Nabii wa Ishara Tanzania: CCM wataomboleza, Zanzibar kuna mgogoro na kifo cha mtu mkubwa 2021

Acha niweke neno na mimi. Haya mambo utabiri huwa sina imani nayo sana japo yanaweza tokea.
 
Stuxnet
We sio mtanzania huwezi muombea mtu kifo hivyo da tumefika pabaya sana
Yaani kwa taarifa yako tunafunga na tunapiga goti mpaka kieleweke. Jinsi Mussa alivyo pambana na Farao kuwatoa wana wa Israel ndivyo na sisi tunapambana huyu MTESI na MUUAJI roho yake itangulie. Hakuna mbaya mbele ya Mungu kumuombea Muuaji afe
 
Stuxnet
Huwa sibishani na watu Kama wewe nakuzarau tu
Hata ukinidharau Mimi huwezi kumfanya Meko apumue bila mitungi ya Oxygen. Hii ni zamu yetu Watanzania tupate Uhuru wa pili.

Kumbuka huyu kaiba uchaguzi wa 2020, halafu wapambe wake akina Deo Sanga na Ndugai wanataka wabaslishe Katiba ili awe Rais wa maisha. Mungu amesema MSINIPANGIE.

Jiandae tu kwenye timu ya kuchimba kaburi nawe uwepo upate posho za mwisho mwisho
 
Yaani kwa taarifa yako tunafunga na tunapiga goti mpaka kieleweke. Jinsi Mussa alivyo pambana na Farao kuwatoa wana wa Israel ndivyo na sisi tunapambana huyu MTESI na MUUAJI roho yake itangulie. Hakuna mbaya mbele ya Mungu kumuombea Muuaji afe
Hebu Mungu ajalie lidedi .
 
Oke kumbe, utabiri ni lazima yatimie sio, kuna nabii mmoja alishanitabiria mengi sana mwaka huu nasubiri malaika wa bwana wanipitie waniguse pia
[emoji23][emoji23][emoji23] Jipe moyo utashinda!
 
Back
Top Bottom