Nabii Tito kagusa kusikogusika, soon watamshughulia.

Na Tito kujiita Mungu then kutaja Mtume wenu kazaliwa location ya uongo na kumpa ukoo wa uongo sio kosa?
TIto siyo muislam yeye kujiita mungu huwenda imani yake inamuaminisha hivyo ila katika uislam yeye anaendelea kuhesabika yuko kwa waliokufuru, wapo watu waliojiita mungu wengi sana kina firaun, kina A'ad kina Thamud lakini kwenye quran manabii walielekezwa kuwaendea watu wale na kuwapa elimu kwa busara.

Kwahiyo kwa Tito yeye anachopaswa kufanyiwa na waislam ni kuelezwa kuwa kujiita mungu ni kukufuru, kujifananisha na mwanamke ni kukufuru.
Hayo ndo anatakiwa aelezwe na waislam wala hakuna atakae mdhuru maana hana kosa.
 
🤣🤣 Crazy Man 😧
 
Jamani maostaadh msameheni bure mana kwa nongwa hamjambo hana akili huyo utasikia sasa hivi wanakusanyana wamsomee madua dua makurjuani maalbadir
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…