Nabii wa Ishara Tanzania: CCM wataomboleza, Zanzibar kuna mgogoro na kifo cha mtu mkubwa 2021

Nabii wa Ishara Tanzania: CCM wataomboleza, Zanzibar kuna mgogoro na kifo cha mtu mkubwa 2021

Limetimia moja:

Kifo cha mtu mmoja Mkubwa Tanzania mwaka huu 2021..

SASA;

Tunasubiri mgogoro mmoja Mkubwa huko Zanzibar..

Kwangu mimi, mgogoro ninaouona ni kwa upande wa Tanganyika...

Kwamba, Watanganyika watakubali kuongozwa na Mzanzibari..??

YAANI IWE HIVI:

Tanganyika iwe koloni la Zanzibar...

Kule Zanzibar, Rais ni Mzanzibari...!!

Tanganyika, Rais Mzanzibari...!!

Ukiachilia mbali taratibu za kikatiba, ukija kwenye uhalisi kamili...hii haipo na haikubaliki...!!
Kwani kuna raisi wa Tanganyika ukiachana na Nyerere ??
 
Huyo nabii ndiyo inabidi achunge domo lake. Hatuwezi kuendelea kusikiliza majitu majizi ya sadaka za watu tu Kanisani. Nabii kawaida akishaona kitu kama hicho, inabidi asimame kuzuia kisitokee, na akishindwa kuzuia na kikatokea, huyo siyo nabii wa Mungu, linakuwa ni jitu fulani tu jizi la sadaka za waumini kanisani.

Mwambieni kuwa mimi nimesema hivyo, halafu tuone kama ataendelea kuwa nabii. Mjulishe kuwa kuna mlokole fulani jamiiforums, amesema kuwa wewe siyo nabii ila jizi tu la sadaka za waumini kanisani, Mjulishe haraka sana!
Daaah! Maisha yanakwenda kasi sana
 
Kwani kuna raisi wa Tanganyika ukiachana na Nyerere ??

Huu ndio mgogoro unaokuja...

Ndicho ninachokisema...

Ktk historia ya nchi hii, ni Mwinyi peke yake Mzanzibari aliyetawala Tanganyika kwa amani wakati Hayati Mwl. Julius K. Nyerere akiwa hai...

Since then, hakuna Mzanzibari aliyetawala Tanganyika..

Huyu mama ataweza?
 
Limetimia moja:

Kifo cha mtu mmoja Mkubwa Tanzania mwaka huu 2021..

SASA;

Tunasubiri mgogoro mmoja Mkubwa huko Zanzibar..

Kwangu mimi, mgogoro ninaouona ni kwa upande wa Tanganyika...

Kwamba, Watanganyika watakubali kuongozwa na Mzanzibari..??

YAANI IWE HIVI:

Tanganyika iwe koloni la Zanzibar...

Kule Zanzibar, Rais ni Mzanzibari...!!

Tanganyika, Rais Mzanzibari...!!

Ukiachilia mbali taratibu za kikatiba, ukija kwenye uhalisi kamili...hii haipo na haikubaliki...!!
wewe unatakaje yaani
 
kazi ya nabii wa agano la kale na nabii wa agano jipya ziko tofauti kama mbingu na ardhi ukiona mtu anatoa matamko ya kiagano la manabii la kiagano la kale kama huyu nabii koko mwana wa Ibilisi anayetakiwa kukemrwa na kila mtoa mapepo pepo wamtoke kwa jina la Yesu
Habari yako kijana

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
 
Toka awamu ya 5 imekalia kiti na maisha kuwa magumu, watabiri wengi sana wamejitokeza na kunena kwa lugha zote. Lakini hadi muda huu nachapisha namba za kila rangi tumezisoma. Vyovyote itakavyokuwa watu tumeteseka hadi tumezoea mateso.

Nasemaje, Mitano tena na iwe milele na milele hadi wanalumumba akili ziwarejee ndiyo ukombozi wa kweli utakuja.

Nasema uongo ndugu zangu?
Mitano imeisha hio
 
Hata ukinidharau Mimi huwezi kumfanya Meko apumue bila mitungi ya Oxygen. Hii ni zamu yetu Watanzania tupate Uhuru wa pili.

Kumbuka huyu kaiba uchaguzi wa 2020, halafu wapambe wake akina Deo Sanga na Ndugai wanataka wabaslishe Katiba ili awe Rais wa maisha. Mungu amesema MSINIPANGIE.

Jiandae tu kwenye timu ya kuchimba kaburi nawe uwepo upate posho za mwisho mwisho
Dah [emoji16] [emoji16]

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
 
Nataka Mtanganyika aongoze Tanganyika na si Tanganyika kuongozwa na Mzanzibari...!!

Hata kama Magufuli atafufuka tena so long as ni Mtanganyika, it's very OK for me...
Bora kuongozwa na wazanzibar Wana busara.We unaona wazee wetu wa pwani afya tele hawana makuu na mtu mzee ruksa na jk hawana kwere na mtu,hii tza ukija moto unarudi baridi
 
Back
Top Bottom