Nabii wa Ishara Tanzania: CCM wataomboleza, Zanzibar kuna mgogoro na kifo cha mtu mkubwa 2021

Nabii wa Ishara Tanzania: CCM wataomboleza, Zanzibar kuna mgogoro na kifo cha mtu mkubwa 2021

Toka awamu ya 5 imekalia kiti na maisha kuwa magumu, watabiri wengi sana wamejitokeza na kunena kwa lugha zote. Lakini hadi muda huu nachapisha namba za kila rangi tumezisoma. Vyovyote itakavyokuwa watu tumeteseka hadi tumezoea mateso.

Nasemaje, Mitano tena na iwe milele na milele hadi wanalumumba akili ziwarejee ndiyo ukombozi wa kweli utakuja.

Nasema uongo ndugu zangu?
Bado upooo?
 
Manabii walikuwepo zamani hawa wa sikuhizi ni wachumia tumbo. Wamefanya huduma hii kukosa heshima ktk kanisa na kwa kweli wanamdhalilisha Kristo!

1. Maunabii ya 2015 wakati wa Uchaguzi yote yalikuwa null and void
2. Maunabii ya Uchaguzi 2020 yote yamekuwa null and void
3. Maunabii ya Lema yamegoma kutimia akakimbia nchi!
Ongezea mwenyewe.....

Mungu anatuwazia mawazo mema tena ya Amani! Kutupa tumaini siku zetu za mbeleni!
Yeremia 29:11

Mungu huyabatilisha mashauri ya wwnadamu, huyatangua makusudi ya watu, shauri la Bwana lasimama milele! Makusudi yake vizazi na vizazi!
Zaburi 33:10-11

Queen Esther
tafuta clip ya lema akiwa Sombetini kabla hajakamatwa na kuswekwa lupango kwa miezi kadhaa ule unabii wala hauhitaji PhD unajieleza wazi na yametokea
 
Unataka wewe ni Katiba? Mkiambiwa habari ya katiba mpya mnaficha vichwa mchangani kama mbuni halafu sasa hivi nye nye nye
Nataka Mtanganyika aongoze Tanganyika na si Tanganyika kuongozwa na Mzanzibari...!!

Hata kama Magufuli atafufuka tena so long as ni Mtanganyika, it's very OK for me...
 


Tizama mwenywe dakika ya 32 - 37 na 47- 49:30 ama kama unaweza tazama yote.

Katabiri mengi yatakayojiri 2021, lkn mm nimechukua ya kisiasa tu.
1. Wakuu wa mihimili 3 mmojawapo atapata shida kubwa ya kiafya na kupelekea ku-rest in peace.

2. Mmojawapo wa viongozi wakubwa wa ccm ataingia kwenye mgogoro wa kiafya. Na kwa mujibu wa nabii anawaona ccm wakiomboleza (maana yake ata-rest in peace.

3. Anaona ajali mbaya Zanzibar itakayohusisha mtu/kundi la watu itakayogharimu maisha ya kiongozi mkubwa.

4 . Anaona mgogoro mzito utakaosababisha mgawanyiko mkubwa Zanzibar.

5. Anaona kiongozi mkubwa wa chama (yaweza kuwa toka upinzani ama tawala) akipewa majukumu makubwa ya kimataifa.

Ni hayo tu niliyoweza kuyanyaka.
https://uc.xyz/MovvM?pub=link Share File

Hakika mojawapo limetimia.

Ahimidiwe Mungu wa mbingu na ardhi.
 
kazi ya nabii wa agano la kale na nabii wa agano jipya ziko tofauti kama mbingu na ardhi ukiona mtu anatoa matamko ya kiagano la manabii la kiagano la kale kama huyu nabii koko mwana wa Ibilisi anayetakiwa kukemrwa na kila mtoa mapepo pepo wamtoke kwa jina la Yesu
Rejea unabii wa nabii uliyemwita 'nabii koko'.

Hakiki muda ni mwalimu.
 
4/5[emoji3581]

Huu mgogoro mkubwa 'Zenji' sjui utatokana na nini hasa..! Siupatii picha kabisa...kule ni kama mambo shwari na Rais ni mnyenyekevu sana!
 
4/5[emoji3581]

Huu mgogoro mkubwa 'Zenji' sjui utatokana na nini hasa..! Siupatii picha kabisa...kule ni kama mambo shwari na Rais ni mnyenyekevu sana!
Nahisi mpaka wa kimataifa wa bahari ya hindi wa kenya unaweza ku claim visiwa vya Zanzibar ni vyake. Ngoja tuone. Governer wa MOMBASA juzi alikuwa Zenji.

Mnyatu mnyatu tunafatila mubashara
 
Hata ukinidharau Mimi huwezi kumfanya Meko apumue bila mitungi ya Oxygen. Hii ni zamu yetu Watanzania tupate Uhuru wa pili.

Kumbuka huyu kaiba uchaguzi wa 2020, halafu wapambe wake akina Deo Sanga na Ndugai wanataka wabaslishe Katiba ili awe Rais wa maisha. Mungu amesema MSINIPANGIE.

Jiandae tu kwenye timu ya kuchimba kaburi nawe uwepo upate posho za mwisho mwisho
Yaani hii coment leo ni imetimia.
 
Back
Top Bottom