Paroco
JF-Expert Member
- Dec 24, 2017
- 3,418
- 13,000
Ila watu wa hapo nairobi wanasema ni ukweli😆😆 et kuna wanajeshu wa bongo wapo hapo wanaranda randa. Huenda tunataka kulipiza kuhusu mahindi🤣🤣🤣🤣
Itakua maana kunamchambuzi nmemuona Tbc leo anasema hii ni vita ya kiuchumi unaweza kuta ndo tushatuma majeshi tayari kwa vita hiii😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