Mtoto wa Shule
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 15,133
- 11,914
Hoja ya kipumbavu kabisa. Unafikiri JPM alikufa kwasababu mlitaka au muda wake ulifika? Hizo hoja za kipumbavu wapelekee wazazi wako uwaambie wanapokuwa kitandani!!Kama tulizika jiwe, basi kaa ukijua na maushungi soon anazikwa
Ni kweli muda wake ulifika na ndiyo maana nabii huyu akatabiri kifo chake. Sasa nabii huyu huyu ametabiri kifo cha maushungi. Huelewi nini hapo?Hoja ya kipumbavu kabisa. Unafikiri JPM alikufa kwasababu mlitaka au muda wake ulifika?
Mashekhe wa uamsho wameachiwaje?Ataachiwaje sasa wakati analo shauri la kujibu??
Manabii walikuwapo wakati wa Agano la kale kabla ya Yesu Kristu. Hawa akina Mwamposa ni wajasiriamali wa Biblia tuNi mjasiriamali, siyo nabii??
Hataree,kuna mwingine huku katuzuia kufumania,hakika huu ni utawala batili.... CCM wanakosea sana! Ona sasa wanamwingiza chaka Mama kipenzi cha wananchi!
Katika mambo ambayo Rais ameshauriwa vibayaNabii wa ishara Tanzania ametoa unabii na maono ya kiroho kwamba utawala wa SSH utapata laana na chuki isiyomithilika kama utaendelea kumshikilia Mbowe.
Akaongeza kwa kusema hata kifo cha waziri wa ulinzi kiroho kina maana mbaya sana kwa taifa, kinamaanisha Mungu amekasirika na kuamua kuondoa ulinzi.
Amemuonya rais SSH kujitafakari na kulinusuru taifa kwa kumuachilia Mbowe haraka iwezekanavyo.
Msikilize hapa:
View attachment 1883764
Na huyu nabii siyo wa mchezo mchezo alishawahi kutoa utabiri wake ukatimia Nabii wa Ishara Tanzania: CCM wataomboleza, Zanzibar kuna mgogoro na kifo cha mtu mkubwa 2021
EBWANA USIKIE, EBWANA USAMEHE, TAZAMA BWANA NCHI YAKO NA WATU WAKO TUSIO NA HATIA TUNAITWA KWA JINA LAKO. utusamehe kwa maovu yetu umwokoe Mbowe na Wenzake, Ukuu wako ukaonekane dhidi ya maadui zetu. Bwana wa Israel Mungu wa Yakobo ukawatendee sawa sawa na mapenzi yako.Nabii wa ishara Tanzania ametoa unabii na maono ya kiroho kwamba utawala wa SSH utapata laana na chuki isiyomithilika kama utaendelea kumshikilia Mbowe.
Akaongeza kwa kusema hata kifo cha waziri wa ulinzi kiroho kina maana mbaya sana kwa taifa, kinamaanisha Mungu amekasirika na kuamua kuondoa ulinzi.
Amemuonya rais SSH kujitafakari na kulinusuru taifa kwa kumuachilia Mbowe haraka iwezekanavyo.
Msikilize hapa:
View attachment 1883764
Na huyu nabii siyo wa mchezo mchezo alishawahi kutoa utabiri wake ukatimia Nabii wa Ishara Tanzania: CCM wataomboleza, Zanzibar kuna mgogoro na kifo cha mtu mkubwa 2021
Mungu mwenye Rehema na Ghadhabu Atende sawa sawa na mapenzi yake. Uovu usishinde mbele ua Nguvu zake na Mkono wake wenye nguvu.Laana iwashukie wale walionyuma ya mateso ya Mbowe........
Pia laana imshukie Mbowe kama ametenda ambayo anashukiwa kuwa ametenda maana moyo wa mtu ni kiza kinene........
