatupewi ajira Zenji wala ardhi?Sasa mbona na mimi umenihesabia wakati sina shida na Mama?! Nitoe mkuu 😎
Ujinga upi, taja ujinga wake ili tuuchambue.Ni kweli kabisa utawala wa jpm haukuwa mzuri , lakini pia hakuna Mtanzania mwenye akili timamu anaeweza kukubali ujinga wa huyo mama yenu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mzee Karume alisema wakifungulia mlango kwetu kile kisiwa kitaelemewa kitazama.Hata mimi sina shida na maza lakini kwanini sisi hatupewi ajira Zenji wala ardhi?
Maanake sisi ndugu zetu wakose ajira ila wao wapate?Mzee Karume alisema wakifungulia mlango kwetu kile kisiwa kitaelemewa kitazama.
Likija swala la utu, tafadhali yake kuliko marehemu.Huyu bibi acheni kumdanganya hakuna mtu wa bara anayemtaka wala kumpenda ni kwamba basi watu wamekaa kimya lakini hatumtaki
Kukopa trillion 11 kwa miezi tisa tu, kisha asilimia kubwa ya pesa hizo kuelekezwa Zanzibar.Ujinga upi, taja ujinga wake ili tuuchambue.
Nakubaliana na weweLikija swala la utu, tafadhali yake kuliko marehemu.
Wapemba sahivi hafanyi kazi tena wanajua kuna mtu anawatetea na kuwaletea bure toka baraKukopa trillion 11 kwa miezi tisa tu, kisha asilimia kubwa ya pesa hizo kuelekezwa Zanzibar.
Tuangalie tulikojikwaa sio tunakoangukia sasa. Tanganyika ndiyo inayoutaka Muungano na kuulinda kwa Kila silaha na kila mbinu na kila hila. Katiba hii ilivyo sasa tuliiandika sisi wenyewe wa Tanganyika. Unapoulinda Muungano lazima umkubali na kumlinda Rais Samia kwakuwa ni zao la Muungano na Katiba mlivyoapa kivilinda mpaka kufa. Hakuna masika yasiokuwa na mbu, tulieni mnyowelewe maana Muungano na Katiba viko wazi, na mamlaka ya Rais yameandikwa kwenye Katiba, kila mtu akasome, mengineyo ni majingu, upuuzi, na utovu wa nidhamu.Mtu wa bara lazima atapambana kuleta maendeleo kwa watu wake, kwanini Raila Odinga asiwe Rais wetu? shame on you
Tulimchagua sote sababu bila samia uwezi pigia kura magufuli ndio maana ktk karatasi ya kupigia kura kuna picha yake,kama angekua apaswi kuchaguliwa asingekuwepo pale tulichagua raisi na makamo wake ktk sanduku la kupigia kura sasa hapo unaulizaje alipigiwa na nan,wkt kama wewe ulimpigia magufuli basi ulimpigia na samia,kwaiyo jibu tulimchagua sawa na magufuli.....Alichaguliwa na nani? alipata kura ngapi? mpuuzi wewe endelea kufurahia vyeo vya wazanzibar wenzako sababu huwezi kufanya kazi
Waliotuibia Pesa Za Richmond, EPA, escrow, melemeta, Makenikia, IPTL ni wa Zanzibar? Yule mzee vijisenti na mama wa vijihela vya mboga ni wa Zanzibar?Mtu wa bara lazima atapambana kuleta maendeleo kwa watu wake, kwanini Raila Odinga asiwe Rais wetu? shame on you
Aliyechaguliwa ni Magufuli, hilo linajulikana wala usihangaike kuandika essay ili kupingana na uhalisia.Tulimchagua sote sababu bila samia uwezi pigia kura magufuli ndio maana ktk karatasi ya kupigia kura kuna picha yake,kama angekua apaswi kuchaguliwa asingekuwepo pale tulichagua raisi na makamo wake ktk sanduku la kupigia kura sasa hapo unaulizaje alipigiwa na nan,wkt kama wewe ulimpigia magufuli basi ulimpigia na samia,kwaiyo jibu tulimchagua sawa na magufuli.....
Kila nikifikiria kwamba huu ni mwezi wa 9 tangu arithi hicho kiti roho inauma sana.Wapemba sahivi hafanyi kazi tena wanajua kuna mtu anawatetea na kuwaletea bure toka bara
Mpaka 2030 tutakuwa tumekoma Zanzibar itakuwa Geneva of AfricaTuangalie tulikojikwaa sio tunakoangukia sasa. Tanganyika ndiyo inayoutaka Muungano na kuulinda kwa Kila silaha na kila mbinu na kila hila. Katiba hii ilivyo sasa tuliiandika sisi wenyewe wa Tanganyika. Unapoulinda Muungano lazima umkubali na kumlinda Rais Samia kwakuwa ni zao la Muungano na Katiba mlivyoapa kivilinda mpaka kufa. Hakuna masika yasiokuwa na mbu, tulieni mnyowelewe maana Muungano na Katiba viko wazi, na mamlaka ya Rais yameandikwa kwenye Katiba, kila mtu akasome, mengineyo ni majingu, upuuzi, na utovu wa nidhamu.
Wabunge walipokuwa wanatunga na kupitisha Sheria mbaya walidhani ni kwaajili ya jpm tu, watulie dawa iingie. Baada ya kifo cha mpendwa wetu JPM kuna mijitu ilitamani Katiba iandikwe upya, kupitishwa na kutumika hapo hapo ili kuondoa baadhi ya maneno na ibara, thubuutu, it was too late to do so. Wapinzani walipokuwa wakiilalamikia Katiba na madaraka ya Katiba yapunguzwe wabunge walimfikiria jpm tu, sasa wakae kimya mama aitumie Katiba hiihii kuinyoosha nchi kama vile jpm alivyoitumia kununua ndege kwa cash bila kuhojiwa na mtu, kujenga uwanja chato bila kuhojiwa na mtu, kutowalipa watu mishahara yao kwa miaka 6 bila kuhojiwa na mtu, Kuhamia dodoma bila kuhojiwa na mtu, kuondoa baadhi ya kodi bila Kuhojiwa na mtu, kukopa ndani na nje bila kuhojiwa na mtu. Haiwezekani mama samia tumchagulie cha kufanya, huko ni kuvunja Katiba.
Tumuache mama Samia apange safu YAKE kwa uhuru kwa mujibu wa Katiba. Apange tume yake ya uchaguzj, mawaziri, wakurugenzi wa uchaguzj, wakuu wa mikoa, Wilaya, mashirika na taasisi zote kwa uhuru na mamlaka aliyopewa Na Katiba hii.