Katashekadm
JF-Expert Member
- Feb 14, 2018
- 728
- 775
Eti nabii!
Yeye aendelee kutafuna pesa za waumini wake tu
Yeye aendelee kutafuna pesa za waumini wake tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Viunzi vyote hivyo atavikwepa maana kanisa halipo mazingira ya namna hiyo......utasikia kanisa lipo barabarani upande pili kambi jeshi kuna maboresho kanisa lihame haraka !!! Hapo mipango miji wameshapigiwa
Akikujibu ni-tagKwanini anatabiri mambo ya kisiasa
ni kweli ni msanii kitambo, angalau katika hili Mungu atampunguzia adhabu za usanii aliofanya. Amesimama katika nafasi ya utumishi wa MunguHuyo nabii wa Nandi ni msanii kitambo sana!
Kawadanganya Nini?Sawa tutatubu..na yeye atubu pia kwa kudaganya waumini wake.
#MaendeleoHayanaChama
Umeongeza chumvi kupitiliza, kanisa lake la kawaida sana!Viunzi vyote hivyo atavikwepa maana kanisa halipo mazingira ya namna hiyo.
Labda watampata kwenye kigezo kuwa kanisa lipo katikati ya makazi ya watu hivyo anawapigia kelele.
Huyu nabii yupo Kivule matembele ya Pili, ana kanisa kubwa kuliko kanisa la mtume au nabii yeyote Tanzania,hata makanisa ya Saint Joseph Cathedral au Azania Front hayaoni ndani.
Hongera yake kwa kuthubutu kukemea,ajindae na yatokanayo!
Ni kawaida yao, mwisho wa mwaka umefika.Tabiri za ujanja ujanjaNeno, japo chini ya jua ni ubatili mtupu.Askofu Gwajima na wenzake wanabariki na kupongeza kishindo.
Suguye hajielewi kuna kitu kanisa la Pentecost waliomfundisha na kumpangia eneo hakijui anadhani yeye mjuajii sana alipoaondoka Kwao alidhani yeye ndio yeye chief prophet sijiui master prophet sijui most high father anachorwa tu nchi hii aisikie tu kwenye radio ina mifumo ya kufa mtu kuanzia kanisani vyama vya upinzani misikitini answer Sunna nk Lisu mwenyewe hakuamini macho yake kuona akina Halima Mdee na Seif sharif Hamad na akina Gwajima na Kakobe na Lowasa na Slaa nk walichofanyaAngesema uchaguzi ulikuwa huru na haki ungejibu hivyo?!
Kwa nini?Anyway huduma yake inaelekea ukingoni
Kwani maji ya upako ya Mia tano akiuza elfu kumi hatakiwi kudaiwa TRA VAT?Duh atafuatiliwa uraia wake,baadae TRA ....
Suguye kaamua ku dissolve huduma CAG yaani mkaguzi Mkuu wa serikali kapitie hesabu za hiyo NGO toka ianzishwe kama ufisadi kamata SuguyeKwa nini?
Unataka KUMTEKA ?!!!
Au mtampakazia kuwa siyo raia ?
Una ushahidi? Au unasikiliza porojo tu za Lisu aliyegoma kuripoti polisi na dereva wake waisaidie polisi kueleza kilichotokeaSasa kama ipo hivyo kilichowafanya kumpiga Lisu risasi ni nini? Pale ndipo mlipoonyesha kuwa dhaifu sana.
Sipingani nawe Mkuu,huenda nina tatizo katika kulinganisha,lakini kwa kuwa nimebahatika kuingia kwenye makanisa yote matatu niliyoyataja,ndiyo maana nikafikia hitimisho hilo. Usilichukulie poa lile kanisa Kama hujawahi kuingia ndani.Umeongeza chumvi kupitiliza, kanisa lake la kawaida sana!
Tatizo mnaandikaga utafikiri umeelekezwa cha kuandika.Mara hii umesahau kama umeandika kuwa kanisa la Suguye ni kubwa kuliko kanisa la mtume na nabii yeyote hapa Tanzania?Sipingani nawe Mkuu,huenda nina tatizo katika kulinganisha,lakini kwa kuwa nimebahatika kuingia kwenye makanisa yote matatu niliyoyataja,ndiyo maana nikafikia hitimisho hilo. Usilichukulie poa lile kanisa Kama hujawahi kuingia ndani.