Hapana ukihangaika na mtu ambaye hayupo sawa wewe ndio utakuwa na matatizo, huyu aachwe tu atafutiwe tiba akae sawaHii nchi chezea vyote usimguse kiongozi Mwandamizi yeyote. Nabii Tito alilitambua hili ndio maana huwa hajawahi kuwapinga. Mara nyingi huwasifia.
Pili usiguse watu watu wa Dini ya Kiislamu. Waislamu wana msimamo na hawayumbishwi kirahisi.
Kitendo cha Nabii Tito kumgusa Muhammad ameyakanyaga.
Subirini siku chache tu mtaona majibu.
View attachment 3078826
Aliyeleta hii post hakika yeye ndio hamnazoHapa mbona mimi sijaona tatizo. Kasema yesu ni Mgogo na Mtume Mohamad ni Mrangi. Unatakiwa kumpinga kwa hoja kwa Yesu asiwe mgogo na Mtume asiwe Mrangi maana mimi na wewe hamna aliyekuwepo ku=indi cha Mitume hao wa Mungu. Inawezekana hao mitume ni Waafrika kwa asili.
we demi, haujui?Eti coca ya kweli haya? @ cocastic
Mdhamini wa lunyasiMhamed ndio nani?
Dear huenda ni kweli, Yeye si ndo ananifahamu bhanaa.Eti coca ya kweli haya? @ cocastic
😅😅😅😅Dear huenda ni kweli, Yeye si ndo ananifahamu bhanaa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Haiwezekani mtoto mzuri kama wewe ufananishwe ovyo ovyoSio anafanana!! Ndo mie mwenyewee!!
Inamana uarabu ndio dili wengine wanamind kumuita muhamadi mrangi NACHOSHUKURU NAKUFURAHIBNI KUWA WA IRAN WENGI WANAHAMIA UKRISTO THANKS YEHOVAKwa hiyo kumuita mrangi ndio kosa?
Kwahiyo unataka kusema huyo nabii wa mchongo yeye ndo alikuwepo Kipindi cha mitume?Hapa mbona mimi sijaona tatizo. Kasema yesu ni Mgogo na Mtume Mohamad ni Mrangi. Unatakiwa kumpinga kwa hoja kwa Yesu asiwe mgogo na Mtume asiwe Mrangi maana mimi na wewe hamna aliyekuwepo ku=indi cha Mitume hao wa Mungu. Inawezekana hao mitume ni Waafrika kwa asili.
Wee dada em semaa kwelii? Fanyaa tufahamianee.[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Halafu ujue nina hamu kweli ya kukufahamu, tufanyeje sasa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee em sema kweliii?!! WoiiiiiihHaiwezekani mtoto mzuri kama wewe ufananishwe ovyo ovyo
Kwani uislam hausamehi mataahira?Hii nchi chezea vyote usimguse kiongozi Mwandamizi yeyote. Nabii Tito alilitambua hili ndio maana huwa hajawahi kuwapinga. Mara nyingi huwasifia.
Pili usiguse watu watu wa Dini ya Kiislamu. Waislamu wana msimamo na hawayumbishwi kirahisi.
Kitendo cha Nabii Tito kumgusa Muhammad ameyakanyaga.
Subirini siku chache tu mtaona majibu.
View attachment 3078826
Halafu asilimia 90 ya warangi ni wafuasi wa mudi halafu wanachukia mudi kuitwa mrangiInamana uarabu ndio dili wengine wanamind kumuita muhamadi mrangi NACHOSHUKURU NAKUFURAHIBNI KUWA WA IRAN WENGI WANAHAMIA UKRISTO THANKS YEHOVA
sina udugu wala uhusiano binafsi wa kidini na mtu awaye yeyote ispokua utaifa pekee 🐒Lucas Mwashambwa na nduguye Tlaatlaah 🤣