Nabii Tito kagusa kusikogusika, soon watamshughulia.

Wale waliochinjwa kwa kosa kuchora vikaragosi vya Mtume Muhammad walikuwa na kosa kubwa zaidi ya hili la Mh. Tito?
Ndiyo kumchora Nabii Muhammad kikaragosi hayo ni matusi kwa uislam.
Ila kusema Muhammad asili yake ni kondoa kama alivyosema Tito hayo siyo matusi.

Hivyo Tito ni miongoni mwa watu wanaotakiwa kuelezwa ukweli tu ili aelewe na wala hajaonyesha uadui wowote.
 
M nafikiri tumwombee tu wapendwa...
 
Spot on, wakimpeleka mahakamani anashinda kesi mapema sana.
 
Anaweza kuwa ni MK254 huyu.

Siyo Bure! 🤣
 
Hii ni total mental case.. Atakayemchukulia serious hana akili
 
Huyu jamaa bwana , alikuja na mambo yake ya kuruhusu ulale na house girl, baadae akaja na gear kwamba yeye na mke wake hawafanyi tendo la ndoa wanaangaliana tu Leo amekuja na mpya kwamba Mtumie Muhammad ni Mrangi wa Kondoa. Aiseeeh!
 
Ipo siku atasema kuwa amemla mkuu.
Maana wiki iliyopita alikuwa na kampeni ya kuwalala wanawake kwenye ndoto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…