Pre GE2025 Nabii Sanga: Mgawanyiko mkubwa utaikumba CCM mwaka 2024 na 2025, tuiombee

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Katika Unabii wa mwaka 2024, Nabii Sanga ametoa ujumbe Kwa Watanzania kuingia katika maombi kukiombea chama tawala CCM, amesema ameambiwa kuwa mwaka huu 2024 kutakuwa na mgawanyiko mkubwa utakaokikumba chama hiki.
Wenye chama chao wanasemaje, maana kina wenyewe. Huyo nabii asipokuwa makini atafanyiwa kama ndugu yake Tuntemeke
 
Haya mambo ya kuombea, mbona yako sana TZ, kwanini?
 
Ndio baba yake na Lina Sanga?amtolee kwanza unabii Linah
 
Wenye chama chao wanasemaje, maana kina wenyewe. Huyo nabii asipokuwa makini atafanyiwa kama ndugu yake Tuntemeke
Ukimdhuru mjumbe baada ya kufikisha ujumbe yafaa nini?
 
Hivi CCM nayo ni ya kuombewa kweli?
 
Amesema Mungu amemwambia awaase raia kukiombea Chama Cha MAPINDUZI CCM Kwakuwa mtikisiko wa chama tawala utaathiri pia Nchi Kwa ujumla, na ujumbe wa kukiombea CCM ni Ishara kuwa Mungu BADO anapenda CCM iendelee kuongoza Nchi na amesema kuwa, adui amepanga kutumia mgawanyiko huo kuivuruga Amani ya nchi.
HAELEWEKI ANAUMA ANAPULIZA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…