ChaiLeo katabiri tena kazi IENDELEE
Maushungi ishakula kwakeLeo katabiri tena kazi IENDELEE
Yametimia au?Mhhh!!
Bado ni madogoli?Tuache madogoli.
Tufanye kazi!
Mitano bado mkuu?Toka awamu ya 5 imekalia kiti na maisha kuwa magumu, watabiri wengi sana wamejitokeza na kunena kwa lugha zote. Lakini hadi muda huu nachapisha namba za kila rangi tumezisoma. Vyovyote itakavyokuwa watu tumeteseka hadi tumezoea mateso.
Nasemaje, Mitano tena na iwe milele na milele hadi wanalumumba akili ziwarejee ndiyo ukombozi wa kweli utakuja.
Nasema uongo ndugu zangu?
Naona amevuka salamaHuyo nabii kama ana kanisa basi ajiandae kupigiwa mahesabu kama yale ya Kakobe
Tupe mrejeshoMuda utathibitisha!
Leta linkNabii atoa neno tena, samia ajiangalie.
Mkeka umetikiLeo katabiri tena kazi IENDELEE
Ya kichadema au vp 😂😂😂 na ikawaje sasa huo mwaka 2021?Anatabiri mawazo yake ya kichadema hakuna nabii hapo
kazi ya nabii wa agano jipya ni tofauti na manabii wa agano la kale wa agano jipya kazi yake ni kufariji na kujenga mwili wa Kristo
karama ya nabii ya agano jipya inajikita kwenye upendo sio hukumu sababu agano jipya linatamka wazi Mungu hafurahii kifo cha mwenyr dhambi
ukiona nabiii anatamka kuwa mtu fulani atakufa huyo ana mapepo sababu kazi ya shetani agano jipya ni kuua na kuharibu na kutabiri mabaya kwa nchi au kwa jamiii
huyo nabii ni nabii wa shetani baba wa kuwa na kuharibu a kutabiri mabaya
watoa pepo nendeni mkamtoe mapepo huyo nabii wa shetani