Nabii wa Ishara Tanzania: CCM wataomboleza, Zanzibar kuna mgogoro na kifo cha mtu mkubwa 2021

Nabii wa Ishara Tanzania: CCM wataomboleza, Zanzibar kuna mgogoro na kifo cha mtu mkubwa 2021

N
Mkuu sina furaha kwa kuondokewa na rais wetu ila inatukumbusha kwamba dunia ni mapito,tutende wema! Usimanyanyase mtu kisa una cheo,elimu,fedha,afya njema,muonekano mzuri etc.

-Fikiria wewe labda ni mmoja waliotumbuliwa na vyeti feki unaleo familia,una wazazi wanakutegemea,hivi unafikiri JK alikuwa hajui kwamba kuna wafanyakazi wana vyeti feki? Alijua na aliwaambia wasome wajiendeleze taratibu taratibu.

-Pata picha wewe ni mzazi wa ben saanane,mwanao napotea kisa kuhoji tu elimu ya mtu fulani.

"UBAYA UBAYA TU" - JPM
Ndiyo maana kuna jamaa wanafanya sharehe.
 
Japani tuache unafiki, tuishi vizuri katika kutumikia kile Mungu amekupa ukitumikie.
Sijawahi sikia watu wakitamani kiongozi wao afe kisa matendo ya kiongozi wao. Leo amekufa watu wanashangilia. Hili ni somo zuri sana kwa kiongozi ajaye. Asije akashupaza shingo
Uko sahihi kabisa. Ninaomba watu wa Usalama wapite mtaani na ninajua wako humu JF wapewe assignment wakusanye yanayosemwa ili wasaidie kuweka nchi sawa.

Kifo cha huyu mwamba kimeibua sura tofauti kabisa sikutegemea. Kuna vidonda vibichi na majeraha mengi mno kiasi kwamba imefunika hata kile kizuri alichofanya. Yaani sijui familia yake inajisikiaje ikisoma haya mambo.
 
Hii comment yako naona imegeuka
Kitu pekee ninachojiuliza kwa sasa ni kwa namna gani nabii huyu ameweza kuwa na precision ya namna hiyo wakati huko nyuma hana rekodi ya kuwahi kutoa unabii wa aina yoyote ile. Wewe hujajiuliza hilo?
 
Nahisi mpaka wa kimataifa wa bahari ya hindi wa kenya unaweza ku claim visiwa vya Zanzibar ni vyake. Ngoja tuone. Governer wa MOMBASA juzi alikuwa Zenji.

Mnyatu mnyatu tunafatila mubashara
Zanzibar ilikuwa ni nchi huru, nchi kamili si sehemu ya nchi, ina mipaka yake yenyewe na wenyewe waliamua kuungana na Tanganyika kuunda Tanzania kwahiyo Kenya hata iwe karibu vipi na Zanziba hakiwezi kuclaim Zanziba kuwa sehemu yake.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Huu ndio mgogoro unaokuja...

Ndicho ninachokisema...

Ktk historia ya nchi hii, ni Mwinyi peke yake Mzanzibari aliyetawala Tanganyika kwa amani wakati Hayati Mwl. Julius K. Nyerere akiwa hai...

Since then, hakuna Mzanzibari aliyetawala Tanganyika..

Huyu mama ataweza?
Ki Logic, inatakiwa kuanzia sasa Zanzibar ineemeke kweli kweli.
 
Kitu pekee ninachojiuliza kwa sasa ni kwa namna gani nabii huyu ameweza kuwa na precision ya namna hiyo wakati huko nyuma hana rekodi ya kuwahi kutoa unabii wa aina yoyote ile. Wewe hujajiuliza hilo?
Hakuna haja ya kuangalia uzoefu wake au hiyo precision unayoiita. Suala ni alichotabiri kimetimia.
Hii inatukumbusha tusidharau mtu yeyote kwa muonekano au kwa kujisikia tu(hasa tusiowafahamu), matokeo ni fedheha
 
Toka awamu ya 5 imekalia kiti na maisha kuwa magumu, watabiri wengi sana wamejitokeza na kunena kwa lugha zote. Lakini hadi muda huu nachapisha namba za kila rangi tumezisoma. Vyovyote itakavyokuwa watu tumeteseka hadi tumezoea mateso.

