kidunula1
JF-Expert Member
- Apr 2, 2016
- 6,305
- 6,351
Unahitaji namba yake?Hawa manabii wangetusaidia kwenye kubet wangefanya la maana sana
Acha undezi weweKanisa lake liko wapi? Huyo ni nabii wa kweli nataka nianze kusali kwake
Tanga kunani paleeKanisa lake liko wapi? Huyo ni nabii wa kweli nataka nianze kusali kwake
Naomba unipelekea kama hutojaliTanga kunani palee
Aya nakuachia wewe sasa huo undezi
Nakupa namba tuu mnamalizanaNaomba unipelekea kama hutojali
Njoo usome comment yako tena
Huyu Mjomba, ni mfanya biashara mkubwa sana au niseme ni fund raiser mkubwa wa kimataifa. Yaani huyu brother anasema anajuwa hadi ratiba za kazi za Mungu na ratiba za kazi za mashetani. Yaani bado wati wana mwamini huyu, kweli watu wamelala fofofo. Halafu wewe tizama tu, ukiona mwalimu mmoja anasema mwalimu mwengine muongo na hajui kitu, ujue hapo kuna njama za ulaji tu.Tizama mwenywe dakika ya 32 - 37 na 47- 49:30 ama kama unaweza tazama yote.
Huyu mwamba Ni Nostradamus wa Tanzania,apewe tuzo yake Kama the man who saw tomorrow.Huyu Mjomba, ni mfanya biashara mkubwa sana au niseme ni fund raiser mkubwa wa kimataifa. Yaani huyu brother anasema anajuwa hadi ratiba za kazi za Mungu na ratiba za kazi za mashetani. Yaanibado wati wanamwamini huyu, kweli watu wamelala fofofo.
"For false messiahs and false prophets will appear and perform great signs and wonders to deceive, if possible, even the elect." Matthew 24:24
ahsante
MkuuHuyu mwamba Ni Nostradamus wa Tanzania,apewe tuzo yake Kama the man who saw tomorrow.
Mkuu mimi ni mtoa mapepo maarufu sana kule Lushoto Tanga! Muda huu niko njiani kwenda kumtoa mapepo huyu Nabii wa shetani! 😇Anatabiri mawazo yake ya kichadema hakuna nabii hapo
kazi ya nabii wa agano jipya ni tofauti na manabii wa agano la kale wa agano jipya kazi yake ni kufariji na kujenga mwili wa Kristo
karama ya nabii ya agano jipya inajikita kwenye upendo sio hukumu sababu agano jipya linatamka wazi Mungu hafurahii kifo cha mwenyr dhambi
ukiona nabiii anatamka kuwa mtu fulani atakufa huyo ana mapepo sababu kazi ya shetani agano jipya ni kuua na kuharibu na kutabiri mabaya kwa nchi au kwa jamiii
huyo nabii ni nabii wa shetani baba wa kuwa na kuharibu a kutabiri mabaya
watoa pepo nendeni mkamtoe mapepo huyo nabii wa shetani
Tizama mwenywe dakika ya 32 - 37 na 47- 49:30 ama kama unaweza tazama yote.
Katabiri mengi yatakayojiri 2021, lkn mm nimechukua ya kisiasa tu.
1. Wakuu wa mihimili 3 mmojawapo atapata shida kubwa ya kiafya na kupelekea ku-rest in peace.
2. Mmojawapo wa viongozi wakubwa wa ccm ataingia kwenye mgogoro wa kiafya. Na kwa mujibu wa nabii anawaona ccm wakiomboleza (maana yake ata-rest in peace.
3. Anaona ajali mbaya Zanzibar itakayohusisha mtu/kundi la watu itakayogharimu maisha ya kiongozi mkubwa.
4 . Anaona mgogoro mzito utakaosababisha mgawanyiko mkubwa Zanzibar.
5. Anaona kiongozi mkubwa wa chama (yaweza kuwa toka upinzani ama tawala) akipewa majukumu makubwa ya kimataifa.
Ni hayo tu niliyoweza kuyanyaka.
https://uc.xyz/MovvM?pub=link Share File
Tuache madogoli.
Tufanye kazi!
Nakupata mkuu ila kwa Tanzania huyu amefaa kupewa tuzo.Mkuu
haya sitaki nionekane kama ninakupinga fikra zako lakini nilikisoma kitabu cha " The prophesies of Nostradamus" sijui kama huyu mjomba wetu anamkaribia hata 10% huyo mfaransa aliyetabiri hadi siku ya kufa yeye mwenyewe, siku ambayo kaburi lake litafukuliwa, alisema atakayekunywa wine katika bufuru la kichwa chake atakufa kwa risasi, na ilitokea hivo hivo. Jamaa walifanya challenge, walitaka kujuwa kama kweli atakayekunywa ulevi katika bufuru la kichwa cha mtabiri huyo atauwawa kwa risasi. bahati mbaya siku ile kukawa na french revolution, yule alokuwa akinywa wine katika bifuru alipigwa risasi by mistake of course.
ahsnate
Mpaka sahivi ni mangapi yametokea na mangapi bado hayajatokea kutokana na maelezo yake