Pre GE2025 Nabii Sanga: Mgawanyiko mkubwa utaikumba CCM mwaka 2024 na 2025, tuiombee

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
What if Mungu anapenda chama hiki kuendelea kutuongoza?
Mungu anawezesha majizi ya kura kuendelea kuongoza nchi hii! Huyo kada wa ccm Hana jipya. Bado Kuna watu wanasikilizaga hao manabii uchwara?
 
CCM imeshikamana na mihimili ya Dola yote,

Kutikisika Kwa CCM, ni kutikisika Kwa nchi,

Hivyo tuombee mtikisiko uwe salama.
Imeshikamana au imejishikisha kwenye vyombo vya dola? Acha kujivika hofu ya kipropaganda.
 
Atagawanyika yeye nabii wa mchongo lakini CCM iko palepale. Wembe ni ule ule ushindi.
 
Ni unabii mzuri sana, hatutaomba, CCM ndio chanzo Cha wananchi kuwa masikini. Wameuza Bandari, Madini, Magogo, na wanyama WA asili. Hee Yesu ongeza mtikisiko mara duvu.
 
Swala la migawanyiko ndani ya CCM siyo unabii bali ni hali halisi inayo onekana wazi na litakuja kukolezwa na kambi tofauti sinazosigana kuingia Ikulu. Sasa hasichukuwe facts halafu atuambie ni maono ya kinabii, utapeli mtupu.
 
Nami ana ujasiri wa kuwaombea wezi
 
Kwanini unabii wa hawa manabii ni kuhusu siasa tu ama Marais miaka yote? Hakuna kupewa maono kwa jambi jengine?
 
Yaani tukiombee chama Cha mambuzi[emoji15].Mambuzi yanajuaga kula TU,ni kama mchwa! Yaani Mwenyezi Mungu wa haki asikilize Sala za wanaoombea CCM iendelee kuwa madarakani? Ccm hihii ambayo ndio chanzo cha dhuluma, wizi ufisadi na maovu lukuki?
 

Ni sawa na mimi sasa hivi kusema, kesho itakuwa jumanne, tuiombee sana nchi yetu.

Hapo hakuna unabii, mwambieni huyo mtu afanye kazi za uzalishaji mali aache ujanja ujanja na kutafuta umaarufu.
It is obvious kesho ni jumanne au siyo?Nabii kadandia gari kwa mbele๐Ÿ˜€
 
nabii mwehu kabisa, ombea kife chama
 
Weee umepitia umeshaiona inatosha. Sina ujinga wa kuwatazama manabii wa uongo.

Siamini kama kuna Nabii yeyote sasa hivi.


Wajinga ndiyo waliwao.
Kwahiyo unagoma kukiombea CCM Ili ife sio!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