Nabii Rolinga : Siku 90 zijazo, Tanzania kutokea janga zito 'Hii ni hasira ya Mungu'

Nabii Rolinga : Siku 90 zijazo, Tanzania kutokea janga zito 'Hii ni hasira ya Mungu'

Wakuu, ni Nabii Rolinga ten, Mtumishi wa Mungu ambaye Karama yake ya Unabii siku zote imetimia !!.

Awaonya wanaofungua makanisa , awataka washughulike na MTU na sio Waumini .

Asema, Hamna Mfalme yoyote katika Maandiko matakatifu aliyewah Ingilia ufalme wa Mungu na akamshinda Mungu, Hayupo na hatokuwepo.

Asema hatonyamaza dhidi ya Utekaji na Mauaji

Akiongea Kwa kusisitiza, huku akiwakumbusha watu kutokudharau na kujiona hawawezi kua kitu , Nabiii akasema "Within 90 days kinaenda kutokea kitu ambacho Taifa litasimama

Asema, Hamna MTU Wala kikundi Cha watu kinachoweza libadilisha hili Tukio, Njia pekee ya Tukio kutotokea ni WAHUSIKA KUGEUKA, KUZIACHA NJIA ZAO OVU.


Wakuu kuweni na Amani, huyu Nabii Huwa Sina naye Mashaka.

SAMIA HATOBOI
Sikiliza kuanzia Dakika ya 7

View: https://youtu.be/7GW8JLtaxBs?si=zJDQhtVhgraLa4pb

Huwezi shindana na Mungu , huwezi kuliita Kanisa la Mungu ,Kanisa la Kishetani.

Mungu ni Mungu mwenye wivu mkubwa, huwezi kuchukua Mamlaka yake na kumpa Shetani !!.

Siku 90 ni nyingi sana, ange Fanya 15.
 
wakristo wasichoelewa, walianza kwa mbarikiwa kule mbeya akahangaika hadi akaenda gerezani, watu wote wakamwacha peke yake, amelia na kupambana peke yake. leo wamefunga la gwajima, kesho litakuja lingine na lingine. ila misikiti hata mmoja haufungwi. tukemee huu udini kwa nguvu zote, au la wakristo nchi hii tumeisha. mwamposa na askofu wako mtakunywa kikombe kile kile na mvinyo wa wale waovu mnaowasapoti.
 
Wakuu, ni Nabii Rolinga ten, Mtumishi wa Mungu ambaye Karama yake ya Unabii siku zote imetimia !!.

Awaonya wanaofungua makanisa , awataka washughulike na MTU na sio Waumini .

Asema, Hamna Mfalme yoyote katika Maandiko matakatifu aliyewah Ingilia ufalme wa Mungu na akamshinda Mungu, Hayupo na hatokuwepo.

Asema hatonyamaza dhidi ya Utekaji na Mauaji

Akiongea Kwa kusisitiza, huku akiwakumbusha watu kutokudharau na kujiona hawawezi kua kitu , Nabiii akasema "Within 90 days kinaenda kutokea kitu ambacho Taifa litasimama

Asema, Hamna MTU Wala kikundi Cha watu kinachoweza libadilisha hili Tukio, Njia pekee ya Tukio kutotokea ni WAHUSIKA KUGEUKA, KUZIACHA NJIA ZAO OVU.


Wakuu kuweni na Amani, huyu Nabii Huwa Sina naye Mashaka.

SAMIA HATOBOI
Sikiliza kuanzia Dakika ya 7

View: https://youtu.be/7GW8JLtaxBs?si=zJDQhtVhgraLa4pb

Huwezi shindana na Mungu , huwezi kuliita Kanisa la Mungu ,Kanisa la Kishetani.

