Kasiano Muyenzi
JF-Expert Member
- Feb 3, 2018
- 13,972
- 22,933
Maskini Meko 😔
Dah! Watu bwana.Tugawane majukumu, wewe mwombee alone na sisi kamati ya roho mbaya tuache tuendelee kupiga magoti ya kumdedisha
Vipi kama Maalim Seif angeliwaza kama wewe asingekufa?Huyu nabii uchwara atakufa yeye, mwaka huu hataumaliza
Kwa maisha ambayo Meko amefanya tuishi baada ya kuharibu uchumi kweli tumekuwa vichaa. Lakini huna haki ya kuingilia furaha yetu, kufa kwake ni UHURU wa pili wa Tanzania. Yule ana roho ya Adolph Hitler. Tusipofurahi anapoteseka tutakuwa wanafiki.Sijui ni kwa nini waTanzania mnapenda habari mbaya mbaya!
Kuona vifo,kusifia nchi zingine na si yenu,kila jema kwenu baya,kila kiongozi ni mbaya lakini akistaafu anakua mzuri
WaTanzania wengi ni kama wana namna ya ukichaa
Hivi unajuwa kuwa ile tarehe 7/ 09/ 2017 wakina MAKONDA walipomshambulia Tundu Lissu, ilipangwa maiti ya Lissu isije Dar es Salaam na badala yake iende IKUNGI kijijini kwao kwa mazishi.Dah! Watu bwana.
Ila huu ndio ukweli hapa ndipo tulipo fikishwa na ndio hali halisi ilipo.
Kuna haja kubwa sana ya kuziziba hizi nyufa za uccm na upinzani na kujenga kuta moja ya Utanzania
Huyo nabii ndiyo inabidi achunge domo lake. Hatuwezi kuendelea kusikiliza majitu majizi ya sadaka za watu tu Kanisani. Nabii kawaida akishaona kitu kama hicho, inabidi asimame kuzuia kisitokee, na akishindwa kuzuia na kikatokea, huyo siyo nabii wa Mungu, linakuwa ni jitu fulani tu jizi la sadaka za waumini kanisani.Vipi kama Maalim Seif angeliwaza kama wewe asingekufa?
Chunga domo lako bwashee
Acha siasa, fikisha ujumbeW
Wenye hekima tunajua kuwa hakuna lenye mwanzo lisilo na mwisho.
Nabii alifikisha ujumbe mtekelezaji wa unabii huo siyo huyo nabii bali ni Mungu mwenye Enzi na mamlaka.
Nakushangaa ujiitapo mlokole huku hujui kazi ya nabii ni nn.
Maalim hayupo sasa, Rais wako wa milele anapumulia mashine huko Nairobi, Ndungai naye kajificha wodini.
Hakuna sherehe huko Chamwino hivyo mwache nabii ale sadaka ila ujumbe umefika
Wasalimie walokole wa Lumumba, waambie shetani anawapenda sana na hatawaacha hivi hivi 😀😀
Na wewe acha kutetea wahalifu, hubiri injili kama huyo nabii alinyoleta unabii wa kweli.Acha siasa, fikisha ujumbe
Huyo ndiyo Rais wako mpaka tarehe 05 Novemba 2025. Yupo na ataendelea kuwepoNa wewe acha kutetea wahalifu, hubiri injili kama huyo nabii alinyoleta unabii wa kweli.
Jiwe na washirika wake bado hawajatubu ujue kawahubiri watu u dhambi zao
Una harufu ya ka usukuma wala sishangai unapopaniki kusikia Meko atakomea njiani na kuandika historia ya kuwa raisi wa kwanza kuondolewa madarakani kwa ugonjwaHuyo ndiyo Rais wako mpaka tarehe 05 Novemba 2025. Yupo na ataendelea kuwepo
Huyo nabii ndiyo inabidi achunge domo lake. Hatuwezi kuendelea kusikiliza majitu majizi ya sadaka za watu tu Kanisani. Nabii kawaida akishaona kitu kama hicho, inabidi asimame kuzuia kisitokee, na akishindwa kuzuia na kikatokea, huyo siyo nabii wa Mungu, linakuwa ni jitu fulani tu jizi la sadaka za waumini kanisani.
Mwambieni kuwa mimi nimesema hivyo, halafu tuone kama ataendelea kuwa nabii. Mjulishe kuwa kuna mlokole fulani jamiiforums, amesema kuwa wewe siyo nabii ila jizi tu la sadaka za waumini kanisani, Mjulishe haraka sana!
Kwahiyo yule aliyesema akimpata tundu lissu atamuua sio we we tena au kushasahu?Ni Chadema ndio wana hiyo shida sio watanzania wote
Kuna ajali gani zbar mkuu?, ukiacha ya Maalimu Seif (rip)ajali ya znz tayari