Pre GE2025 Nabii Sanga: Mgawanyiko mkubwa utaikumba CCM mwaka 2024 na 2025, tuiombee

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Katika Unabii wa mwaka 2024, Nabii Sanga ametoa ujumbe Kwa Watanzania kuingia katika maombi kukiombea chama tawala CCM, amesema ameambiwa kuwa mwaka huu 2024 kutakuwa na mgawanyiko mkubwa utakaokikumba chama hiki.
Ikimpendeza Bwana Mungu wetu mgawanyiko uwe hata wiki ijayo walahi!!
 
Salaam, Shalom.

Katika Unabii wa mwaka 2024, Nabii Sanga ametoa ujumbe Kwa Watanzania kuingia katika maombi kukiombea chama tawala CCM, amesema ameambiwa kuwa mwaka huu 2024 kutakuwa na mgawanyiko mkubwa utakaokikumba chama hiki.

Amesema pia kuwa, mgawanyiko na mtikisiko utakaokikumba chama Cha MAPINDUZI CCM, haitakuwa Siri, itakuwa ni mtikisiko wa wazi ambao hata raia wa kawaida watajua.

Amesema Mungu amemwambia awaase raia kukiombea Chama Cha MAPINDUZI CCM Kwakuwa mtikisiko wa chama tawala utaathiri pia Nchi Kwa ujumla, na ujumbe wa kukiombea CCM ni Ishara kuwa Mungu BADO anapenda CCM iendelee kuongoza Nchi na amesema kuwa, adui amepanga kutumia mgawanyiko huo kuivuruga Amani ya nchi.

Amesema pia, amepata ujumbe kuwapa Marais wote wa Africa kuwa Waaminifu Kwa Nchi zao na kuwatumikia wananchi Kwa HAKI, la sivyo, patakuwako maandamano katika Nchi nyingi Afrika ikiwa hawatakuwa Waaminifu.

Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿

Karibuni.🙏

Source: POG family Tv.

Nabii Sanga 😛 😛 😛 😛 😛 😛 😛 😛 😛 😛 😛 😛 😛 😛 😛 😛 😛 😛 😛 😛 😛
 
Amalize show yeye siana-maupako au? Asitishe watu nakuzua taharuki
 
Ningeoenda ccm ijitenge tujue wajamaa kamili na walibarati kamili
 
Salaam, Shalom.

Katika Unabii wa mwaka 2024, Nabii Sanga ametoa ujumbe Kwa Watanzania kuingia katika maombi kukiombea chama tawala CCM, amesema ameambiwa kuwa mwaka huu 2024 kutakuwa na mgawanyiko mkubwa utakaokikumba chama hiki.

Amesema pia kuwa, mgawanyiko na mtikisiko utakaokikumba chama Cha MAPINDUZI CCM, haitakuwa Siri, itakuwa ni mtikisiko wa wazi ambao hata raia wa kawaida watajua.

Amesema Mungu amemwambia awaase raia kukiombea Chama Cha MAPINDUZI CCM Kwakuwa mtikisiko wa chama tawala utaathiri pia Nchi Kwa ujumla, na ujumbe wa kukiombea CCM ni Ishara kuwa Mungu BADO anapenda CCM iendelee kuongoza Nchi na amesema kuwa, adui amepanga kutumia mgawanyiko huo kuivuruga Amani ya nchi.

Amesema pia, amepata ujumbe kuwapa Marais wote wa Africa kuwa Waaminifu Kwa Nchi zao na kuwatumikia wananchi Kwa HAKI, la sivyo, patakuwako maandamano katika Nchi nyingi Afrika ikiwa hawatakuwa Waaminifu.

Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA [emoji1241]

Karibuni.[emoji120]

Source: POG family Tv.
Dah....wakinga wameingia kwenye unabii.
.[emoji848]
 
Nabii anatafuta kiki. Nani asiyejua kuwa kwenye mwaka wa uchaguzi kunatokeaga misukosuko watu wakitaka nafasi za uongozi lakini mwisho wa siku CCM huingia kwenye kampeni kama kitu kimoja? Ni sawa nione mawingu yametanda halafu nitabiri kuhusu mvua kunyesha. NABII AACHE BANGI ZINA MADHARA. Mtikisiko mkubwa wa mwisho kutokea CCM ni ule wa 2015. Baada ya miaka 50 ndo labda inaweza kutokea ile hali.
 
Salaam, Shalom.

Katika Unabii wa mwaka 2024, Nabii Sanga ametoa ujumbe Kwa Watanzania kuingia katika maombi kukiombea chama tawala CCM, amesema ameambiwa kuwa mwaka huu 2024 kutakuwa na mgawanyiko mkubwa utakaokikumba chama hiki.

Amesema pia kuwa, mgawanyiko na mtikisiko utakaokikumba chama Cha MAPINDUZI CCM, haitakuwa Siri, itakuwa ni mtikisiko wa wazi ambao hata raia wa kawaida watajua.

Amesema Mungu amemwambia awaase raia kukiombea Chama Cha MAPINDUZI CCM Kwakuwa mtikisiko wa chama tawala utaathiri pia Nchi Kwa ujumla, na ujumbe wa kukiombea CCM ni Ishara kuwa Mungu BADO anapenda CCM iendelee kuongoza Nchi na amesema kuwa, adui amepanga kutumia mgawanyiko huo kuivuruga Amani ya nchi.