Wew ni mpumbavu hakuna kifo Cha kizembe Kifo ni Kifo tu kwani wew huko Moshi watu hawafiJiwe aliambiwa na huyu mwamba,akapuuza akafa kizembe
tukana sana Covid akiwa Chattle, chanja mbuga hadi Dodoma akifanya mikutano bila tahadhari, pita mpaka Morogoro akitukana Covid. Kisha Dar es Salaam akiwaambia watu eti barakoa inafanana na titi la mwanamke lililokatwa. Baadae kidogo kimya. Watu wakaanza kumuuliza yuko wapi huyo jamaa. Tundu Lissu akautangazia umma. Kufumba na kufumbua tukafunga maturubai. Marehemu alikuwa anaona Covid kama Simba na Yanga hiviWew ni mpumbavu hakuna kifo Cha kizembe Kifo ni Kifo tu kwani wew huko Moshi watu hawafi
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Hata nabii Yeremia alivyopelekwa mbele ya mfalme, alitoa unabii alioagizwa na Mungu ambao haukumfurahisha mfalme na watu wote, pamoja na kwamba alikuwa kwenye hatari ya kuuawa lakini haikufanya yeye kutoa mapambio kama baadhi ya viongozi wa dini tunaowajua leo hii...Hivi hawa watabiri hua hawana uwezo wa kutabiri mambo mazuri? Kila mtabiri hutabiri mambo mabaya!!
Sasa hivi atakuja mwingine na kujiita nabii na atasema "Simba itaanguka coz Mungu amekasirika kwa Mo kumtimua Manara"
Mtu kujiita Nabii imekua jambo jepesi sana siku hizi.
🤣🤣🤣🤣
Halafu babaako na mamaako wataishi milele sio? Basi sawa. Wake hi!!!!Kama tulizika jiwe, basi kaa ukijua na maushungi soon anazikwa
ewalaaaaaaaaHuyu ndio aliotabiri jiwe kupasuka ?
Huyu alitabiri jiwe kufa a month before. Usifanye masihara.Hivi hawa watabiri hua hawana uwezo wa kutabiri mambo mazuri? Kila mtabiri hutabiri mambo mabaya!!
Sasa hivi atakuja mwingine na kujiita nabii na atasema "Simba itaanguka coz Mungu amekasirika kwa Mo kumtimua Manara"
Mtu kujiita Nabii imekua jambo jepesi sana siku hizi.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Huyo ndo alitabiri kifo cha mungu wenu wa chato usijisahaulishe.Huyo nabii kwanza angeweka wazi utakatifu wa Mbowe ni upi,kama kweli mtu mlevi,mzinifu mwizi wa fedha za taasisi anapendeza mbele za macho ya Bwana.
"mene mene,....... Mungu amelipa kisogo taifa! Hiyo ndio tafasiri ya tukio lile! Wakaendelea kushupaza shingo, ameondoka waziri wa ulinzi! Hayo ni maandishi ukutani bro; ayaonaye mambo haya na afahamu!
Mwambie akutabirie na wewe au ajitabirie yeye mwenyewe halafu njoo hapa utuhabatishe hapa.Huyu alitabiri jiwe kufa a month before. Usifanye masihara.
.Nabii wa ishara Tanzania ametoa unabii na maono ya kiroho kwamba utawala wa SSH utapata laana na chuki isiyomithilika kama utaendelea kumshikilia Mbowe.
Akaongeza kwa kusema hata kifo cha waziri wa ulinzi kiroho kina maana mbaya sana kwa taifa, kinamaanisha Mungu amekasirika na kuamua kuondoa ulinzi.
Amemuonya rais SSH kujitafakari na kulinusuru taifa kwa kumuachilia Mbowe haraka iwezekanavyo.
Msikilize hapa:
View attachment 1883764
Na huyu nabii siyo wa mchezo mchezo alishawahi kutoa utabiri wake ukatimia Nabii wa Ishara Tanzania: CCM wataomboleza, Zanzibar kuna mgogoro na kifo cha mtu mkubwa 2021
Yakitimia msitulazimishe kuomboleza na nyie.Mtaongea mengi saana mwaka huu