Nabii Rolinga : Siku 90 zijazo, Tanzania kutokea janga zito 'Hii ni hasira ya Mungu'

Wakuu, ni Nabii Rolinga ten, Mtumishi wa Mungu ambaye Karama yake ya Unabii siku zote imetimia !!.

Awaonya wanaofungua makanisa , awataka washughulike na MTU na sio Waumini .

Asema, Hamna Mfalme yoyote katika Maandiko matakatifu aliyewah Ingilia ufalme wa Mungu na akamshinda Mungu, Hayupo na hatokuwepo.

Asema hatonyamaza dhidi ya Utekaji na Mauaji

Akiongea Kwa kusisitiza, huku akiwakumbusha watu kutokudharau na kujiona hawawezi kua kitu , Nabiii akasema "Within 90 days kinaenda kutokea kitu ambacho Taifa litasimama

Asema, Hamna MTU Wala kikundi Cha watu kinachoweza libadilisha hili Tukio, Njia pekee ya Tukio kutotokea ni WAHUSIKA KUGEUKA, KUZIACHA NJIA ZAO OVU.

Wakuu kuweni na Amani, huyu Nabii Huwa Sina naye Mashaka.

SAMIA HATOBOI
Sikiliza kuanzia Dakika ya 7

View: https://youtu.be/7GW8JLtaxBs?si=zJDQhtVhgraLa4pb

Huwezi shindana na Mungu , huwezi kuliita Kanisa la Mungu ,Kanisa la Kishetani.

Mungu ni Mungu mwenye wivu mkubwa, huwezi kuchukua Mamlaka yake na kumpa Shetani !!.

100%
 
Shida vigeugeu na wanafiki wapo ni wengi kuliko waliojitokeza na kusema kwa kusimamia ukweli,kitawaka halafu atatafutwa mchawi ni nani wakati wanajijua
 
Hawa matapeli na wachonganishi tu. Hakuna unabii au kumcha Mungu hapo.
 
Wakuu, ni Nabii Rolinga ten, Mtumishi wa Mungu ambaye Karama yake ya Unabii siku zote imetimia !!.

Awaonya wanaofungua makanisa , awataka washughulike na MTU na sio Waumini .

Asema, Hamna Mfalme yoyote katika Maandiko matakatifu aliyewah Ingilia ufalme wa Mungu na akamshinda Mungu, Hayupo na hatokuwepo.

Asema hatonyamaza dhidi ya Utekaji na Mauaji

Akiongea Kwa kusisitiza, huku akiwakumbusha watu kutokudharau na kujiona hawawezi kua kitu , Nabiii akasema "Within 90 days kinaenda kutokea kitu ambacho Taifa litasimama

Asema, Hamna MTU Wala kikundi Cha watu kinachoweza libadilisha hili Tukio, Njia pekee ya Tukio kutotokea ni WAHUSIKA KUGEUKA, KUZIACHA NJIA ZAO OVU.

Wakuu kuweni na Amani, huyu Nabii Huwa Sina naye Mashaka.

SAMIA HATOBOI
Sikiliza kuanzia Dakika ya 7

View: https://youtu.be/7GW8JLtaxBs?si=zJDQhtVhgraLa4pb

Huwezi shindana na Mungu , huwezi kuliita Kanisa la Mungu ,Kanisa la Kishetani.

Mungu ni Mungu mwenye wivu mkubwa, huwezi kuchukua Mamlaka yake na kumpa Shetani !!.

Msituchoshe. Ebu wekeni tabiri zooote kwenye folder moja ili iwe rahisi kupitia kila moja na matokeo yake.
 
This means Samia is on the verge of being done in by the supernatural power.
 
Wakuu, ni Nabii Rolinga ten, Mtumishi wa Mungu ambaye Karama yake ya Unabii siku zote imetimia !!.

Awaonya wanaofungua makanisa , awataka washughulike na MTU na sio Waumini .

Asema, Hamna Mfalme yoyote katika Maandiko matakatifu aliyewah Ingilia ufalme wa Mungu na akamshinda Mungu, Hayupo na hatokuwepo.

