Nabii wa Ishara Tanzania: CCM wataomboleza, Zanzibar kuna mgogoro na kifo cha mtu mkubwa 2021

Nabii wa Ishara Tanzania: CCM wataomboleza, Zanzibar kuna mgogoro na kifo cha mtu mkubwa 2021

Katabiri mengi yatakayojiri 2021, lkn mm nimechukua ya kisiasa tu.
1. Wakuu wa mihimili 3 mmojawapo atapata shida kubwa ya kiafya na kupelekea ku-rest in peace.
IMG-20210318-WA0003.jpg
 
Katabiri mengi yatakayojiri 2021, lkn mm nimechukua ya kisiasa tu.
1. Wakuu wa mihimili 3 mmojawapo atapata shida kubwa ya kiafya na kupelekea ku-rest in peace.View attachment 1728421
Such is life, huyo mtabiri yupo vizuri...Ila ni aibu kwa top officials was nchi kufa kama kuku, manake hatuna ulinzi wa kiafya kwa viongozi wetu. Je, sisi wala vumbi tutapona kweli?
 
Naona mzee mood ipo mahali pake. Hata kama hakutenda mema kwa namna tulivyotaka, this time tuweke tofauti hizo pembeni. Let's cherish good memories left by his excellence.

Mkuu fikiria wewe ni mzazi wa Ben saanane, mkuu fikiria wewe ndio baba wa familia unategemewa na familia yako, unategemewa na wazazi wako kisha unatumbuliwa kisa cheti feki. Namnukuu late JPM alisema UBAYA UBAYA TU.
 
Mkuu fikiria wewe ni mzazi wa Ben saanane,mkuu fikiria wewe ndio baba wa familia unategemewa na familia yako,unategemewa na wazazi wako kisha unatumbuliwa kisa cheti feki.....Namnukuu late JPM alisema UBAYA UBAYA TU.
Kwa sababu wote ndio njia mzee, basi tuyakumbuke mazuri yake, hakuna asiyetenda ubaya duniani, tunatofautiana viwango tu.
 
Kwa sababu wote ndio njia mzee, basi tuyakumbuke mazuri yake, hakuna asiyetenda ubaya duniani..tunatofautiana viwango tu.
Mkuu dunia haipo fair hata utende mazuri 100 ukiharibu 1 yanafuta yote 99 ,ndio maana yesu alitolea mfano wa mchunga kondoo alipopotea kondoa wake m1 akawaacha wale wengine kwenda kumtafuta.

Tutende mema mkuu,ukiwa na cheo inabidi utumie busara maana maamuzi yako yataumiza watu wengi....

UBAYA UBAYA TU.
 
Anatabiri mawazo yake ya kichadema hakuna nabii hapo

kazi ya nabii wa agano jipya ni tofauti na manabii wa agano la kale wa agano jipya kazi yake ni kufariji na kujenga mwili wa Kristo

karama ya nabii ya agano jipya inajikita kwenye upendo sio hukumu sababu agano jipya linatamka wazi Mungu hafurahii kifo cha mwenyr dhambi

ukiona nabiii anatamka kuwa mtu fulani atakufa huyo ana mapepo sababu kazi ya shetani agano jipya ni kuua na kuharibu na kutabiri mabaya kwa nchi au kwa jamiii

huyo nabii ni nabii wa shetani baba wa kuwa na kuharibu a kutabiri mabaya

watoa pepo nendeni mkamtoe mapepo huyo nabii wa shetani
Salaam alykum
 
Manabii walikuwepo zamani hawa wa sikuhizi ni wachumia tumbo. Wamefanya huduma hii kukosa heshima ktk kanisa na kwa kweli wanamdhalilisha Kristo!

1. Maunabii ya 2015 wakati wa Uchaguzi yote yalikuwa null and void
2. Maunabii ya Uchaguzi 2020 yote yamekuwa null and void
3. Maunabii ya Lema yamegoma kutimia akakimbia nchi!
Ongezea mwenyewe.....

Mungu anatuwazia mawazo mema tena ya Amani! Kutupa tumaini siku zetu za mbeleni!
Yeremia 29:11

Mungu huyabatilisha mashauri ya wwnadamu, huyatangua makusudi ya watu, shauri la Bwana lasimama milele! Makusudi yake vizazi na vizazi!
Zaburi 33:10-11

Queen Esther
Vipi una ongeleaje ma unabii
 
Kwa sababu wote ndio njia mzee, basi tuyakumbuke mazuri yake, hakuna asiyetenda ubaya duniani, tunatofautiana viwango tu.
Mbona mnang'ang'ania mazuri tuu?embu yawekemi hayo the so called mazuri then tuje tulinganishe mabaya yake hapa.
 
Back
Top Bottom