Mangungo II
JF-Expert Member
- Jul 6, 2012
- 18,219
- 27,059
Ukiona hivyo jua anaeshabikiwa mabaya yamkute nae huwatendea wenzake mabaya .Tanzania imekuwa nchi ya ajabu sana sijui kwa nini watu wanashabiki mabaya yawakute wenzao inasikitisha kwa kweli
Ubinadamu umetutoka kabisa
Tumefika pabaya Sana Kama taifa