Nabii Rolinga : Siku 90 zijazo, Tanzania kutokea janga zito 'Hii ni hasira ya Mungu'

Nabii Rolinga : Siku 90 zijazo, Tanzania kutokea janga zito 'Hii ni hasira ya Mungu'

Kwahiyo atabiri, Watanzania Limeni sana Korosho, inalipa.

Hamieni na kwenye Kahawa, Miwa?.

Nabii anawajibikia mambo makubwa ya kiroho, sio mambo ya akili za mwanadam.

Suala la kilimo ,Maendeleo, ni masuala ya Akili za binadam
Kwa hiyo kazi ya Nabii kwenye Taifa ni kutabiri vifo vya viongozi wa nchi na mambo mabaya kukipata taifa?
 
Hauujui Ukristo Sasa .

Hujui hata Wafalme Ndani ya Biblía waliotabiriwa mabaya, wakapuuza, na yakawapata??.
Wafalme wa kwenye agano la kale walikuwa ni viongozi wa kiroho pia. Sio hawa wa KIKAISALI. Ndio maana Idd amini, China uarabuni wako wafalme au Marais wasiomtambua Yesu na wanakufa uzeeni bila kupatwa mabaya KWA sababu za kidini.

Ndio maana nasema ANACHANGANYA siasa za KIKAISALI na maandiko
 
Wakuu, ni Nabii Rolinga ten, Mtumishi wa Mungu ambaye Karama yake ya Unabii siku zote imetimia !!.

Awaonya wanaofungua makanisa , awataka washughulike na MTU na sio Waumini .

Asema, Hamna Mfalme yoyote katika Maandiko matakatifu aliyewah Ingilia ufalme wa Mungu na akamshinda Mungu, Hayupo na hatokuwepo.

Asema hatonyamaza dhidi ya Utekaji na Mauaji

Akiongea Kwa kusisitiza, huku akiwakumbusha watu kutokudharau na kujiona hawawezi kua kitu , Nabiii akasema "Within 90 days kinaenda kutokea kitu ambacho Taifa litasimama

Asema, Hamna MTU Wala kikundi Cha watu kinachoweza libadilisha hili Tukio, Njia pekee ya Tukio kutotokea ni WAHUSIKA KUGEUKA, KUZIACHA NJIA ZAO OVU.

Wakuu kuweni na Amani, huyu Nabii Huwa Sina naye Mashaka.

SAMIA HATOBOI
Sikiliza kuanzia Dakika ya 7

View: https://youtu.be/7GW8JLtaxBs?si=zJDQhtVhgraLa4pb

Huwezi shindana na Mungu , huwezi kuliita Kanisa la Mungu ,Kanisa la Kishetani.

Mungu ni Mungu mwenye wivu mkubwa, huwezi kuchukua Mamlaka yake na kumpa Shetani !!.

Nakupngezea huyi kaamua afunguke tu japo

View: https://youtu.be/d76wWBat-Fg?si=cdWGkOk6aElW98vL
 
Manabii wanachagua nchi za kutabiria uchaguzi
 
Kazi yake ni kutoa Unabii.

Iwe ni wa Kifo, au njaa au Magonjwa, kikubwa ni Unabii.
Manabii wanaonyeshwa matatizo na suluhisho na vyote vinawekwa wazi.
.Yusufu alitabiri neema Misri kisha njaa. Na akasema kwenye neema akiba itunzwe. Mfano wa unabii wa UCHUMI.

Kutabiria Kifo Kila anayekuja ni uchawi sio unabii. Kama JPM alintabiria Kifo, anatakiwa aonyweshwe na suluhisho Mbadala baada ya Kifo, sio kusikia malalamiko ya kisiasa na wewe unavizia hapohapo. Ule ni ushirikina sio unabii.
 
Sa
Kafatilie utabiri wake wa Tukio la 2021 , alisema lini na Kifo kikawa lini
Sasa na wewe unakaa unaamini hizi tabiri za "Generalization?" Kwanini asiwe specific kuwa ndani ya hizo siku 90 kuna tukio fulani litatokea.Hilo tukio la mwaka 2021 afadhali kidogo Lema alitabiri wazi kuwa Magufuli atakufa,kuliko hao wengine wanafanyat tabiri za jumla,ndani ya hizo siku tisini tukio lolote litakalotokea atakuja hapa aseme si niliwaambia mimi
 
samia alisema wengine wanaabudu ushetani, akimaanisha kanisa la gwajima linaabudu ushetani. naamini aliteleza ulimi tu. ila namshauri abadilike, ameharibu sana nchi hii.
Abadilike au ang'atuke kabisa!?
 
Back
Top Bottom