Nasemaje, Mitano tena na iwe milele na milele hadi wanalumumba akili ziwarejee ndiyo ukombozi wa kweli utakuja.

Nasema uongo ndugu zangu?
Vipi blaza bado unasimamia msimami wako!?
 


Tizama mwenywe dakika ya 32 - 37 na 47- 49:30 ama kama unaweza tazama yote.

Katabiri mengi yatakayojiri 2021, lkn mm nimechukua ya kisiasa tu.
1. Wakuu wa mihimili 3 mmojawapo atapata shida kubwa ya kiafya na kupelekea ku-rest in peace.

2. Mmojawapo wa viongozi wakubwa wa ccm ataingia kwenye mgogoro wa kiafya. Na kwa mujibu wa nabii anawaona ccm wakiomboleza (maana yake ata-rest in peace.

3. Anaona ajali mbaya Zanzibar itakayohusisha mtu/kundi la watu itakayogharimu maisha ya kiongozi mkubwa.

4 . Anaona mgogoro mzito utakaosababisha mgawanyiko mkubwa Zanzibar.

5. Anaona kiongozi mkubwa wa chama (yaweza kuwa toka upinzani ama tawala) akipewa majukumu makubwa ya kimataifa.

Ni hayo tu niliyoweza kuyanyaka.
https://uc.xyz/MovvM?pub=link Share File

Aisee huyu mchungaji atapata wafuasi mpaka awakimbie mwaka huu. Amejua kutoa ubashiri tunasubiri kiongozi wa upinzani kupewa majukumu makubwa ya nchi. Ila comments za humu walidhihaki sana 😄 sukumaland mkachunge mbuzi sasa kama hamuwezi kukaanmjini kwa kutulia maana huu mchezo hautaki hasira kabisa.
 
Hiki watu wanatamani Tu
Sidhani kama afya mbovu kihivvyo
Vipi bro umesikia report ya Dr Suluhu, jamaa alikuwa na ugonjwa serious sana hata sielewi waliwezaje kumpa majukumu makubwa namna hii. Anyway umebadili msimamo kuhusu afya ya huyu mtu?
 
Aisee huyu mchungaji atapata wafuasi mpaka awakimbie mwaka huu. Amejua kutoa ubashiri tunasubiri kiongozi wa upinzani kupewa majukumu makubwa ya nchi. Ila comments za humu walidhihaki sana 😄 sukumaland mkachunge mbuzi sasa kama hamuwezi kukaanmjini kwa kutulia maana huu mchezo hautaki hasira kabisa.
Ubashiri hauna tija yoyote. Haujaleta suluhisho kwa maafa aliyoyabashiri.
 
Hii ajali ya Zanzibar ndo kile kifo cha maalim seif?
 
Hakuna haja ya kuangalia uzoefu wake au hiyo precision unayoiita. Suala ni alichotabiri kimetimia.
Hii inatukumbusha tusidharau mtu yeyote kwa muonekano au kwa kujisikia tu(hasa tusiowafahamu), matokeo ni fedheha
Mantiki ya nilchoandika hapo bado hujaiona kwa usahihi uanohitajika. Rudia tena kusoma. Bado unajibu kwa kuchukulia kuwa mimi nimedharau unabii, kitu ambacho pia kinaweza kuwa ni sahihi. Still swali langu la msingi kwako hapa hapa ni je, hapo awali huyu nabii alishawahi kutoa utabiri wotote na ukatimia au hii ndiyo mara yake ya kwanza? Kama ni mara yake ya kwanza, why, only for the first time but with such a precision, tena kwa watu wengi na si mtu mmoja? Hiyo ndiyo hoja yangu ya msingi kwako
 
Back
Top Bottom