Nabii wa Ishara Tanzania: CCM wataomboleza, Zanzibar kuna mgogoro na kifo cha mtu mkubwa 2021

Nabii wa Ishara Tanzania: CCM wataomboleza, Zanzibar kuna mgogoro na kifo cha mtu mkubwa 2021

Nimebaki na thread mbili tu za kuchungulia😄😄 hii na nyingne ya msiache tetesi kama raisi anaumwa

We kama mimi😂😂😂😂😂😂

Ila tetesi hizi na zenyewe sio za kuzipa kipaumbele sana!!😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
 
We kama mimi😂😂😂😂😂😂

Ila tetesi hizi na zenyewe sio za kuzipa kipaumbele sana!!😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Ila watu wa hapo nairobi wanasema ni ukweli😆😆 et kuna wanajeshu wa bongo wapo hapo wanaranda randa. Huenda tunataka kulipiza kuhusu mahindi🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom