Nabii Rolinga : Siku 90 zijazo, Tanzania kutokea janga zito 'Hii ni hasira ya Mungu'

kwani kipindi cha jiwe, aliposimama madhabahuni na bendera nusu mlingoti, akasema icho kitatokea, wewe kwa akili yako unafikiri benera nusu mlingoti hapa bongo huwa inakuwa kikitokea nini? its just a warning pengine watabadilika na wasipobadilika hakika mimi nawaombea Mungu awachape kiboko kikubwa kabisa.
Ilikuwa ni siku ngapi kabla.
Asije KUWA kama TB Joshua anatabiri Kifo cha Rais wa Malawi kumbe daktari wake ni MUUMINI wake.

Nabii anayetabiri mema ndio huwa namzingatia sio kutabiria viongozi vifo. Maandiko yanasemaje anataka Dua zifanyike KWA Viongozi na watawala ili wafanye mambo yaende sawa sio Dua za wao kufa. Prophets of doom. Mara ya mwisho alitabiri jema lipi kuhusu taifa letu labda na hilo jema likatokea. Au Mungu wake yeye sio wa mema ya nchi ni WA kuua wanaokosea tu.

Kuna nchi ambazo KUWA MKRISTO tu ni sawa na mtumwa mfano Israel. Na hairuhusiwi kuhubiri INJILI. Ni lini ametabiri Kifo cha Benjamin Netanyahu KWA kuzuiq uijilishwaji. Au Kifo cha Kim wa NK KWA kupiga marufuku ukristo. Nani hapa anakosa kubwa mbele za Mungu anayestahili kufa kuliko mwingine. Maana kama ni kufungia makanisa waumini wanasali hata waliofungiwa Kuna sehemu wanasali.

Huu ni mtazamo wangu wa huyu jamaa Kumuona ni Nabii wa kisiasa. Maana sijasikia anatabili kuhusu kilimo, Maendeleo, Mabadiliko ya jamii au hata jambo flani jema
 
Wakuu, ni Nabii Rolinga ten, Mtumishi wa Mungu ambaye Karama yake ya Unabii siku zote imetimia !!.

Awaonya wanaofungua makanisa , awataka washughulike na MTU na sio Waumini .

Asema, Hamna Mfalme yoyote katika Maandiko matakatifu aliyewah Ingilia ufalme wa Mungu na akamshinda Mungu, Hayupo na hatokuwepo.

Asema hatonyamaza dhidi ya Utekaji na Mauaji

Akiongea Kwa kusisitiza, huku akiwakumbusha watu kutokudharau na kujiona hawawezi kua kitu , Nabiii akasema "Within 90 days kinaenda kutokea kitu ambacho Taifa litasimama

Asema, Hamna MTU Wala kikundi Cha watu kinachoweza libadilisha hili Tukio, Njia pekee ya Tukio kutotokea ni WAHUSIKA KUGEUKA, KUZIACHA NJIA ZAO OVU.

Wakuu kuweni na Amani, huyu Nabii Huwa Sina naye Mashaka.

SAMIA HATOBOI
Sikiliza kuanzia Dakika ya 7

View: https://youtu.be/7GW8JLtaxBs?si=zJDQhtVhgraLa4pb

Huwezi shindana na Mungu , huwezi kuliita Kanisa la Mungu ,Kanisa la Kishetani.

Mungu ni Mungu mwenye wivu mkubwa, huwezi kuchukua Mamlaka yake na kumpa Shetani !!.

Mbona mbali sana!
 
Ni kweli, kikwete na mapungufu yake yote, watu hawakumchikia kiasi hiki au labda hii ni generation tofauti.
Sielewi ila hio chuki kwa huyu mama sahizi ni Pro max imevunja rekodi ni kama watu wapo standby kusubiri kibaya kitokee kwake.Anatakiwa ajievaluate aachie kijiti astaafu kwa amani kashakua Rais kwa miaka 10 inatosha!aache tamaa!mtu kila kona ya nchi hawakutaki utafanikiwaje?
 
Wakuu, ni Nabii Rolinga ten, Mtumishi wa Mungu ambaye Karama yake ya Unabii siku zote imetimia !!.

Awaonya wanaofungua makanisa , awataka washughulike na MTU na sio Waumini .

Asema, Hamna Mfalme yoyote katika Maandiko matakatifu aliyewah Ingilia ufalme wa Mungu na akamshinda Mungu, Hayupo na hatokuwepo.

Asema hatonyamaza dhidi ya Utekaji na Mauaji

Akiongea Kwa kusisitiza, huku akiwakumbusha watu kutokudharau na kujiona hawawezi kua kitu , Nabiii akasema "Within 90 days kinaenda kutokea kitu ambacho Taifa litasimama

Asema, Hamna MTU Wala kikundi Cha watu kinachoweza libadilisha hili Tukio, Njia pekee ya Tukio kutotokea ni WAHUSIKA KUGEUKA, KUZIACHA NJIA ZAO OVU.

Wakuu kuweni na Amani, huyu Nabii Huwa Sina naye Mashaka.

SAMIA HATOBOI
Sikiliza kuanzia Dakika ya 7

View: https://youtu.be/7GW8JLtaxBs?si=zJDQhtVhgraLa4pb

Huwezi shindana na Mungu , huwezi kuliita Kanisa la Mungu ,Kanisa la Kishetani.

Mungu ni Mungu mwenye wivu mkubwa, huwezi kuchukua Mamlaka yake na kumpa Shetani !!.

Okay okay.
 
Wafuasi wa yesu mkijua tu kusema Ooh haleluya mnajiita manabii
 
Ilikuwa ni siku ngapi kabla.
Asije KUWA kama TB Joshua anatabiri Kifo cha Rais wa Malawi kumbe daktari wake ni MUUMINI wake.

Nabii anayetabiri mema ndio huwa namzingatia sio kutabiria viongozi vifo. Maandiko yanasemaje anataka Dua zifanyike KWA Viongozi na watawala ili wafanye mambo yaende sawa sio Dua za wao kufa. Prophets of doom. Mara ya mwisho alitabiri jema lipi kuhusu taifa letu labda na hilo jema likatokea. Au Mungu wake yeye sio wa mema ya nchi ni WA kuua wanaokosea tu.

Kuna nchi ambazo KUWA MKRISTO tu ni sawa na mtumwa mfano Israel. Na hairuhusiwi kuhubiri INJILI. Ni lini ametabiri Kifo cha Benjamin Netanyahu KWA kuzuiq uijilishwaji. Au Kifo cha Kim wa NK KWA kupiga marufuku ukristo. Nani hapa anakosa kubwa mbele za Mungu anayestahili kufa kuliko mwingine. Maana kama ni kufungia makanisa waumini wanasali hata waliofungiwa Kuna sehemu wanasali.

Huu ni mtazamo wangu wa huyu jamaa Kumuona ni Nabii wa kisiasa. Maana sijasikia anatabili kuhusu kilimo, Maendeleo, Mabadiliko ya jamii au hata jambo flani jema
Hauujui Ukristo Sasa .

Hujui hata Wafalme Ndani ya Biblía waliotabiriwa mabaya, wakapuuza, na yakawapata??.
 
  • Thanks
Reactions: K11
jambo la muhimu sana ni kwamba, kwa kile alichofanyiwa gwajima, na namna waumini wake wanavyopigwa virungu na kuteswa wasiabudu,namna walivyofutiwa kanisa, hakuna nabii au mchungaji angeweza kuongea haya anayoyaongea. ukiona ameongea jua anajiamini na yupo tayari kwa lolote. wengi wamefyata mikia wanaogopa kufutiwa makanisa wakiongea. waoga watupu na siamini kama wana Mungu kwa sababu watu waoga hata uzima wa milele hawataurithi.

kuna watu wanajua kweli ni nini, haki ni nini ila ni waoga kuhubiri haki na kweli. mwamposa na askofu wake wameamua kumfurahisha mwanadamu wakati wakijua kabisa kuna watu wanapotea na kuuawa, na hadi makanisa yanafutwa, na kwenye kusanyiko lao hilohilo kiongozi wetu sisi sote amesema waumini wa gwajima wanaabudu ushetani, pengine ndio maana amewafungia. ninyi waoga wote msiotetea haki, jueni ni dhambi. Mungu amewapa sauti na nafasi mlizo nazo mbele za watu ili mtetee haki na wasio na nafasi zenu za kusema. kuna familia nyingi zinaugua mioyo watoto wao wamepotea wameokotwa wameteka n.k ila hawana wa kuwasemea, Mungu amewapa ninyi nafasi ila mmeamua kuside na wadhalimu. mtakunywa kikombe kilekile cha mvinyo ya hasira ya Mungu.

UFUNUO 21:8 Bali waoga, na wasioamini, na wachukizao, na wauaji, na wazinzi, na wachawi, na hao waabuduo sanamu, na waongo wote, sehemu yao ni katika lile ziwa liwakalo moto na kiberiti. Hii ndiyo mauti ya pili.
 
Moja ya sababu watu wengi (hasa vijana ) hawahudhurii kwenye nyumba za Ibada ni vitisho vya wanaohubiri. Moto...moto....moto.....fayaaaaa....fayaaaaaa.....fayaaaaaaa.

Vyovyoye vile itakavyokuwa ni sawa tu, ndio Dunia ndio maisha
Vipi bosi pin imekuingia nini?
 
Wafuasi wa yesu mkijua tu kusema Ooh haleluya mnajiita manabii
ulitaka tuchukue upanga tuchinje watu kama mood ndio tuwe manabii? NO, sisi Mungu wetu sio wa hivyo, sio wa fujo ni wa amani. utaitwa nabii kwa matendo yako na namna ulivyoitwa na Mungu wako kivyako.
 
Ilikuwa ni siku ngapi kabla.
Asije KUWA kama TB Joshua anatabiri Kifo cha Rais wa Malawi kumbe daktari wake ni MUUMINI wake.

Nabii anayetabiri mema ndio huwa namzingatia sio kutabiria viongozi vifo. Maandiko yanasemaje anataka Dua zifanyike KWA Viongozi na watawala ili wafanye mambo yaende sawa sio Dua za wao kufa. Prophets of doom. Mara ya mwisho alitabiri jema lipi kuhusu taifa letu labda na hilo jema likatokea. Au Mungu wake yeye sio wa mema ya nchi ni WA kuua wanaokosea tu.

Kuna nchi ambazo KUWA MKRISTO tu ni sawa na mtumwa mfano Israel. Na hairuhusiwi kuhubiri INJILI. Ni lini ametabiri Kifo cha Benjamin Netanyahu KWA kuzuiq uijilishwaji. Au Kifo cha Kim wa NK KWA kupiga marufuku ukristo. Nani hapa anakosa kubwa mbele za Mungu anayestahili kufa kuliko mwingine. Maana kama ni kufungia makanisa waumini wanasali hata waliofungiwa Kuna sehemu wanasali.

Huu ni mtazamo wangu wa huyu jamaa Kumuona ni Nabii wa kisiasa. Maana sijasikia anatabili kuhusu kilimo, Maendeleo, Mabadiliko ya jamii au hata jambo flani jema
Kwahiyo atabiri, Watanzania Limeni sana Korosho, inalipa.

Hamieni na kwenye Kahawa, Miwa?.

Nabii anawajibikia mambo makubwa ya kiroho, sio mambo ya akili za mwanadam.

Suala la kilimo ,Maendeleo, ni masuala ya Akili za binadam
 
ulitaka tuchukue upanga tuchinje watu kama mood ndio tuwe manabii? NO, sisi Mungu wetu sio wa hivyo, sio wa fujo ni wa amani. utaitwa nabii kwa matendo yako na namna ulivyoitwa na Mungu wako kivyako.
Andika comment fupi watu hatuna muda wa kusoma pumba zako
 
Wakuu, ni Nabii Rolinga ten, Mtumishi wa Mungu ambaye Karama yake ya Unabii siku zote imetimia !!.

Awaonya wanaofungua makanisa , awataka washughulike na MTU na sio Waumini .

Asema, Hamna Mfalme yoyote katika Maandiko matakatifu aliyewah Ingilia ufalme wa Mungu na akamshinda Mungu, Hayupo na hatokuwepo.

Asema hatonyamaza dhidi ya Utekaji na Mauaji

Akiongea Kwa kusisitiza, huku akiwakumbusha watu kutokudharau na kujiona hawawezi kua kitu , Nabiii akasema "Within 90 days kinaenda kutokea kitu ambacho Taifa litasimama

Asema, Hamna MTU Wala kikundi Cha watu kinachoweza libadilisha hili Tukio, Njia pekee ya Tukio kutotokea ni WAHUSIKA KUGEUKA, KUZIACHA NJIA ZAO OVU.

Wakuu kuweni na Amani, huyu Nabii Huwa Sina naye Mashaka.

SAMIA HATOBOI
Sikiliza kuanzia Dakika ya 7

View: https://youtu.be/7GW8JLtaxBs?si=zJDQhtVhgraLa4pb

Huwezi shindana na Mungu , huwezi kuliita Kanisa la Mungu ,Kanisa la Kishetani.

Mungu ni Mungu mwenye wivu mkubwa, huwezi kuchukua Mamlaka yake na kumpa Shetani !!.

