Kwahiyo wanalumumba ndo wataisoma namba peke yao wewe hautahusika sioToka awamu ya 5 imekalia kiti na maisha kuwa magumu, watabiri wengi sana wamejitokeza na kunena kwa lugha zote. Lakini hadi muda huu nachapisha namba za kila rangi tumezisoma. Vyovyote itakavyokuwa watu tumeteseka hadi tumezoea mateso...
Anatabiri mawazo yake ya kichadema hakuna nabii hapoMhh, huyu ni mrengo gani wa kisiasa mbona utabiri wake umeegemea upande mmoja?
Jiwe je??Ndungai afya yake inafahamika
Watu wasitafute umaarufu wa bure