Pre GE2025 Nabii Sanga: Mgawanyiko mkubwa utaikumba CCM mwaka 2024 na 2025, tuiombee

Pre GE2025 Nabii Sanga: Mgawanyiko mkubwa utaikumba CCM mwaka 2024 na 2025, tuiombee

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Ametega pazuri ili ispotokea aseme niyeye alitawanya mpasuko huo 🤣🤣🤣🙏🏽
Ila chama kuwa na mwenyekiti mwanamke daah!! Kweli mapindizi yanaongozwa na mama na wababa wanamsaidia 🤣🤣🤣🤣
 
Salaam, Shalom.

Katika Unabii wa mwaka 2024, Nabii Sanga ametoa ujumbe Kwa Watanzania kuingia katika maombi kukiombea chama tawala CCM, amesema ameambiwa kuwa mwaka huu 2024 kutakuwa na mgawanyiko mkubwa utakaokikumba chama hiki.

Amesema pia kuwa, mgawanyiko na mtikisiko utakaokikumba chama Cha MAPINDUZI CCM, haitakuwa Siri, itakuwa ni mtikisiko wa wazi ambao hata raia wa kawaida watajua.

Amesema Mungu amemwambia awaase raia kukiombea Chama Cha MAPINDUZI CCM Kwakuwa mtikisiko wa chama tawala utaathiri pia Nchi Kwa ujumla, na ujumbe wa kukiombea CCM ni Ishara kuwa Mungu BADO anapenda CCM iendelee kuongoza Nchi na amesema kuwa, adui amepanga kutumia mgawanyiko huo kuivuruga Amani ya nchi.

Amesema pia, amepata ujumbe kuwapa Marais wote wa Africa kuwa Waaminifu Kwa Nchi zao na kuwatumikia wananchi Kwa HAKI, la sivyo, patakuwako maandamano katika Nchi nyingi Afrika ikiwa hawatakuwa Waaminifu.

Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿

Karibuni.🙏

Source: POG family Tv.
Tabiri za kibwege hizi

Kila kabla ya uchaguzi haya hutokea
 
CCM asili imeshakatwa pumzi na CCM Maslahi.
CCM Asili wanategemea hisani ya CCM maslahi ili familia zao zing'ae, ushahidi upo.
Kwakweli CCM Asili kwisha habari yao !
Including me 😅🤣🙏🙏
Sisi tuliokipigania nyakati zile za vimbunga vya hatari sasa tumekuwa kama wageni wasiofahamika ndani ya Chama !
Hatari sana 😱 !
 
Kwakweli CCM Asili kwisha habari yao !
Including me 😅🤣🙏🙏
Sisi tuliokipigania nyakati zile za vimbunga vya hatari sasa tumekuwa kama wageni wasiofahamika ndani ya Chama !
Hatari sana 😱 !
Pole sana ndugu mzeewaSHY .
Nina rafiki zangu ambao ni CCM Asili wamebaki kuangalia kinachoendelea wakiwa pembeni kwa mbaaali kama sio wale wa miaka ya 1980s na 1990s.
 
Ndugu Mpina, ametoa HOJA bungeni, iundwe Tume kuchunguza kifo Cha Magu.

Tulianza kusahau, anashauri turudishe tena matanga, tuendelee kuomboleza?

Kweli, mpasuko na mtikisiko ni dhahiri.
 
Chatanda wa UWT amemshtaki RC Kwa PM na Kinana, Alichokifanya RC ameenda kujificha mgongoni Kwa mamake😀

Tutaona Mengi maana ndio kwanza May 27 2024.
 
Kauli ya Nape Nnauye kuhusu wizi wa kura, ni kiashiria na taarifa juu ya mtikisiko unaendelea.
 
Back
Top Bottom