Nabii Mwingira ni Ishara ya kukubalika kwa Rais Samia

Nabii Mwingira ni Ishara ya kukubalika kwa Rais Samia

Matusi ya nini mzee? utakuwa umefoji vyeti wewe ndiyo maana unashangilia ujinga
Ukianza ubaguzi wa kuwaita wapemba na waunguja huo ubaguzi utakutafuna ukishakuwa na Tanganyika, ni dhambi siku zote inakutafuna mpaka unapokwenda kaburini.
 
Wewe ndio humtaki kwa sababu JPM kuua watu ndio ilikuwa furaha yako. Tumempata Rais wa haki ndIo maana kila mtu anaishitakia serikali iliyopita kwa mama.
Ipi mkuu,nadhani munaowafurahia hawa ni vijana wahivi karibuni,maana huwa wanatumia mda kidogo sana wa faraja,asipo waumiza kwa kupiga atawaumiza kwa njia nyingine mtakumbuka baadae.
Kama anahaki si angemuachia Mwenuekiti wenu,angelikubali kukutana na vyama vya siasa kwa ajili ya maridhiano. Kitu ambacho hujui ndani ya kile chama,kunamisingi lqzima uitimize unapokuwa madarakani.
 
Hii Ni awamu mpya ndo Mana aliapa vinginevyo kiapo kingebaki Cha jpm yeye akaendeleza kiapo kilekile.

Na ndo mana yuko tofauti kabisa na jpm. Jpm alikuwa anaua lakini yeye amekuja tofauti. Jpm alikuwa hatoi ajira au haajiri na alikuwa anapora watu pesa kwa kuvamia account zao lakini mama hawezi kufanya upumbavu huo.
Unaushahidi,wahayo unayo yazungumza?
Kama anapenda haki na usawa,abadilishe sheria kandamizi,avunje bunge tuchague upya.
 
Kwa style ya JPM ni kama vile hakuwepo kwenye awamu ya tano. Hukumbuki hata waziri mkuu alitishiwa kupigiwa shangazi zake kwaajili ya korosho? Hukumbuki hata waziri mkuu aliambiwa nafasi yake sio ya kudumu kama ya Sumaye miaka 10? Hukumbuki hata makamu wa Rais alikuwa akidhihakiwa hadharani kuwa ni mzuri na mweupe? Mzee alikuwa alfa na omega.
Kwani kusifiwa ni dhihaka? Mbona mimi nawasifia wanawake hadharani ni dhihaka hiyo?
Tafta hoja mkuu.
 
Ipi mkuu,nadhani munaowafurahia hawa ni vijana wahivi karibuni,maana huwa wanatumia mda kidogo sana wa faraja,asipo waumiza kwa kupiga atawaumiza kwa njia nyingine mtakumbuka baadae.
Kama anahaki si angemuachia Mwenuekiti wenu,angelikubali kukutana na vyama vya siasa kwa ajili ya maridhiano. Kitu ambacho hujui ndani ya kile chama,kunamisingi lqzima uitimize unapokuwa madarakani.
Point tupu
 
Hizo takwimu za watu wa bara wanaomchukia Samia umezipataje? Yaani ukivimbiwa makande na wanao ndipo mnajiona ndiyo Tanzania bara??

Kwa taarifa yako viongozi WAISLAMU wanaleta utulivu wa nchi kuliko Wakristu. Tutegemee makubwa kwa Samia
Hahahaha,kumbe kinacho wasumbua ni udini? Basi kilamumoja achague wa dini yake sasa. Acheni UPUMBAVU WA UDINI TZ hatuko hivyo,makosa ya mtu yasipelekwe kwenye dini.
Miaka 20 bara tumeongozwa na waislam kunatofauti na miaka ya wakristu? Tumieni vichwa kuwaza ndg,mtafarakana bila sababu yoyote. Zanzbar miaka yote waislamu kunamaajabu gani? Dini haipotezi sifa ya mwanasiasa kamwe
 
Awamu hii ya sita lazima itoe suluhisho la jumla kwakuwa walioumizwa na awamu ya tano ni wengi sana sana sana sana. Fikiria tu mfano wa watumishi woooote wakiwemo polisi hawakuongezewa mshahara kwa miaka 6. Suppliers na makandarasi hawakulipwa fedha zao. Kuna saupplier mmoja aliilisha taasisi ya umma huko Morogoro, hakulipwa hadi akishindwa kulipa ada ya mwanawe chuo kikuu hadi mtoto akakosa mitihani mpaka leo anahangaika na kurudia masomo mwaka mzima.

Akina Mwingira ni kipande kidogo tu kinachoonekana cha meli iliyozama majini. Suluhu ya jumla lazima ifanyike pamoja na kuwalipa wanaoidai saerikali
Huyo supplier akueleze kwa nini hakulipa hao walikuwa wanakula njama na watumishi wa serikali wanasapply vitu hewa na wanalipwa pesa za bure. Kama alikumbwa na hiyo kadhia akueleze vizuri awe mkweli hawezi kuacha kulipwa kama taratibu zote zimefuatwa.
 
Ujinga upi,kumbe bado munadhana ya kuwa mpinzani ni mjinga na adui? Daa umenisikitisha sana. Kumbe bado munasukumwa na hisia tu.
Nabii Mwingira haya anayoyasema leo angeweza kuyasema miaka ya JPM?. Ndio unafiki wenyewe wa hawa viongozi wa dini.
 
Back
Top Bottom