Nabii Mwingira ni Ishara ya kukubalika kwa Rais Samia

Nabii Mwingira ni Ishara ya kukubalika kwa Rais Samia

Ingia barabarani uandamane.

Samia ni Rais.

Na Mbowe na Lissu hawatakuwa rais wa Tanzania mpaka WANAKUFA.

Huo ndio UKWELI MCHUNGU hutaki JIUE.
Ungeandika Twitter hivi Hayo Matusi yake usingeyabeba[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ni wewe tu ndo humtaki, Mimi mtu wa bara ila namtaka na nasema atake asitake tutamuongezea muda atawale milele
Wafuasi wa Nyerere hawakumpa tabu Rais Ali Hasani Mwinyi, Wafuasi wa Mwinyi hawakumpa shida Rais Mkapa, Wafuasi wa mkapa hawakuwa na maneno kwa Rais Kikwete, Wafuasi wa Kikwete walikaa kimya kwa Rais Magufuli. Lakini Wafuasi wa Magufuli Wana kelele nyingi kwa Rais Samia. Shida ni nini hasa, ni kabila, Rais mwana mke au nini?
 
Ni nyakati kubadilika na aina ya watu kubadilika pia. Walimuona JPM kama vile ni nusu ya malaika, hakosei na aliwapa matumaini makubwa mno.

Alikuwa ni Populist President aina ya viongozi wanaojali maoni ya wengi hata kama maamuzi atakayofanya yatawaumiza baadhi ya watu hakujali.
 
Back
Top Bottom