Nabii Mwingira ni Ishara ya kukubalika kwa Rais Samia

Waliotuibia Pesa Za Richmond, EPA, escrow, melemeta, Makenikia, IPTL ni wa Zanzibar? Yule mzee vijisenti na mama wa vijihela vya mboga ni wa Zanzibar?
Bora waliiba lakini wakawekeza bara na sisi tukapata ajira, huyu anabeba kupeleka Zanzibar kila kitu, tuambie deni la taifa Zanzibar wamelipa shs ngapi?
 
Huo ndio ukweli wenyewe, yaani kwenye zile kura kuna waliopiga kura kwaajili ya Samia, kuna waliopiga kura kwaajili ya magufuli, kuna waliopiga kura kwaajili ya CCM tu. Kwenye kura Alizopata maGufuli zilitosha kuchaguliwa kuwa Rais kwa kuchanganya na kura za Samia, waliompenda Samia. Walichanganya kura zao ndio zikatosha. Hii ni elimu ndogo tu ya uraia. Elimu yetu imeshuk jamani
 
Kwa hiyo alitangazwa amepata kura ngapi? acha upuuzi mkuu badilika
 
Maanake sisi ndugu zetu wakose ajira ila wao wapate?
Sawa lakini hayo siyo ya mama Samia, yamo kwenye article ya Muungano na Katiba ambayo mama Samia nae ni mHanga tu.
 
Sawa lakini hayo siyo ya mama Samia, yamo kwenye article ya Muungano na Katiba ambayo mama Samia nae ni mHanga tu.
Masuala ya muungano yanajulikana na yametajwa kwenye katiba, inakuwaje wamejaa kwenye afya, elimu, serikali za mitaa, mashirika mbalimbali wapemba?
 
Kwa hiyo alitangazwa amepata kura ngapi? acha upuuzi mkuu badilika
Wewe ndio uache kujitoa akili,maana nimekuelimisha swala kupigiwa kura kama ulivyouliza km utataka nikuelimishe na lakutangazwa mshindi tulichagua raisi na makamo wake kama raisi ametangazwa mshindi na makamo wake ni mshindi pia,na ndio maana alipofariki raisi makamo wake amekua raisi kwa maana ya tulishamchagua na kulidhia awe mbadala wa raisi endapo raisi anakua hayupo ktk majukumu yake kwa mujibu wa katiba yetu,sasa una hoja ya kusema samia akuchaguliwa hali ya kua wewe mwenyewe ulimpigia kura kama mwenza wa jpm.....
 
Masuala ya muungano yanajulikana na yametajwa kwenye katiba, inakuwaje wamejaa kwenye afya, elimu, serikali za mitaa, mashirika mbalimbali wapemba?
Punguza roho ya chuki na hisia za kipuuzi utaishi maisha ya amani duniani mpaka mbinguni,sisi sote ni watz iwe wa bara au visiwani tunachotaka kuona tanzania inasonga sio kuona watu wa upande flani ndio wanastahili kuliko upande mwingine tuwe na kiasi....
 
Jinga kabisa, kwahiyo sisi tubaki kuwa wasindikizaji tukose ajira ila wao wapate ajira toka kwetu kama vile sisi hatuna watu wenye sifa? charity began at home
 
Jinga kabisa, kwahiyo sisi tubaki kuwa wasindikizaji tukose ajira ila wao wapate ajira toka kwetu kama vile sisi hatuna watu wenye sifa? charity began at home
Hapa nahelimisha jitu lisilo na nidhamu,huna adabu na ujitambui kama umekosa ajira na unaona kuna jamii inapata na unamchukia aliepata badala ya wewe kujitaidi upate kama yeye basi ndugu yangu ufai hata kuajiriwa ni vyema tumekosa mtu km wew mwenye mawazo ya kuchukia aliyepata kitu ambacho hata wew unatamani kupata....
 
Tunampenda sana Raisi wetu amani imetawala hakuna vitisho Wala kuokotwa kwenye viroba
 
Mpuuzi wewe, yaani watoto wako uwanyime chakula uwape wa jirani? ndiyo maana maza kajaza ndugu zake tupu kila sekta kama vile hakuna wabara wenye sifa, wewe ukipata chance hutosaidia ndugu zako utasaidia majirani, sisi huwa tunaanza home kwanza mpuuzi wewe. Mbona sisi hatupewi nafasi Zanzibar?
 
Masuala ya muungano yanajulikana na yametajwa kwenye katiba, inakuwaje wamejaa kwenye afya, elimu, serikali za mitaa, mashirika mbalimbali wapemba?
Wamejazwa huko Na mama samia? Usichanganye madesa. Mama samia ana miezi 6 tu kwenye urais hayo yote yalikuwepo, ukienda vyuo vyetu vikuu utawakuta maprofesor ni wapemba, elimu ni swala LA muungano, ukienda Zanzibar utawakuta wabara kibao ni polisi, wanajeshi, mahotelini, darajani Na hata makahaba pia wakifanya Kazi zao. Lengo kuu LA Nyerere kuhusu muungano huu ilikuwa kuifanya Zanzibar Na Tanganyika iwe nchi moja kwelikweli ni wazanzibar tu wanaositasita
 
Maanake sisi ndugu zetu wakose ajira ila wao wapate?
Bahati mbaya maisha ya kwenye visiwa yana protection zake vinginevyo wahusika lively hood zao zinaathirika kirahisi kuliko sisi Kama wao wakimiliki ardhi huku. Haipendezi lakini ndani yake kuna uhalisia.
 
hoja nzuri,sijui kwa mkubaliwa kama atawakubali wanao mkubali,mara nyingi tumeona wakubaliwa huegemea kwa wasiowakubari''
 
Mtu wa bara lazima atapambana kuleta maendeleo kwa watu wake, kwanini Raila Odinga asiwe Rais wetu? shame on you
Wacha ujinga, wazanzibar in watanzania, hata kwenye ile vita na Uganda ya makusudi ya Nyerere na Idd Amin wazanzibar wengi walipoteza maisha yao mstari wa mbele kwenye mapambano kuilinda Tanganyika. Huwezi kuwalinganisha na Raila odinga. Yaani wewe uko gizani totoro kabisa.
 
Kila nikifikiria kwamba huu ni mwezi wa 9 tangu arithi hicho kiti roho inauma sana.
Aliyepewa kapewa, kuna MTU analilia kuwa rais japo kwa siku 3 tu na hapati. Kuna watu hawawezi kuwa marais maisha yao yote kutokana na tabia zao. Mfano, kuna MTU alimpiga fimbo ya kichwa hadi kuzimia mgombea mwenzie wa chama na kabila moja wakati wa kura za maoni tu, je, kama akiwa Amirijeshi mkuu atafanyaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…