Wa Galatia wasio na akili
 
Nilicho gundua watu hawa mjui Rolinga wala wafatili tabiri zozote,
MUNGU anasema nini juu taifa hili

Nimeamua kuiacha JF kwa Siku 90,
Kisha nije kuwakumbusha alichokisema
Mimi nilipoona huu unabii tumbo limetetemeka mana mimi sikusimuliwa bali niliona ule unabii 2021 week moja kabla ya kifo cha mkuu.na ikatukia kama alivyosema.sasa amekuwa akitabiri since january mambo yatakayotukia ndani ya taifa hili mwaka huu.nimeogopa sana nikakumbuka wanangu uwiii
 
Wakuu, ni Nabii Rolinga ten, Mtumishi wa Mungu ambaye Karama yake ya Unabii siku zote imetimia !!.

Awaonya wanaofungua makanisa , awataka washughulike na MTU na sio Waumini .

Asema, Hamna Mfalme yoyote katika Maandiko matakatifu aliyewah Ingilia ufalme wa Mungu na akamshinda Mungu, Hayupo na hatokuwepo.

Asema hatonyamaza dhidi ya Utekaji na Mauaji

Akiongea Kwa kusisitiza, huku akiwakumbusha watu kutokudharau na kujiona hawawezi kua kitu , Nabiii akasema "Within 90 days kinaenda kutokea kitu ambacho Taifa litasimama

Asema, Hamna MTU Wala kikundi Cha watu kinachoweza libadilisha hili Tukio, Njia pekee ya Tukio kutotokea ni WAHUSIKA KUGEUKA, KUZIACHA NJIA ZAO OVU.

Wakuu kuweni na Amani, huyu Nabii Huwa Sina naye Mashaka.

SAMIA HATOBOI
Sikiliza kuanzia Dakika ya 7

View: https://youtu.be/7GW8JLtaxBs?si=zJDQhtVhgraLa4pb

Huwezi shindana na Mungu , huwezi kuliita Kanisa la Mungu ,Kanisa la Kishetani.

Mungu ni Mungu mwenye wivu mkubwa, huwezi kuchukua Mamlaka yake na kumpa Shetani !!.

Watanzania tunapenda sana kujidanganya . Kwa hio waliouliwa ,waliotekwa na kupotezwa wao Mungu hawapendi ? Maana mpaka leo hakuna hata chawa wa ccm aliyepigwa hata makofi na watu wamekufa na hawajulikani walipo. Karne hii ni ya kusali pamoja na matendo. Masuala ya kusubiri manabii wa mchongo nakutegema miujiza tutasubiri sana. Na tukiendelea hivi Samia atachukua mpaka 2030-2035. Na ikifika 2050 Tanzania, Congo na Burundi zitafanana uchumi. Mama piga hela mpaka watu wawe tayari kuandamana na kupiga polisi. Mama komba hela za miradi mpaka machawa waanze kutekwa na kupotea kama wanaokosoa serikali. Mama usiache serikali maana ukiacha atakayekuja atafanya kama wewe. Mama kanyaga accelerator mpaka ufikie 180 km/hr, maana hapa ulipo watu wanakazana Simba na yanga huku Tundu lissu yupo ndani. Angekuwa nje je ? Upo spidi ya 50 km/hr
 
Wakuu, ni Nabii Rolinga ten, Mtumishi wa Mungu ambaye Karama yake ya Unabii siku zote imetimia !!.

Awaonya wanaofungua makanisa , awataka washughulike na MTU na sio Waumini .

Asema, Hamna Mfalme yoyote katika Maandiko matakatifu aliyewah Ingilia ufalme wa Mungu na akamshinda Mungu, Hayupo na hatokuwepo.

Asema hatonyamaza dhidi ya Utekaji na Mauaji

Akiongea Kwa kusisitiza, huku akiwakumbusha watu kutokudharau na kujiona hawawezi kua kitu , Nabiii akasema "Within 90 days kinaenda kutokea kitu ambacho Taifa litasimama

Asema, Hamna MTU Wala kikundi Cha watu kinachoweza libadilisha hili Tukio, Njia pekee ya Tukio kutotokea ni WAHUSIKA KUGEUKA, KUZIACHA NJIA ZAO OVU.

Wakuu kuweni na Amani, huyu Nabii Huwa Sina naye Mashaka.

SAMIA HATOBOI
Sikiliza kuanzia Dakika ya 7

View: https://youtu.be/7GW8JLtaxBs?si=zJDQhtVhgraLa4pb

Huwezi shindana na Mungu , huwezi kuliita Kanisa la Mungu ,Kanisa la Kishetani.

Mungu ni Mungu mwenye wivu mkubwa, huwezi kuchukua Mamlaka yake na kumpa Shetani !!.

Wahuni wasiwe wanspanga kufanya vitu vyao sasa wanatuandaa kisaikolojia.
 
Kwahyo msechu aingie studio au asubiri kidogo?
 
Back
Top Bottom