Asema hatonyamaza dhidi ya Utekaji na Mauaji

Akiongea Kwa kusisitiza, huku akiwakumbusha watu kutokudharau na kujiona hawawezi kua kitu , Nabiii akasema "Within 90 days kinaenda kutokea kitu ambacho Taifa litasimama

Asema, Hamna MTU Wala kikundi Cha watu kinachoweza libadilisha hili Tukio, Njia pekee ya Tukio kutotokea ni WAHUSIKA KUGEUKA, KUZIACHA NJIA ZAO OVU.

Wakuu kuweni na Amani, huyu Nabii Huwa Sina naye Mashaka.

SAMIA HATOBOI
Sikiliza kuanzia Dakika ya 7

View: https://youtu.be/7GW8JLtaxBs?si=zJDQhtVhgraLa4pb

Huwezi shindana na Mungu , huwezi kuliita Kanisa la Mungu ,Kanisa la Kishetani.

Mungu ni Mungu mwenye wivu mkubwa, huwezi kuchukua Mamlaka yake na kumpa Shetani !!.

Yeye kama Nabii si anatakiwa aombee Taifa lisikumbwe na hayo anayosema?
 
Mbona hawatabirii akina trump na netanyau wanavyoua watoto palestina wasiokuwa na hatia?
 
Zileg gari, bodaboda, baiskeli zilizopigwa chata ya Ssh ni za nani 😔,zimekua nyingi kitaa zina shuguli gani maalumu
 
Wakuu, ni Nabii Rolinga ten, Mtumishi wa Mungu ambaye Karama yake ya Unabii siku zote imetimia !!.

Awaonya wanaofungua makanisa , awataka washughulike na MTU na sio Waumini .

Asema, Hamna Mfalme yoyote katika Maandiko matakatifu aliyewah Ingilia ufalme wa Mungu na akamshinda Mungu, Hayupo na hatokuwepo.

Asema hatonyamaza dhidi ya Utekaji na Mauaji

Akiongea Kwa kusisitiza, huku akiwakumbusha watu kutokudharau na kujiona hawawezi kua kitu , Nabiii akasema "Within 90 days kinaenda kutokea kitu ambacho Taifa litasimama

Asema, Hamna MTU Wala kikundi Cha watu kinachoweza libadilisha hili Tukio, Njia pekee ya Tukio kutotokea ni WAHUSIKA KUGEUKA, KUZIACHA NJIA ZAO OVU.

Wakuu kuweni na Amani, huyu Nabii Huwa Sina naye Mashaka.

SAMIA HATOBOI
Sikiliza kuanzia Dakika ya 7

View: https://youtu.be/7GW8JLtaxBs?si=zJDQhtVhgraLa4pb

Huwezi shindana na Mungu , huwezi kuliita Kanisa la Mungu ,Kanisa la Kishetani.

Mungu ni Mungu mwenye wivu mkubwa, huwezi kuchukua Mamlaka yake na kumpa Shetani !!.

Yeye kabakiza siku 10 tu.....huku hawahitaji siku 90
 
Wakuu, ni Nabii Rolinga ten, Mtumishi wa Mungu ambaye Karama yake ya Unabii siku zote imetimia !!.

Awaonya wanaofungua makanisa , awataka washughulike na MTU na sio Waumini .

Asema, Hamna Mfalme yoyote katika Maandiko matakatifu aliyewah Ingilia ufalme wa Mungu na akamshinda Mungu, Hayupo na hatokuwepo.

Asema hatonyamaza dhidi ya Utekaji na Mauaji

Akiongea Kwa kusisitiza, huku akiwakumbusha watu kutokudharau na kujiona hawawezi kua kitu , Nabiii akasema "Within 90 days kinaenda kutokea kitu ambacho Taifa litasimama

Asema, Hamna MTU Wala kikundi Cha watu kinachoweza libadilisha hili Tukio, Njia pekee ya Tukio kutotokea ni WAHUSIKA KUGEUKA, KUZIACHA NJIA ZAO OVU.

Wakuu kuweni na Amani, huyu Nabii Huwa Sina naye Mashaka.

SAMIA HATOBOI
Sikiliza kuanzia Dakika ya 7
View attachment 3413022

Huwezi shindana na Mungu , huwezi kuliita Kanisa la Mungu ,Kanisa la Kishetani.

Mungu ni Mungu mwenye wivu mkubwa, huwezi kuchukua Mamlaka yake na kumpa Shetani !!.

Hawa manabii watafutaji tonge
 
Back
Top Bottom