Nabii Suguye: Viongozi wa Serikali watubu kabla mwaka haujaisha kwa 'blunder' zilizofanywa kwenye Uchaguzi Mkuu 2020

Kakobe aliwahi kumwambia jamaa atubu,TRA na Uhamiaji waliweka nguvu yote kwake hadi leo hii anaimba mapambio ya kumsifu na kumuabudu. Sasa huyu ajiandae maana mziki atakaoshushiwa siyo wa kitoto.

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Huyu nabii soon atatoweka kama mfalme Zumarid wa Mwanza
 
Pia nabii Suguye amesema alikuwa mtu wa kwanza kutabiri kuwa korona itatoweka haraka nchini Tanzania.
tapeli mkubwa huyu! Corona imetoweka lini Tz? bado watu wanakufa kwa corona acheni mchezo wa kusikiliza wanasiasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…