Mgeni wa Jiji
JF-Expert Member
- Jul 27, 2017
- 9,758
- 18,431
Hahahaa, ashaingiza siku hapo
Kesho tunapeleka sadaka kwake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaa, ashaingiza siku hapo
Nilikuwa napitaAskofu mwamakula alifunga kwa maombi ya moto na kusema Mungu awaaaibishe wote watakaochezea uchaguzi huu"
Kwahiyo mhusika au wahusika hawakutubu?Katika mahubiri yanayoendelea WRM leo jumapili 27/12/2020, Nabii Nicolaus Suguye amewataka viongozi wa serikali wakatubu kwa blunder zilizofanyika ktk uchaguzi mkuu wa Oktoba 2020.
Ameongeza kwa kusema kuna watu wamekufa na wamesononeka kufuatia blunder hizo. Wakatubu kabla mwaka kabla mwaka haujaisha, ili taifa lisonge mbele. Vinginevyo mwaka 2021 utakuwa mgumu kwao.
Pia nabii Suguye amesema alikuwa mtu wa kwanza kutabiri kuwa korona itatoweka haraka nchini Tanzania.
Ibada inaendelea...
Na wewe ni taahira kabisaaaaaMleta mada ni mjinga!
Akihubiri kuhusu watu kutubu kuacha dhambi kama uzinzi, ulevi na wizi haleti mada hapa. Ila akihubiri juu ya siasa ndio mbiombio kuleta humu
Ni kweli baada ya kuondoka Jiwe korona iliondoka.Katika mahubiri yanayoendelea WRM leo jumapili 27/12/2020, Nabii Nicolaus Suguye amewataka viongozi wa serikali wakatubu kwa blunder zilizofanyika ktk uchaguzi mkuu wa Oktoba 2020.
Ameongeza kwa kusema kuna watu wamekufa na wamesononeka kufuatia blunder hizo. Wakatubu kabla mwaka kabla mwaka haujaisha, ili taifa lisonge mbele. Vinginevyo mwaka 2021 utakuwa mgumu kwao.
Pia nabii Suguye amesema alikuwa mtu wa kwanza kutabiri kuwa korona itatoweka haraka nchini Tanzania.
Ibada inaendelea...
bado hii second 1/2 inatikisa sanaMàgufool na ½ ya majambazi wenzake tayari wametangulia motoni
Uhamiaji na TRA😅😅.....utasikia kanisa lipo barabarani upande pili kambi jeshi kuna maboresho kanisa lihame haraka !!! Hapo mipango miji wameshapigiwa
Wataondoka tu hata kama wamegoma kuandika wosiabado hii second 1/2 inatikisa sana
Binafsi naona ulitimia 100%. Jiwe aliyeharibu uchaguzi na kugoma kutubu alipelekwa na majiUtabiri ulitimia ?......kazi kwetu tunaoamini vs tusioamini
Kama ulijua kesha fungiwa.. ana ambiwa miaka 10yote aliyokuwa akiendesha kanisa halikuwa na kibali wakati yeye ana vibali vya wizara kabisa..mwezi una isha sasahakuna ibada kanisa limefungwa..Muda si mrefu ataambiwa alete cheti Cha kuzaliwa cha baba wa babu yake [emoji41]
Hili kanisa limefungiwa tangu lini mkuu?Kama ulijua kesha fungiwa.. ana ambiwa miaka 10yote aliyokuwa akiendesha kanisa halikuwa na kibali wakati yeye ana vibali vya wizara kabisa..mwezi una isha sasahakuna ibada kanisa limefungwa..
Hakika dunia ina maajabu..ila ikibukwe viongozi hawakutubu na walipuputika kwanzia ile january tuli wazika mpaka february Yuke Jembe mkumbwa Yaan JPM ndio akafunga dimba..
Achaneni na Mungu . acheni kuzarau watumishi