Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 29,314
- 93,919
Wakuu, ni Nabii Rolinga ten, Mtumishi wa Mungu ambaye Karama yake ya Unabii siku zote imetimia !!.
Awaonya wanaofungua makanisa , awataka washughulike na MTU na sio Waumini .
Asema, Hamna Mfalme yoyote katika Maandiko matakatifu aliyewah Ingilia ufalme wa Mungu na akamshinda Mungu, Hayupo na hatokuwepo.
Asema hatonyamaza dhidi ya Utekaji na Mauaji
Akiongea Kwa kusisitiza, huku akiwakumbusha watu kutokudharau na kujiona hawawezi kua kitu , Nabiii akasema "Within 90 days kinaenda kutokea kitu ambacho Taifa litasimama
Asema, Hamna MTU Wala kikundi Cha watu kinachoweza libadilisha hili Tukio, Njia pekee ya Tukio kutotokea ni WAHUSIKA KUGEUKA, KUZIACHA NJIA ZAO OVU.
Wakuu kuweni na Amani, huyu Nabii Huwa Sina naye Mashaka.
SAMIA HATOBOI
Sikiliza kuanzia Dakika ya 7
Huwezi shindana na Mungu , huwezi kuliita Kanisa la Mungu ,Kanisa la Kishetani.
Mungu ni Mungu mwenye wivu mkubwa, huwezi kuchukua Mamlaka yake na kumpa Shetani !!.