Ikimpendeza Bwana Mungu wetu mgawanyiko uwe hata wiki ijayo walahi!!Katika Unabii wa mwaka 2024, Nabii Sanga ametoa ujumbe Kwa Watanzania kuingia katika maombi kukiombea chama tawala CCM, amesema ameambiwa kuwa mwaka huu 2024 kutakuwa na mgawanyiko mkubwa utakaokikumba chama hiki.
Salaam, Shalom.
Katika Unabii wa mwaka 2024, Nabii Sanga ametoa ujumbe Kwa Watanzania kuingia katika maombi kukiombea chama tawala CCM, amesema ameambiwa kuwa mwaka huu 2024 kutakuwa na mgawanyiko mkubwa utakaokikumba chama hiki.
Amesema pia kuwa, mgawanyiko na mtikisiko utakaokikumba chama Cha MAPINDUZI CCM, haitakuwa Siri, itakuwa ni mtikisiko wa wazi ambao hata raia wa kawaida watajua.
Amesema Mungu amemwambia awaase raia kukiombea Chama Cha MAPINDUZI CCM Kwakuwa mtikisiko wa chama tawala utaathiri pia Nchi Kwa ujumla, na ujumbe wa kukiombea CCM ni Ishara kuwa Mungu BADO anapenda CCM iendelee kuongoza Nchi na amesema kuwa, adui amepanga kutumia mgawanyiko huo kuivuruga Amani ya nchi.
Amesema pia, amepata ujumbe kuwapa Marais wote wa Africa kuwa Waaminifu Kwa Nchi zao na kuwatumikia wananchi Kwa HAKI, la sivyo, patakuwako maandamano katika Nchi nyingi Afrika ikiwa hawatakuwa Waaminifu.
Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿
Karibuni.🙏
Source: POG family Tv.
Dah....wakinga wameingia kwenye unabii.Salaam, Shalom.

Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA [emoji1241]
Karibuni.[emoji120]
Source: POG family Tv.
Wengine tunaanza usikuuuuu Usiku wa mananeeeeeMwambieni aache bangi
Eti jamani!!Huyo nabii hajielewi.....nani akae aiombee CCM?
Siyo mgawanyiko tu naomba matapeli yote yakafe kabisa.Salaam, Shalom.
Katika Unabii wa mwaka 2024, Nabii Sanga ametoa ujumbe Kwa Watanzania kuingia katika maombi kukiombea chama tawala CCM, amesema ameambiwa kuwa mwaka huu 2024 kutakuwa na mgawanyiko mkubwa utakaokikumba chama hiki.
Amesema pia kuwa, mgawanyiko na mtikisiko utakaokikumba chama Cha MAPINDUZI CCM, haitakuwa Siri, itakuwa ni mtikisiko wa wazi ambao hata raia wa kawaida watajua.
Amesema Mungu amemwambia awaase raia kukiombea Chama Cha MAPINDUZI CCM Kwakuwa mtikisiko wa chama tawala utaathiri pia Nchi Kwa ujumla, na ujumbe wa kukiombea CCM ni Ishara kuwa Mungu BADO anapenda CCM iendelee kuongoza Nchi na amesema kuwa, adui amepanga kutumia mgawanyiko huo kuivuruga Amani ya nchi.
Amesema pia, amepata ujumbe kuwapa Marais wote wa Africa kuwa Waaminifu Kwa Nchi zao na kuwatumikia wananchi Kwa HAKI, la sivyo, patakuwako maandamano katika Nchi nyingi Afrika ikiwa hawatakuwa Waaminifu.
Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿
Karibuni.🙏
Source: POG family Tv.
Ipo haja hiyo na wananchi wasemeNdo nasema,
Wewe huoni haja ya CCM kutubu na kubadili uelekeo juu ya namna wanavyoongoza wananchi?
Mungu hawezi kuleta maono ya aina hii, hisipokuwa huyu unaemuita nabii kaangalia hali ya kisiasa ndani ya CCM na kuja na episode ya unabii. Kwa maana nyingine huyu ni tapeli kwenye mwamvuli wa unabii.Kwamba Mungu akileta maonyo au maelekezo Kwa Taifa na viongozi wa Nchi wawe wananyamaza?
Mambo hayaendi hivyo, Nchi ni yetu sote.
