Pre GE2025 Nabii Sanga: Mgawanyiko mkubwa utaikumba CCM mwaka 2024 na 2025, tuiombee

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
What if Mungu anapenda chama hiki kuendelea kutuongoza?
Ulivosema hivi nikakumbuka Kuna Mcheza porno Mmoja alihojiwa akasema Mungu anapenda yeye afanye Porno ila shetani hapendi yeye afanye porno πŸ˜…πŸ˜…
 
Ametega pazuri ili ispotokea aseme niyeye alitawanya mpasuko huo πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ™πŸ½
Ila chama kuwa na mwenyekiti mwanamke daah!! Kweli mapindizi yanaongozwa na mama na wababa wanamsaidia 🀣🀣🀣🀣
 
Tabiri za kibwege hizi

Kila kabla ya uchaguzi haya hutokea
 
CCM asili imeshakatwa pumzi na CCM Maslahi.
CCM Asili wanategemea hisani ya CCM maslahi ili familia zao zing'ae, ushahidi upo.
Kwakweli CCM Asili kwisha habari yao !
Including me πŸ˜…πŸ€£πŸ™πŸ™
Sisi tuliokipigania nyakati zile za vimbunga vya hatari sasa tumekuwa kama wageni wasiofahamika ndani ya Chama !
Hatari sana 😱 !
 
Kwakweli CCM Asili kwisha habari yao !
Including me πŸ˜…πŸ€£πŸ™πŸ™
Sisi tuliokipigania nyakati zile za vimbunga vya hatari sasa tumekuwa kama wageni wasiofahamika ndani ya Chama !
Hatari sana 😱 !
Pole sana ndugu mzeewaSHY .
Nina rafiki zangu ambao ni CCM Asili wamebaki kuangalia kinachoendelea wakiwa pembeni kwa mbaaali kama sio wale wa miaka ya 1980s na 1990s.
 
Ndugu Mpina, ametoa HOJA bungeni, iundwe Tume kuchunguza kifo Cha Magu.

Tulianza kusahau, anashauri turudishe tena matanga, tuendelee kuomboleza?

Kweli, mpasuko na mtikisiko ni dhahiri.
 
Chatanda wa UWT amemshtaki RC Kwa PM na Kinana, Alichokifanya RC ameenda kujificha mgongoni Kwa mamakeπŸ˜€

Tutaona Mengi maana ndio kwanza May 27 2024.
 
Kauli ya Nape Nnauye kuhusu wizi wa kura, ni kiashiria na taarifa juu ya mtikisiko unaendelea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…