Nabii Suguye: Viongozi wa Serikali watubu kabla mwaka haujaisha kwa 'blunder' zilizofanywa kwenye Uchaguzi Mkuu 2020

Nabii Suguye: Viongozi wa Serikali watubu kabla mwaka haujaisha kwa 'blunder' zilizofanywa kwenye Uchaguzi Mkuu 2020

Katika mahubiri yanayoendelea WRM leo jumapili 27/12/2020, Nabii Nicolaus Suguye amewataka viongozi wa serikali wakatubu kwa blunder zilizofanyika ktk uchaguzi mkuu wa Oktoba 2020.

Ameongeza kwa kusema kuna watu wamekufa na wamesononeka kufuatia blunder hizo. Wakatubu kabla mwaka kabla mwaka haujaisha, ili taifa lisonge mbele. Vinginevyo mwaka 2021 utakuwa mgumu kwao.

Pia nabii Suguye amesema alikuwa mtu wa kwanza kutabiri kuwa korona itatoweka haraka nchini Tanzania.

Ibada inaendelea...
Kwahiyo mhusika au wahusika hawakutubu?
 
Ni kweli baada ya kuondoka Jiwe korona iliondoka.
 
Huwa na Mfuatilia Huyu Nabii , kuna watu wana mchukulia poa sana anacho sema, ila kila asemacho kimekuwa kikitokea . sema wengine wana rusha yale ya kisiasa zaidi, ila kuna mengi tu huwa anayasema hata ya nchi za jirani na yana kuwa sema haya vumishwi hapa..

Sasa kwa walio mfuatilia Mwaka jana 2021 mwisho wakati Samia akiwa kesha ingia.. Wakati akiwatoa Madarakani akina Lukuvi na Palamagamba, Suguye alitabiri siku 3 kabla kuwa ana muona mama Samia(Raisi) Akiwa anachukua Kalamu na karatasi na kufanya mabadiliko ya Baraza lake la Mawaziri.. na hivyo awe makini maana anaona Kupitia Pangua yake ya baraza na teuzi zake nyinginezo inaenda kuleta mpasuko mkubwa na kuna kundi kubwa lenye nguvu linaenda kumuasi na kuleta mpasuko na mtikisko katika nchi na hivyo lita kuwa kundi lenye nguvu litakalo ungana na upinzani na kuanzisha ushirika mkubwa wakutikisa serikali..

Leo hii 2022 Miezi mi4 tuu tangu atabiri.. Tayari Kunaonekana makundi ndani ya chama tena yanayo hasimiana kwa hisia kali.. lakin chakushangaza kuna Chama kipya cha wakereketwa wa Magufuli kimeanzishwa kinaitwa UMOJA PARTY..

Niseme tu mm nimekua nikimfuatiliaga Huyu Nabii kupitia TV ingawa sijafika kanisan kwake ila kuna matukio kadhaa yalikuja kuwa kweli kwa yale niyo yasikia mimi mwenyewe nimeshughudia matukio kama matano yakitokea kweli na hili la uhasi ndani ya serikali ndio nalisikilizia ili nijue Huyu Nabii ana uwezo kiasi gani.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Muda si mrefu ataambiwa alete cheti Cha kuzaliwa cha baba wa babu yake [emoji41]
Kama ulijua kesha fungiwa.. ana ambiwa miaka 10yote aliyokuwa akiendesha kanisa halikuwa na kibali wakati yeye ana vibali vya wizara kabisa..mwezi una isha sasahakuna ibada kanisa limefungwa..

Hakika dunia ina maajabu..ila ikibukwe viongozi hawakutubu na walipuputika kwanzia ile january tuli wazika mpaka february Yuke Jembe mkumbwa Yaan JPM ndio akafunga dimba..

Achaneni na Mungu . acheni kuzarau watumishi
 
Hili kanisa limefungiwa tangu lini mkuu?
 
Back
Top Bottom