Mh!!Hakuna kiongozi atakaekufa bana
DuhTugawane majukumu, wewe mwombee apone na sisi kamati ya roho mbaya tuache tuendelee kupiga magoti ya kumdedisha
Bila shaka ni tayari!Muda utathibitisha!
Ndungai afya yake inafahamika
Watu wasitafute umaarufu wa bure
Jiwe je??
Muda umetupa majibu sahihi kabisaHiki watu wanatamani Tu
Sidhani kama afya mbovu kihivvyo
Sawa mkuu, hiyo sauti inatosha kabisaKuna mwingine aliota kuwa JPM ni raisi wa awamu moja,mwingine aliuambia umma kuwaJPM hatuko naye tena lakini naona yupo anadunda tu, acheni ramli chonganishi
Usala wenyewe hawa ambao wanaambiwa watangaze wakawa wanajishauri mpaka wakapewa masaa tena vidume vitatu tu ndo viliendaUko sahihi kabisa. Ninaomba watu wa Usalama wapite mtaani na ninajua wako humu JF wapewe assignment wakusanye yanayosemwa ili wasaidie kuweka nchi sawa.
Kifo cha huyu mwamba kimeibua sura tofauti kabisa sikutegemea. Kuna vidonda vibichi na majeraha mengi mno kiasi kwamba imefunika hata kile kizuri alichofanya. Yaani sijui familia yake inajisikiaje ikisoma haya mambo.
Mkuu siyo jambo dogo aisee. Ilihitaji ukomavu. Sema nao walichelewa mno kumtangaza mpaka Habari zikasambaa huko mitandaoni bado tu hawakutaka. Siyo vizuri kabisa.Usala wenyewe hawa ambao wanaambiwa watangaze wakawa wanajishauri mpaka wakapewa masaa tena vidume vitatu tu ndo vilienda
Sent from my TECNO-W3 using JamiiForums mobile app
Mkuu uliandika kila kitu wakati huo sisi tunalishwa matango msituni na MajaliwaHata ukinidharau Mimi huwezi kumfanya Meko apumue bila mitungi ya Oxygen. Hii ni zamu yetu Watanzania tupate Uhuru wa pili.
Kumbuka huyu kaiba uchaguzi wa 2020, halafu wapambe wake akina Deo Sanga na Ndugai wanataka wabaslishe Katiba ili awe Rais wa maisha. Mungu amesema MSINIPANGIE.
Jiandae tu kwenye timu ya kuchimba kaburi nawe uwepo upate posho za mwisho mwisho
Mungu ibariki Jf
DuhYametimia. Kuna uzi niliwah kuuona wa jamaa anaitwa MAGAMBA MATATU (kama sikosei) upo humu JF ulitabiri nyendo za Rais atakayeingia madarakani 2015.
Ule uzi ulitolewa 2013 mwenye kuujua aweke link
Kabisa mkuu. Muda huwa unatoa hitimisho.Muda umetupa majibu sahihi kabisa
Mkuu naomba unitumie link ya hii kitu pm.
... ni unabii wa 2021 to Dec. 31 leo ni March 21 (Equinox). Mwaka huu bado sana; ndio kwanza hata 25% haijaisha. Vuta subira ila la muhimu zaidi ni kwa watu wa Mungu kumlilia Mungu hayo yasitokee!Hii ajali ya Zanzibar ndo kile kifo cha maalim seif?
Tizama mwenywe dakika ya 32 - 37 na 47- 49:30 ama kama unaweza tazama yote.
Katabiri mengi yatakayojiri 2021, lkn mm nimechukua ya kisiasa tu.
1. Wakuu wa mihimili 3 mmojawapo atapata shida kubwa ya kiafya na kupelekea ku-rest in peace.
2. Mmojawapo wa viongozi wakubwa wa ccm ataingia kwenye mgogoro wa kiafya. Na kwa mujibu wa nabii anawaona ccm wakiomboleza (maana yake ata-rest in peace.
3. Anaona ajali mbaya Zanzibar itakayohusisha mtu/kundi la watu itakayogharimu maisha ya kiongozi mkubwa.
4 . Anaona mgogoro mzito utakaosababisha mgawanyiko mkubwa Zanzibar.
5. Anaona kiongozi mkubwa wa chama (yaweza kuwa toka upinzani ama tawala) akipewa majukumu makubwa ya kimataifa.
Ni hayo tu niliyoweza kuyanyaka.
https://uc.xyz/MovvM?pub=link Share File
Wacha tu yatokee dhuluma ya haki imetamalaki... ni unabii wa 2021 to Dec. 31 leo ni March 21 (Equinox). Mwaka huu bado sana; ndio kwanza hata 25% haijaisha. Vuta subira ila la muhimu zaidi ni kwa watu wa Mungu kumlilia Mungu hayo yasitokee!
I see!
Tizama mwenywe dakika ya 32 - 37 na 47- 49:30 ama kama unaweza tazama yote.
Katabiri mengi yatakayojiri 2021, lkn mm nimechukua ya kisiasa tu.
1. Wakuu wa mihimili 3 mmojawapo atapata shida kubwa ya kiafya na kupelekea ku-rest in peace.
2. Mmojawapo wa viongozi wakubwa wa ccm ataingia kwenye mgogoro wa kiafya. Na kwa mujibu wa nabii anawaona ccm wakiomboleza (maana yake ata-rest in peace.
3. Anaona ajali mbaya Zanzibar itakayohusisha mtu/kundi la watu itakayogharimu maisha ya kiongozi mkubwa.
4 . Anaona mgogoro mzito utakaosababisha mgawanyiko mkubwa Zanzibar.
5. Anaona kiongozi mkubwa wa chama (yaweza kuwa toka upinzani ama tawala) akipewa majukumu makubwa ya kimataifa.
Ni hayo tu niliyoweza kuyanyaka.
https://uc.xyz/MovvM?pub=link Share File
Mazinge bhana !