Nabii Rolinga : Siku 90 zijazo, Tanzania kutokea janga zito 'Hii ni hasira ya Mungu'

Hakuna nabii mweusi bali matapeli weusi na Mungu hawezi kuwa jirani na matapeli weusi kwani ni mashetani
 
Upumbavu mtupu
Jitu zima linaleta habari za utabiri wa nabii fulani tapeli , kwa matumaini kabisa itatokea
Hii nchi imejaa mafwamba tupu....
HIlo bichwa umejaza matope ? Kazi ya Kichwa chako SI kubeba Shingo
 
Labda kwako yeye ni kikwazo lakini bado ni tumaini kwa wengine wengi kuliko wewe
Wengime wapi ikiwa Kila Mahali ni Kilio ? Kama hujatekewa ndugú,umeuliwa, kafunguliwa kesi, kazuiwa kuabudu , Rasilimali za Nchi zimeenda Kwa Waarabu??.

Yaan Kwa wengine ni lipi Hilo?
 
  • Thanks
Reactions: K11
Wakuu, ni Nabii Rolinga ten, Mtumishi wa Mungu ambaye Karama yake ya Unabii siku zote imetimia !!.

Awaonya wanaofungua makanisa , awataka washughulike na MTU na sio Waumini .

Asema, Hamna Mfalme yoyote katika Maandiko matakatifu aliyewah Ingilia ufalme wa Mungu na akamshinda Mungu, Hayupo na hatokuwepo.

Asema hatonyamaza dhidi ya Utekaji na Mauaji

Akiongea Kwa kusisitiza, huku akiwakumbusha watu kutokudharau na kujiona hawawezi kua kitu , Nabiii akasema "Within 90 days kinaenda kutokea kitu ambacho Taifa litasimama

Asema, Hamna MTU Wala kikundi Cha watu kinachoweza libadilisha hili Tukio, Njia pekee ya Tukio kutotokea ni WAHUSIKA KUGEUKA, KUZIACHA NJIA ZAO OVU.

Wakuu kuweni na Amani, huyu Nabii Huwa Sina naye Mashaka.

SAMIA HATOBOI
Sikiliza kuanzia Dakika ya 7

View: https://youtu.be/7GW8JLtaxBs?si=zJDQhtVhgraLa4pb

Huwezi shindana na Mungu , huwezi kuliita Kanisa la Mungu ,Kanisa la Kishetani.

Mungu ni Mungu mwenye wivu mkubwa, huwezi kuchukua Mamlaka yake na kumpa Shetani !!.

Ni ushirikina tu huo.Lete mambo kisayansi
 
HIlo bichwa umejaza matope ? Kazi ya Kichwa chako SI kubeba Shingo
What a buffon?
Yaani jitu lina misharubu mpaka ndani ya pua, likaa kitako nakuleta stori za nabii fulani kasema hivi, na itatokea baada ya siku 90
wewe zoba, au tutusa au life limekupiga unajipa matumaini hewa
 
Mfikisheni Ujumbe Huu wa Nabii, Rais Samia .
Huyo anayejiita nabii Rolinga Tapeli lengo lake kutafuta viewers na followers wengi YouTube ili alipwe na youtube
Wimbi la wanaojitokeza wengi kutukana serikali wakiwemo huyo Rolinga,Gwajima,mange kimambu, polepole nk ni kutafuta viewers na followers wengi mitandao yao

Mu wa ignore tu

Do
 
What a buffon?
Yaani jitu lina misharubu mpaka ndani ya pua, likaa kitako nakuleta stori za nabii fulani kasema hivi, na itatokea baada ya siku 90
wewe zoba, au tutusa au life limekupiga unajipa matumaini hewa
Ikitokea,nnikufanye nn kwenye hiko kinyeo?.
 
Wakuu, ni Nabii Rolinga ten, Mtumishi wa Mungu ambaye Karama yake ya Unabii siku zote imetimia !!.

Awaonya wanaofungua makanisa , awataka washughulike na MTU na sio Waumini .

Asema, Hamna Mfalme yoyote katika Maandiko matakatifu aliyewah Ingilia ufalme wa Mungu na akamshinda Mungu, Hayupo na hatokuwepo.

Asema hatonyamaza dhidi ya Utekaji na Mauaji

Akiongea Kwa kusisitiza, huku akiwakumbusha watu kutokudharau na kujiona hawawezi kua kitu , Nabiii akasema "Within 90 days kinaenda kutokea kitu ambacho Taifa litasimama

Asema, Hamna MTU Wala kikundi Cha watu kinachoweza libadilisha hili Tukio, Njia pekee ya Tukio kutotokea ni WAHUSIKA KUGEUKA, KUZIACHA NJIA ZAO OVU.

Wakuu kuweni na Amani, huyu Nabii Huwa Sina naye Mashaka.

SAMIA HATOBOI
Sikiliza kuanzia Dakika ya 7

View: https://youtu.be/7GW8JLtaxBs?si=zJDQhtVhgraLa4pb

Huwezi shindana na Mungu , huwezi kuliita Kanisa la Mungu ,Kanisa la Kishetani.

Mungu ni Mungu mwenye wivu mkubwa, huwezi kuchukua Mamlaka yake na kumpa Shetani !!.

Ni dhahiri aliye fanya hilo la kufunga kanisa anatafuta tu balaa
 
Ikitokea,nnikufanye nn kwenye hiko kinyeo?.
Bahati mbaya jf hawalipi kuandikaandika vinyuzi vyako
Kutwa kucha unaposti upupu zaidi ya mara kumi, tafuta kazi kilaza wewe, kajitolee hata kuwa mpiga deki hospitalini naona hiko cheti cha ukliniko medisine kimebuma
Maisha yamefupiga haswa inaonekana sio kwa msongo huu
 
Wakuu, ni Nabii Rolinga ten, Mtumishi wa Mungu ambaye Karama yake ya Unabii siku zote imetimia !!.

Awaonya wanaofungua makanisa , awataka washughulike na MTU na sio Waumini .

Asema, Hamna Mfalme yoyote katika Maandiko matakatifu aliyewah Ingilia ufalme wa Mungu na akamshinda Mungu, Hayupo na hatokuwepo.

Asema hatonyamaza dhidi ya Utekaji na Mauaji

Akiongea Kwa kusisitiza, huku akiwakumbusha watu kutokudharau na kujiona hawawezi kua kitu , Nabiii akasema "Within 90 days kinaenda kutokea kitu ambacho Taifa litasimama

Asema, Hamna MTU Wala kikundi Cha watu kinachoweza libadilisha hili Tukio, Njia pekee ya Tukio kutotokea ni WAHUSIKA KUGEUKA, KUZIACHA NJIA ZAO OVU.

Wakuu kuweni na Amani, huyu Nabii Huwa Sina naye Mashaka.

SAMIA HATOBOI
Sikiliza kuanzia Dakika ya 7

View: https://youtu.be/7GW8JLtaxBs?si=zJDQhtVhgraLa4pb

Huwezi shindana na Mungu , huwezi kuliita Kanisa la Mungu ,Kanisa la Kishetani.

Mungu ni Mungu mwenye wivu mkubwa, huwezi kuchukua Mamlaka yake na kumpa Shetani !!.

Manabii nao wameona wasikae mbali wanataka kupita mulemule
 
Back
Top Bottom