Wewe huoni haja ya CCM kutubu?Mungu hawezi kuleta maono ya aina hii, hisipokuwa huyu unaemuita nabii kaangalia hali ya kisiasa ndani ya CCM na kuja na episode ya unabii. Kwa maana nyingine huyu ni tapeli kwenye mwamvuli wa unabii.
Tumrudie wote,Ipo haja hiyo na wananchi waseme
Huyo jamaa atuongoze kwanza tumrudie muumba
Mwambie awache utapeliSalaam, Shalom.
Katika Unabii wa mwaka 2024, Nabii Sanga ametoa ujumbe Kwa Watanzania kuingia katika maombi kukiombea chama tawala CCM, amesema ameambiwa kuwa mwaka huu 2024 kutakuwa na mgawanyiko mkubwa utakaokikumba chama hiki.
Amesema pia kuwa, mgawanyiko na mtikisiko utakaokikumba chama Cha MAPINDUZI CCM, haitakuwa Siri, itakuwa ni mtikisiko wa wazi ambao hata raia wa kawaida watajua.
Amesema Mungu amemwambia awaase raia kukiombea Chama Cha MAPINDUZI CCM Kwakuwa mtikisiko wa chama tawala utaathiri pia Nchi Kwa ujumla, na ujumbe wa kukiombea CCM ni Ishara kuwa Mungu BADO anapenda CCM iendelee kuongoza Nchi na amesema kuwa, adui amepanga kutumia mgawanyiko huo kuivuruga Amani ya nchi.
Amesema pia, amepata ujumbe kuwapa Marais wote wa Africa kuwa Waaminifu Kwa Nchi zao na kuwatumikia wananchi Kwa HAKI, la sivyo, patakuwako maandamano katika Nchi nyingi Afrika ikiwa hawatakuwa Waaminifu.
Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA [emoji1241]
Karibuni.[emoji120]
Source: POG family Tv.
Atakuwa mungu wa **BAALI**huyo.What if Mungu anapenda chama hiki kuendelea kutuongoza?
We ndo hujaelewa,Atakuwa mungu wa **BAALI**huyo.
YEHOVA**ninaye muamini anatambua **CCM NI MASHETANI
Yeye ni mbeba ujumbe tu.Mwambie awache utapeli
Muda utasemaSalaam, Shalom.
Katika Unabii wa mwaka 2024, Nabii Sanga ametoa ujumbe Kwa Watanzania kuingia katika maombi kukiombea chama tawala CCM, amesema ameambiwa kuwa mwaka huu 2024 kutakuwa na mgawanyiko mkubwa utakaokikumba chama hiki.
Amesema pia kuwa, mgawanyiko na mtikisiko utakaokikumba chama Cha MAPINDUZI CCM, haitakuwa Siri, itakuwa ni mtikisiko wa wazi ambao hata raia wa kawaida watajua.
Amesema Mungu amemwambia awaase raia kukiombea Chama Cha MAPINDUZI CCM Kwakuwa mtikisiko wa chama tawala utaathiri pia Nchi Kwa ujumla, na ujumbe wa kukiombea CCM ni Ishara kuwa Mungu BADO anapenda CCM iendelee kuongoza Nchi na amesema kuwa, adui amepanga kutumia mgawanyiko huo kuivuruga Amani ya nchi.
Amesema pia, amepata ujumbe kuwapa Marais wote wa Africa kuwa Waaminifu Kwa Nchi zao na kuwatumikia wananchi Kwa HAKI, la sivyo, patakuwako maandamano katika Nchi nyingi Afrika ikiwa hawatakuwa Waaminifu.
Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿
Karibuni.🙏
Source: POG family Tv.
Kama kinaongoza kwa mwendo wa farao mngu atakicgaraza vibaya ila kama kinaleta dawa mahospitali,kinaleta umeme wa uhakika,,kinahakikisha watoto hawasomei chini ya mti,,,kinaacha kalenda kwenye miradi kama sgr,,,kinawashitaki nakuwatupa jela wote wanaobainika na ufisadi kwenye ripoti za CAG nk,,,,nafikir mwingi wa rehma atakiacha kiendelee nje na hapo mngu hajawai kuchelewa wala kuwaiWhat if Mungu anapenda chama hiki kuendelea kutuongoza?