Amesema pia, amepata ujumbe kuwapa Marais wote wa Africa kuwa Waaminifu Kwa Nchi zao na kuwatumikia wananchi Kwa HAKI, la sivyo, patakuwako maandamano katika Nchi nyingi Afrika ikiwa hawatakuwa Waaminifu.

Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿

Karibuni.🙏

Source: POG family Tv.
Siyo mgawanyiko tu naomba matapeli yote yakafe kabisa.
 
Ndo nasema,

Wewe huoni haja ya CCM kutubu na kubadili uelekeo juu ya namna wanavyoongoza wananchi?
Ipo haja hiyo na wananchi waseme

Huyo jamaa atuongoze kwanza tumrudie muumba
 
Kwamba Mungu akileta maonyo au maelekezo Kwa Taifa na viongozi wa Nchi wawe wananyamaza?

Mambo hayaendi hivyo, Nchi ni yetu sote.
Mungu hawezi kuleta maono ya aina hii, hisipokuwa huyu unaemuita nabii kaangalia hali ya kisiasa ndani ya CCM na kuja na episode ya unabii. Kwa maana nyingine huyu ni tapeli kwenye mwamvuli wa unabii.
 
Wewe huoni haja ya CCM kutubu?

Au ukakasi umekuingia uliposikia CCM iombewe?
 
Salaam, Shalom.

Katika Unabii wa mwaka 2024, Nabii Sanga ametoa ujumbe Kwa Watanzania kuingia katika maombi kukiombea chama tawala CCM, amesema ameambiwa kuwa mwaka huu 2024 kutakuwa na mgawanyiko mkubwa utakaokikumba chama hiki.

Amesema pia kuwa, mgawanyiko na mtikisiko utakaokikumba chama Cha MAPINDUZI CCM, haitakuwa Siri, itakuwa ni mtikisiko wa wazi ambao hata raia wa kawaida watajua.

Amesema Mungu amemwambia awaase raia kukiombea Chama Cha MAPINDUZI CCM Kwakuwa mtikisiko wa chama tawala utaathiri pia Nchi Kwa ujumla, na ujumbe wa kukiombea CCM ni Ishara kuwa Mungu BADO anapenda CCM iendelee kuongoza Nchi na amesema kuwa, adui amepanga kutumia mgawanyiko huo kuivuruga Amani ya nchi.

Amesema pia, amepata ujumbe kuwapa Marais wote wa Africa kuwa Waaminifu Kwa Nchi zao na kuwatumikia wananchi Kwa HAKI, la sivyo, patakuwako maandamano katika Nchi nyingi Afrika ikiwa hawatakuwa Waaminifu.

Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA [emoji1241]

Karibuni.[emoji120]

Source: POG family Tv.
Mwambie awache utapeli
 
Atakuwa mungu wa **BAALI**huyo.

YEHOVA**ninaye muamini anatambua **CCM NI MASHETANI
We ndo hujaelewa,

CCM pia wanaitwa watubu na kuacha mambo yanayoudhi wananchi.
 
Salaam, Shalom.

Katika Unabii wa mwaka 2024, Nabii Sanga ametoa ujumbe Kwa Watanzania kuingia katika maombi kukiombea chama tawala CCM, amesema ameambiwa kuwa mwaka huu 2024 kutakuwa na mgawanyiko mkubwa utakaokikumba chama hiki.

Amesema pia kuwa, mgawanyiko na mtikisiko utakaokikumba chama Cha MAPINDUZI CCM, haitakuwa Siri, itakuwa ni mtikisiko wa wazi ambao hata raia wa kawaida watajua.

Amesema Mungu amemwambia awaase raia kukiombea Chama Cha MAPINDUZI CCM Kwakuwa mtikisiko wa chama tawala utaathiri pia Nchi Kwa ujumla, na ujumbe wa kukiombea CCM ni Ishara kuwa Mungu BADO anapenda CCM iendelee kuongoza Nchi na amesema kuwa, adui amepanga kutumia mgawanyiko huo kuivuruga Amani ya nchi.

Amesema pia, amepata ujumbe kuwapa Marais wote wa Africa kuwa Waaminifu Kwa Nchi zao na kuwatumikia wananchi Kwa HAKI, la sivyo, patakuwako maandamano katika Nchi nyingi Afrika ikiwa hawatakuwa Waaminifu.

Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿

Karibuni.🙏

Source: POG family Tv.
Muda utasema
 
What if Mungu anapenda chama hiki kuendelea kutuongoza?
Kama kinaongoza kwa mwendo wa farao mngu atakicgaraza vibaya ila kama kinaleta dawa mahospitali,kinaleta umeme wa uhakika,,kinahakikisha watoto hawasomei chini ya mti,,,kinaacha kalenda kwenye miradi kama sgr,,,kinawashitaki nakuwatupa jela wote wanaobainika na ufisadi kwenye ripoti za CAG nk,,,,nafikir mwingi wa rehma atakiacha kiendelee nje na hapo mngu hajawai kuchelewa wala kuwai
 
Back
Top Bottom