Nabii Suguye: Viongozi wa Serikali watubu kabla mwaka haujaisha kwa 'blunder' zilizofanywa kwenye Uchaguzi Mkuu 2020

Ktk mahubiri yanayoendelea WRM leo jumapili 27/12/2020, Nabii Nicolaus Suguye amewataka viongozi wa serikali wakatubu kwa blunder zilizofanyika ktk uchaguzi mkuu wa October 2020.

Ameongeza kwa kusema kuna watu wamekufa na wamesononeka kufuatia blunder hizo. Wakatubu kabla mwaka kabla mwaka haujaisha, ili taifa lisonge mbele. Vinginevyo mwaka 2021 utakuwa mgumu kwao.

Pia nabii Suguye amesema alikuwa mtu wa kwanza kutabiri kuwa korona itatoweka haraka nchini Tanzania.

Ibada inaendelea......
Picha basi
 
Mleta mada ni mjinga!

Akihubiri kuhusu watu kutubu kuacha dhambi kama uzinzi, ulevi na wizi haleti mada hapa. Ila akihubiri juu ya siasa ndio mbiombio kuleta humu
Leo amehubiri kuhusu wizi (wa kura), ulevi (wa madaraka), uzinzi (wanadini+wanasiasa) na mauaji ndo maana ameleta hapa. Ni aina tu ya uwasilishaji lakini dhambi ulizotaka zikemewe ndo hizo hizo zimekemewa. Umeridhika sasa?
 
Nani kamwambia Corona imetoweka ?Ngoja aipate ndo ataelewa kuwa ipo ama ?
 
Mleta mada ni mjinga!

Akihubiri kuhusu watu kutubu kuacha dhambi kama uzinzi, ulevi na wizi haleti mada hapa. Ila akihubiri juu ya siasa ndio mbiombio kuleta humu
Nawewe anzisha uzi wako ulete hayo unayo yaona yamekemewa,tofauti na hapo huo ni umama
 
Neno, japo chini ya jua ni ubatili mtupu.Askofu Gwajima na wenzake wanabariki na kupongeza kishindo.
Nime kuja kugundua kitu kuna mahusiano makubwa sana kati ya CCM na ujinga, simtukani mtu ila huo ndio ukweli tujitahidi sana kuwapa ndugu zetu somo. madhara ya kukubali kumtegemea mtu kua kinga yako ndio hayo nilazima uwe kama zombie kila kitu unashabikia tuwasaidie wenzetu.
 
Kabisa mkuu.na siyo ujinga tu Bali na Mahusiano ya ccm na shetani.na ukitaka kujua hasira zao waambie kutubu Dhambi tu. Utaona uhalisia wao
 
Kufikia Ijumaa ya wiki hii kama hajakamatwa kwa kuishi nchin bila kibali mtanambia....
Akamatwe kwa kosa hili: Pia nabii Suguye amesema alikuwa mtu wa kwanza kutabiri kuwa korona itatoweka haraka nchini Tanzania.
 
Hivi ni yule aliedai kuwa ameonyeshwa dawa ya Corona na Roho Mtakatifu? lakini baada ya kukamatwa na Polisi atoe maelezo alikana kuwa hajaonyeshwa dawa hiyo!
 
Ktk mahubiri yanayoendelea WRM leo jumapili 27/12/2020, Nabii Nicolaus Suguye amewataka viongozi wa serikali wakatubu kwa blunder zilizofanyika ktk uchaguzi mkuu wa October 2020.

Ameongeza kwa kusema kuna watu wamekufa na wamesononeka kufuatia blunder hizo. Wakatubu kabla mwaka kabla mwaka haujaisha, ili taifa lisonge mbele. Vinginevyo mwaka 2021 utakuwa mgumu kwao.

Pia nabii Suguye amesema alikuwa mtu wa kwanza kutabiri kuwa korona itatoweka haraka nchini Tanzania.

Ibada inaendelea......
Na yeye ameshatubu kugonga kondoo wake hasa hasa wake za watu?
 
Ktk mahubiri yanayoendelea WRM leo jumapili 27/12/2020, Nabii Nicolaus Suguye amewataka viongozi wa serikali wakatubu kwa blunder zilizofanyika ktk uchaguzi mkuu wa October 2020.

Ameongeza kwa kusema kuna watu wamekufa na wamesononeka kufuatia blunder hizo. Wakatubu kabla mwaka kabla mwaka haujaisha, ili taifa lisonge mbele. Vinginevyo mwaka 2021 utakuwa mgumu kwao.

Pia nabii Suguye amesema alikuwa mtu wa kwanza kutabiri kuwa korona itatoweka haraka nchini Tanzania.

Ibada inaendelea......
hata kina gwaji boy walikuwa ka yeye
 
Back
Top Bottom