Uchaguzi 2020 Nabii Shilla ahamia ACT-Wazalendo na kuchukua fomu ya kuwania Ubunge

Jamaa ameaminishwa kuwa anakubalika, japo atazigawa kura za upinzani ataishia kushika namba tatu kwa tukura tuduchu
 
Ni haki yake kuchagua chama anachotaka.
 
Hako kavulana kana matatizo na vipesa vyake, kanahangaika kweli kutafuta utukufu wa ulimwengu, sijui huo unabii kalionao ni wawapi?!

majina yakujipachika tu.
 
Wakala WA CCM huyo.. Tangu kitambo
 
Huyu kijana alitaka apitishwe halafu ajiengue na aliahidiwa fedha taslimu million 20. Tulikanasa mawasiliano yake kajinga kweli!
 
Makosa ambayo CDM iliyafanya mwaka 2015 pasipo kuchukua tahadhari yoyote juu ya wagombea wake, naliona kosa hilo likirudiwa na ACT Wazalendo kwa upande wa Tanzania Bara mwaka huu.
 
hawa jamaa bange sana ongezea na faru john hapo walikuwa wanamsifia na kuleta taharuki kama vile sijui shilla ndio nani ,,eti leo wanamkandia ndio ujue hiki chama nusu watumiaji wa sigara bwege nusu faru john ,,
 
ACT na ukusanyaji wa makapi mmewazidi Cdm
Watakuja kenge nyoka vinyonga viwavi hata panya buku
Upinzani mnachezewa hamuoni
Shida mnaamini kila ajaye
 
Chadema uchaguzi huu wa kununulika kama kuku sokoni hawana nafasi. Wawahi "siti" ACT,. Ahasanteni sana viongozi wangu wa kanda zote kwa kuwa makini na hawa "malaya wa kisiasa".
#Chadema✌🏽✌🏽✌🏽
 
ACT na ukusanyaji wa makapi mmewazidi Cdm
Watakuja kenge nyoka vinyonga viwavi hata panya buku
Upinzani mnachezewa hamuoni
Shida mnaamini kila ajaye
Bila ya kuwasahau mijusi kama goromondo mkuu!
 
Kwani ni kosa kunudumia mwili na roho.mbona msigwa ni mbunge na pia ni mchungaji?
tatizo la nyumbu wa Ufipa ni wepesi wa kusahau.
Ulimwona Msigwa akichunga wapi.

Unapokuwa kada wa chama flani huku ukiwa ni mtumishi wa Mungu inashindikana kwa sababu mtumishi wa Mungu anatakiwa awahudumie watu wote. Ukishakuwa na chama maana yake uwe mbaguzi sasa.

YESU NI BWANA
 
hawa jamaa bange sana ongezea na faru john hapo walikuwa wanamsifia na kuleta taharuki kama vile sijui shilla ndio nani ,,eti leo wanamkandia ndio ujue hiki chama nusu watumiaji wa sigara bwege nusu faru john ,,View attachment 1546090


Wafuasi wa Chadema ni wanafiki sana, hawaelewi wanachokisimamia ni nini, hawajui wanachokipigania ni nini, wapo wapo tu bendera fuata upepo.
Jana wamemsifu na kumpamba sana huyu dogo ghafla leo wanaanza kumponda!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…