Nabii Rolinga : Siku 90 zijazo, Tanzania kutokea janga zito 'Hii ni hasira ya Mungu'

Wakuu, ni Nabii Rolinga ten, Mtumishi wa Mungu ambaye Karama yake ya Unabii siku zote imetimia !!.

Awaonya wanaofungua makanisa , awataka washughulike na MTU na sio Waumini .

Asema, Hamna Mfalme yoyote katika Maandiko matakatifu aliyewah Ingilia ufalme wa Mungu na akamshinda Mungu, Hayupo na hatokuwepo.

Asema hatonyamaza dhidi ya Utekaji na Mauaji

Akiongea Kwa kusisitiza, huku akiwakumbusha watu kutokudharau na kujiona hawawezi kua kitu , Nabiii akasema "Within 90 days kinaenda kutokea kitu ambacho Taifa litasimama

Asema, Hamna MTU Wala kikundi Cha watu kinachoweza libadilisha hili Tukio, Njia pekee ya Tukio kutotokea ni WAHUSIKA KUGEUKA, KUZIACHA NJIA ZAO OVU.

Wakuu kuweni na Amani, huyu Nabii Huwa Sina naye Mashaka.

SAMIA HATOBOI
Sikiliza kuanzia Dakika ya 7
View attachment 3413022

Huwezi shindana na Mungu , huwezi kuliita Kanisa la Mungu ,Kanisa la Kishetani.

Mungu ni Mungu mwenye wivu mkubwa, huwezi kuchukua Mamlaka yake na kumpa Shetani !!.
Siku 90 ziliishia hapa, je huyu bwege anayejiita nabii yuko wapi atuambie hayo mambo yako wapi?

Kwa kweli UKRISTU unatumika vibaya sana Tanzania pale ambapo Rais anakuwa ni Muislamu.

Kila TAPELI anajiita NABII halafu anatoa mautabiri dhidi ya kiongozi Muislamu. Mbona Magufuli hamkumtabiria hivyo?? Na mbona hamkuzuia asinyakuliwe
 
Ila nyie upande wa pili kwa kudanganywa bhana mpo vyedi sanaaa
 
Vinabii vitapeli. Kisipotokea kitu vinakaa kimya. Kikitokea vinaanza kupandisha clips kuwa nilitabiri, nilitabiri. . .wajinga nao wanaviamini
 
Mungu ana Hasira ? Kwahio Hasira ni nzuri (Umungu) !

Haya mambo ya kuchanganya issues muhimu / concrete na mambo ya Imani ni kucheza mchezo wa Watawala (yaani ni kama Opium inazimika zimika wewe unaiwasha na kumpa Puff jirani yako) - Bangi ni Bangue
 
Wakuu, ni Nabii Rolinga ten, Mtumishi wa Mungu ambaye Karama yake ya Unabii siku zote imetimia !!.

Awaonya wanaofungua makanisa , awataka washughulike na MTU na sio Waumini .

Asema, Hamna Mfalme yoyote katika Maandiko matakatifu aliyewah Ingilia ufalme wa Mungu na akamshinda Mungu, Hayupo na hatokuwepo.

Asema hatonyamaza dhidi ya Utekaji na Mauaji

Akiongea Kwa kusisitiza, huku akiwakumbusha watu kutokudharau na kujiona hawawezi kua kitu , Nabiii akasema "Within 90 days kinaenda kutokea kitu ambacho Taifa litasimama

Asema, Hamna MTU Wala kikundi Cha watu kinachoweza libadilisha hili Tukio, Njia pekee ya Tukio kutotokea ni WAHUSIKA KUGEUKA, KUZIACHA NJIA ZAO OVU.

Wakuu kuweni na Amani, huyu Nabii Huwa Sina naye Mashaka.

SAMIA HATOBOI
Sikiliza kuanzia Dakika ya 7
View attachment 3413022

Huwezi shindana na Mungu , huwezi kuliita Kanisa la Mungu ,Kanisa la Kishetani.

Mungu ni Mungu mwenye wivu mkubwa, huwezi kuchukua Mamlaka yake na kumpa Shetani !!.
Kanisa la Mungu yupi? Yule alikuwa akila na kunya? Alokamatwa na kijana aliyekuwa uchi pale kwenye vichaka vya Gesthemane?
 
Back
Top Bottom