Mungu ni Mungu mwenye wivu mkubwa, huwezi kuchukua Mamlaka yake na kumpa Shetani !!.

mnafiki na mshirikina mtafuta kiki tu huyo my friends, ladies and gentlemen 🐒
 
Nilicho gundua watu hawa mjui Rolinga wala wafatili tabiri zozote,
MUNGU anasema nini juu taifa hili

Nimeamua kuiacha JF kwa Siku 90,
Kisha nije kuwakumbusha alichokisema
 
Utaona Kama utatimia au la
Kwani amesema nini kitatimia ndani ya siku 90 maana hajawa specific. Inaonekana ni Nabii muoga wa watu anaowatolea unabii kuliko Mungu aliyemtuma kutoa unabii huo. Anakuwa kama anavizia matukio. Sijaelewa specific anasema nani anapatwa na KITU gani au ni KITU gani kibaya kitampata nani ndani ya siku 90
 
Nilicho gundua watu hawa mjui Rolinga wala wafatili tabiri zozote,
MUNGU anasema nini juu taifa hili

Nimeamua kuiacha JF kwa Siku 90,
Kisha nije kuwakumbusha alichokisema
sidhani kama siku hizo zitafika, watakuwa wameshabadilika na kuja mezani. moto wanaopelekewa sio wa kitoto, na hakika yake, wengi wetu kimya kimya huko makanisa tofauti wanaomba na kufunga juu ya mambo haya yanayoendelea. wengine wanafunga siku 7, makanisa mengine 21, wengine 40. kimya kimya wameamua kuongea na MUngu manake wakiwashauri mnawateka na kuwauwa. wao wanashitaki kwa Mungu. na kiboko kitakachopigwa wapigwe na washauri wake na genge lake lote.
 
  • Thanks
Reactions: K11
Jikite kwenye mada gentleman.
Yes,
huyo mpiga ramli ni mnafiki mno madhabahuni gentleman.

anawahadaa ili awaibie sadaka kwa kuwabeba ufala kifikra.
kaeni chonjo na manabii malofa kama hao ndrugo zango 🐒
 
Kwani amesema nini kitatimia ndani ya siku 90 maana hajawa specific. Inaonekana ni Nabii muoga wa watu anaowatolea unabii kuliko Mungu aliyemtuma kutoa unabii huo. Anakuwa kama anavizia matukio. Sijaelewa specific anasema nani anapatwa na KITU gani au ni KITU gani kibaya kitampata nani ndani ya siku 90
kwani kipindi cha jiwe, aliposimama madhabahuni na bendera nusu mlingoti, akasema icho kitatokea, wewe kwa akili yako unafikiri benera nusu mlingoti hapa bongo huwa inakuwa kikitokea nini? its just a warning pengine watabadilika na wasipobadilika hakika mimi nawaombea Mungu awachape kiboko kikubwa kabisa.
 
  • Thanks
Reactions: K11
Yes,
huyo mpiga ramli ni mnafiki mno madhabahuni gentleman.

anawahadaa ili awaibie sadaka kwa kuwabeba ufala kifikra.
kaeni chonjo na manabii malofa kama hao ndrugo zango 🐒
ni mnafiki kuliko wale wanaokuswalisha wanaouza madawa ya suna/uganga wa jadi nje ya majengo yenu ya ibada?
 
nimekuuliza, anapiga ramri kama wale wauza majini na wauza dawa za suna wanaokuabudisha kwa mungu wa kiarabu?
Gentleman,
surely,
tumjadili huyo mpiga ramli nabii feki wa uongo aise? 🤣

acha dharau bas tafadhali
 
samia alisema wengine wanaabudu ushetani, akimaanisha kanisa la gwajima linaabudu ushetani. naamini aliteleza ulimi tu. ila namshauri abadilike, ameharibu sana nchi hii.
Ni udhaifu kwa kutokuwa na uzoefu wa kuona mambo kwa upana wake

Lakini si sababu kwa shinikizo la kiwango hiki

Namna watu wanavyoshabikia inadhihirisha ajenda binafsi kuliko uhalisia, yeye bado ni binadamu
 
Back
Top Bottom