ManchoG
JF-Expert Member
- Jul 31, 2017
- 3,828
- 5,728
Siwezi kufurahia aina yeyote ya kuto kuwajibika kwa viongozi kwa nafasi zaoWengime wapi ikiwa Kila Mahali ni Kilio ? Kama hujatekewa ndugú,umeuliwa, kafunguliwa kesi, kazuiwa kuabudu , Rasilimali za Nchi zimeenda Kwa Waarabu??.
Yaan Kwa wengine ni lipi Hilo?
Kupoteza mpendwa yeyote yule ni huzuni kuliko inavyoweza kuelezwa
Lakini kitu muhimu ni hiki, ikiwa matukio ya ukatili yapo karibu yetu kuliko tunavyodhani
Na kwa namna moja unadhani unaweza kuangamiza mmoja ili kuokoa maelfu, ni kipi kilichokusukuma kudhani maelfu wanathamani kuliko huyo mmoja.!?
Mafundisho yanafunda vema kwamba si lazima wengi wapewe ili Kupata usahihi
Wakati mmoja Jeshi la mtu mmoja linaweza kuwa na maana kubwa kuliko mapovu ya maelfu