Nabii wa Ishara Tanzania: CCM wataomboleza, Zanzibar kuna mgogoro na kifo cha mtu mkubwa 2021

Nabii wa Ishara Tanzania: CCM wataomboleza, Zanzibar kuna mgogoro na kifo cha mtu mkubwa 2021

Ni dhahiri kuwa umejawa hofu inayokufanya uweweseke badala ya kujenga hoja.
Hata mafarisayo, waandishi, makuhani walifanya hivyo hivyo, lakini hawakuweza kubadili unabii.
 
Inakuwaje watabiri sasa hivi baada ya uchaguzi kuisha?
 
Mimi natabiri kwamba kuanzia sasa onwards watabiri wote mtatakiwa kuwa na leseni kutoka mamlaka husika.

Pasipo kufanya hivyo rungu la uhujumu uchumi na upotoshaji litawafikia immediately!
 
Huku tukiendelea kuliombea Taifa kwa neema ya Mungu tusisahau kunawa mikono kwa sabuni na maji tiririka.
 
Huyu mtabiri kasigina tabiri kwa chama tawala tulitegemea angewatabaria hata Chadema, katia chumvi katika kidonda CCM wajiangalie maana watatumia utabari huu kuuwana kimazingara hasa kwa wale waliokosa teuzi....
 
Katika kitabu chake "The Dark Side of Nyerere's Legacy", muandishi Ludovick S. Mwijage alielezea jinsi alivyokimbia Tanzania ya enzi za Nyerere na kufika Swaziland, ambako alikutana na Sheikh Yahya Huseein.

Sheikh Yahya Hussein alikuwa anajinasibu na utabiri na unajimu, lakini pia alikuwa agent wa serikali aliyepata habari kutoka serikalini na kutoka kwa watu kuzifikisha serikalini.

Mathalani, mtu anaweza kuja na matatizo yake apatiwe ufumbuzi wa kinyota na Sheikh Yahya, na katika kujieleza, akatoa siri nzito ambazo zingeweza kuwa za maana kwa serikali, Sheikh Yahya akawa anazifikisha serikalini.

Pia, Sheikh Yahya alikuwa napewa siri nyingi za hali za afya na mambo mengi ya watu wa serikalini.

Ssa basi, kwa kuwa na habari nyingi hivyo, si ajabu kati ya tabiri alizofanya Sheikh Yahya zilikuja kuwa kweli.

Si kwa sababu ana nguvu yoyote ya kutabiri, bali kwa sababu ana network inayompa habari kuhusu mambo yanavyokwenda na inavyoonekana yatakuwa.

Na kati ya tabiri zake, nyingi hazikutimia.

Sasa, na hawa watabiri wengine, wasije kutupa tabiri kama za Sheikh Yahya Hussein za kuchukua habari kwa watu serikalini, halafu kujinadi wanatabiri.
 
Kinachonishangaza huwa hawawezi kujitabiria kuhusu vifo vyao kama alivyofanya Issa bin mariam?

Kwa mujibu wa maandiko matakatifu, nyakati hizi za siku ya mwisho tulionywa kutokea kwa manabii wa uongo.

Huyu asije kuwa mmoja wao.
 
Ni dhahiri kuwa umejawa hofu inayokufanya uweweseke badala ya kujenga hoja.
Hata mafarisayo, waandishi, makuhani walifanya hivyo hivyo, lakini hawakuweza kubadili unabii.
Unaongelea agano la kale tena la wana wa Israel ambayo mtawala alikuwa akiwekwa na nabii nchi mzima ikiwa na dini moja chini ya kiongozi mmoja wa kidini nabii

Tatizo la nabii koko kama huyu ambaye hana uwezo wa kumuweka madarakani hata mjumbe wa nyumba kumi kujitia nabii wa taifa n.a. kujifanaisha na akina Eliya nk ujinga mtupu

Huyu hana cha nabii wala nini ni mjinga fulani halafu ana pro

Akasome upya kazi za nabii wa agano jipya nini ?

sasa hivi hata matapeli akina askofu Mwamakula na Bagonza na Askofu katoliki Niwrmugizi na akina Shehe Ponda nk hujifanya manabii wa Taifa wakati mikanisa yao hata misikiti yao hata huduma za kinabiii haziikubali

watanzania sasa hivi timeelevuka manabii kama huyu mjinga haina nafasi Tanzania
 
Hata Petro aliukataa unabii wa Yesu kwa maelezo na 'majisifu' kibao . Lakini, 'alikuja umbuka' akalia na kujutia yalipotimia.
 
Nadhani atakuwa commando amfate ndugu yake dhidi ya dhuluma walizowatendea wapemba, wakishirikiana na ngunguri kumwaga damu za watu sababu ya tumbo.
 
Kuna mwingine aliota kuwa JPM ni raisi wa awamu moja,mwingine aliuambia umma kuwaJPM hatuko naye tena lakini naona yupo anadunda tu, acheni ramli chonganishi
 
MANABII WA TANZANIA NI VICHEKESHO:
1. NABII TITO
2.NABII COMMANDO MASHIMO
3.NABII MCHUNGAJI ASKOFU SHEIKH MH JOSEPHAT RASHID GWAJIMA
4.....
5....
6....
7....
 
Back
Top Bottom