Nabii wa Ishara Tanzania: CCM wataomboleza, Zanzibar kuna mgogoro na kifo cha mtu mkubwa 2021

Nabii wa Ishara Tanzania: CCM wataomboleza, Zanzibar kuna mgogoro na kifo cha mtu mkubwa 2021

Wakati mwingine unaposikia Jambo kama huna uhakika ni bora kukaa kimya kuliko kubisha.Ona sasa unabii umetimia!
 
Mkuu dunia haipo fair hata utende mazuri 100 ukiharibu 1 yanafuta yote 99 ,ndio maana yesu alitolea mfano wa mchunga kondoo alipopotea kondoa wake m1 akawaacha wale wengine kwenda kumtafuta.

Tutende mema mkuu,ukiwa na cheo inabidi utumie busara maana maamuzi yako yataumiza watu wengi....

UBAYA UBAYA TU.
Na huwezi kutenda mema yote, lazima uanguke tu kama binadamu. Ndio maana tunatakiwa kuyaishi Yale mazuri tu tuacheni na mabaya yote aliyoishi marehemu.
 
Na huwezi kutenda mema yote, lazima uanguke tu kama binadamu. Ndio maana tunatakiwa kuyaishi Yale mazuri tu tuacheni na mabaya yote aliyoishi marehemu.

Cc: Wazazi wa Ben Saanane , Ndugu wa Rujabwe
 
Japani tuache unafiki, tuishi vizuri katika kutumikia kile Mungu amekupa ukitumikie.
Sijawahi sikia watu wakitamani kiongozi wao afe kisa matendo ya kiongozi wao. Leo amekufa watu wanashangilia. Hili ni somo zuri sana kwa kiongozi ajaye. Asije akashupaza shingo
 
Huyo nabii ndiyo inabidi achunge domo lake. Hatuwezi kuendelea kusikiliza majitu majizi ya sadaka za watu tu Kanisani. Nabii kawaida akishaona kitu kama hicho, inabidi asimame kuzuia kisitokee, na akishindwa kuzuia na kikatokea, huyo siyo nabii wa Mungu, linakuwa ni jitu fulani tu jizi la sadaka za waumini kanisani.

Mwambieni kuwa mimi nimesema hivyo, halafu tuone kama ataendelea kuwa nabii. Mjulishe kuwa kuna mlokole fulani jamiiforums, amesema kuwa wewe siyo nabii ila jizi tu la sadaka za waumini kanisani, Mjulishe haraka sana!
Tumemjulisha.
 
Cc: Wazazi wa Ben Saanane , Ndugu wa Rujabwe
Sio hao tu mzee, wengi wamekufa...hakuna duniani serikali ambayo haiui watu, hilo lipo kote. If you go against the govt unapotezwa, tangu kipindi cha Nyerere hadi Magu, hakuna ambaye hakupoteza wala kuumiza watu.
 
Sio hao tu mzee, wengi wamekufa...hakuna duniani serikali ambayo haiui watu, hilo lipo kote. If you go against the govt unapotezwa, tangu kipindi cha Nyerere hadi Magu, hakuna ambaye hakupoteza wala kuumiza watu.
Nakubaliana na wewe ila sio kuua kwa kuhoji elimu ya mtu.
 
"Sifa na utukufu na vya M/Mungu pekee hakuna wa kufanana nae"

Dhambi ya kumpa JPM utukufu ilikua mbaya sana...na kosa kubwa na laana isiyostahimili ni ile 28 october 2020.

Anywa M/Mungu ampumzishe panapostahili na sisi tutende mema na JPM mbali na udhaifu ila kuna mambo yatayumba taifa letu hasa uwajibikaji serikalini.
Mkuu sina furaha kwa kuondokewa na rais wetu ila inatukumbusha kwamba dunia ni mapito,tutende wema! Usimanyanyase mtu kisa una cheo,elimu,fedha,afya njema,muonekano mzuri etc.

-Fikiria wewe labda ni mmoja waliotumbuliwa na vyeti feki unaleo familia,una wazazi wanakutegemea,hivi unafikiri JK alikuwa hajui kwamba kuna wafanyakazi wana vyeti feki? Alijua na aliwaambia wasome wajiendeleze taratibu taratibu.

-Pata picha wewe ni mzazi wa ben saanane,mwanao napotea kisa kuhoji tu elimu ya mtu fulani.

"UBAYA UBAYA TU" - JPM
 
Hatimae sala zetu zimepokelewa.
Watu waliodhulumiwa kwa pamoja wakiomba Mungu anawasikiliza. Huyu bazazi alijisahau alijifananisha na Mungu kwa vile tu akiamrisha Polisi na JWTZ wanweza wakafanya chochote kwa wananchi.

Nchi yetu ni wakati sasa irudi pale ilipokuwa mwaka 2015. Uhuru wa kujieleza, shughuli za vyama vya Siasa, utawala bora, Uhuru wa mihimili ya utawala na kujenga uchumi shirikishi
 
Such is life, huyo mtabiri yupo vizuri...Ila ni aibu kwa top officials was nchi kufa kama kuku, manake hatuna ulinzi wa kiafya kwa viongozi wetu. Je, sisi wala vumbi tutapona kweli?
na ubishi alokuwa nao bwana yule uliegemea watu wafanye nini,....kiburi mwisho wake mauti....................aende salama
 
Back
Top Bottom