matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 9,514
- 23,523
Unabii umekaa kisiasa sana.
Nabii wa kweli huwa anatoa taarifa specific.
Hizi ni Nabii chonganishi
Nabii wa kweli huwa anatoa taarifa specific.
Hizi ni Nabii chonganishi
Basi kaa Kwa kutulia.
Ulitaka ukaeje?.Unabii umekaa kisiasa sana.
Nabii wa kweli huwa anatoa taarifa specific.
Hizi ni Nabii chongamoshi
Alitabiri nini kikatimia?Wakuu, ni Nabii Rolinga ten, Mtumishi wa Mungu ambaye Karama yake ya Unabii siku zote imetimia !!.
Awaonya wanaofungua makanisa , awataka washughulike na MTU na sio Waumini .
Asema, Hamna Mfalme yoyote katika Maandiko matakatifu aliyewah Ingilia ufalme wa Mungu na akamshinda Mungu, Hayupo na hatokuwepo.
Zamani kwenye Biblia unabii juu ya jambo baya kuhusu muhusika ukifika KWA muhusika moja KWA moja na plan B yake kwenye Package. Mfano Mfalme Hezekia aliambiwa utakufa Ikulu alipoomba akaongezewa miaka 15.Ulitaka ukaeje?.
Wakuu, ni Nabii Rolinga ten, Mtumishi wa Mungu ambaye Karama yake ya Unabii siku zote imetimia !!.
Awaonya wanaofungua makanisa , awataka washughulike na MTU na sio Waumini .
Asema, Hamna Mfalme yoyote katika Maandiko matakatifu aliyewah Ingilia ufalme wa Mungu na akamshinda Mungu, Hayupo na hatokuwepo.
Asema hatonyamaza dhidi ya Utekaji na Mauaji
Akiongea Kwa kusisitiza, huku akiwakumbusha watu kutokudharau na kujiona hawawezi kua kitu , Nabiii akasema "Within 90 days kinaenda kutokea kitu ambacho Taifa litasimama
Asema, Hamna MTU Wala kikundi Cha watu kinachoweza libadilisha hili Tukio, Njia pekee ya Tukio kutotokea ni WAHUSIKA KUGEUKA, KUZIACHA NJIA ZAO OVU.
Wakuu kuweni na Amani, huyu Nabii Huwa Sina naye Mashaka.
SAMIA HATOBOI
Sikiliza kuanzia Dakika ya 7
View: https://youtu.be/7GW8JLtaxBs?si=zJDQhtVhgraLa4pb
Huwezi shindana na Mungu , huwezi kuliita Kanisa la Mungu ,Kanisa la Kishetani.
Mungu ni Mungu mwenye wivu mkubwa, huwezi kuchukua Mamlaka yake na kumpa Shetani !!.
Mbona utabiri wake uko wazi na umetolewa Kwa Mamlaka gan ! Na zaidi ameupa Muda.Zamani kwenye Biblia unabii juu ya jambo baya kuhusu muhusika ukifika KWA muhusika moja KWA moja na plan b. Mfano Mfalme Hezekia aliambia utakufa Ikulu alipoomba akaongezewa miaka 15.
Daudi alifuatwa akaambiwa.
Kama ni taifa zima hapo ilifanyika broadcast Condition prophecy. Mfano Yona na Ninawi.
Hii ya kumsema mtu au taasisi au kutabiri mabaya kimafumbo ni political prophecy tena.
Within 90 daysHuyo Nabii anagongwa
Hakuna unabii paleMbona utabiri wake uko wazi na umetolewa Kwa Mamlaka gan ! Na zaidi ameupa Muda.
Unajua sifa za Unabii?.
Usifurahie anguko la kiongozi yeyote yule, nayo ni laana pia.Mfikisheni Ujumbe Huu wa Nabii, Rais Samia .
Mfikisheni kama ulivyo , mwambieni Nabii kasemaz asipoziacha Njia zake, Siku 90 kutoka sàsa , Taifa Zima litashangaa Tena.
Wanatengeneza mazingira , yaleyale ya MaguNgoja tuone.
Usifurahie anguko la kiongozi yeyote yule, nayo ni laana pia.
Kusikitika ni ruksa, lakini kushabikia ni jambo lengine kabisa
Unapaswa kutoa Mtazamo wa mambo yangekuaje kama angalitenda hivi na vile kwa huzuni na adabu
Lakini kudhani dunia hii kuna Njia sahihi ni tatizo kabla matatizo yenyewe hayajakufikia
Kila mtu duniani ana hulka zake, Kuna binadamu chini ya jua mwenye kutosheleza matakwa ya kila mtu.!? Ukijua hilo utakuwa mnyenyekevu kwa mbuzi wa kafara ya uongozi
Lazima ufurahie Anguko la mtesi wako.Usifurahie anguko la kiongozi yeyote yule, nayo ni laana pia.
Kusikitika ni ruksa, lakini kushabikia ni jambo lengine kabisa
Unapaswa kutoa Mtazamo wa mambo yangekuaje kama angalitenda hivi na vile kwa huzuni na adabu
Lakini kudhani dunia hii kuna Njia sahihi ni tatizo kabla matatizo yenyewe hayajakufikia
Kila mtu duniani ana hulka zake, Kuna binadamu chini ya jua mwenye kutosheleza matakwa ya kila mtu.!? Ukijua hilo utakuwa mnyenyekevu kwa mbuzi wa kafara ya uongozi
Pengine wewe ndio uko nyuma !! Mambo haya kuyafatilia mpaka uyakute JFMlishindwa kutabiri kifo cha mwendazake mnakuja na ubabaifu hapa, piteni hukooo